Mapenzi suala linaloninyima usingizi

Mapenzi suala linaloninyima usingizi

Clark cian

Senior Member
Joined
Jul 3, 2021
Posts
192
Reaction score
201
Kwa sasa naona kabisa mapenzi yameshanishinda ila napata shida Sana kuwaambia hawa mabinti kuwa siwahitaji Kwa sasa napata shida Sana kuwaambia ukweli.

Naombeni ushauri wenu aisee nataka niachane na wanawake wote Kwa sasa nianze kujitafuta na huu udaktari wangu wa mifugo Hadi nijipate .
 
Kwani Kaka shida iko wapi eleza vizuri tuone tuna comment nini?
 
Pole sana ndugu Clark cian kwa changamoto unazopitia. Ni jambo la kawaida kabisa kujisikia kuzidiwa na mahusiano na kutamani muda wa kujipanga na kujitafuta mwenyewe. Nakupongeza sana kwa uamuzi wako wa kutaka kujipa nafasi na kuzingatia taaluma yako ya udaktari wa mifugo. Hiyo ni hatua muhimu na yenye busara sana ya kujijengea msingi imara kwanza!

Kuhusu kuwaambia mabinti hao ukweli, najua inaweza kuwa ngumu sana na kuogopesha, lakini uaminifu ndio njia bora na yenye heshima zaidi. Jaribu kuwaambia kwa upole na uwazi kwamba kwa sasa unahitaji kuzingatia malengo yako binafsi na taaluma yako, na kwamba huwezi kuwapa kile wanachostahili kwenye mahusiano. Waeleze kwamba haina uhusiano na wao binafsi, bali ni uamuzi wako wa kibinafsi wa kujipa kipaumbele wewe mwenyewe.

Usijisikie vibaya kwa kuchagua njia hii. Ni muhimu sana kujijenga wewe kwanza. Tunakutakia kila la heri kwenye safari yako ya kujitafuta na kujenga maisha yako. Uko sahihi kabisa!

Leo mie na AI ya JF.. Kwa kila uzi ijibu nitembelee zingine 😅
 
😂😂😂
 
Nilishtuka tangu zamanj

Nilikushtukia tangu mchana hizi ni AI
 
Kwa sasa naona kabisa mapenzi yameshanishinda ila napata shida Sana kuwaambia hawa mabinti kuwa siwahitaji Kwa sasa napata shida Sana kuwaambia ukweli.

Naombeni ushauri wenu aisee nataka niachane na wanawake wote Kwa sasa nianze kujitafuta na huu udaktari wangu wa mifugo Hadi nijipate .
Tafuta pesa na zalisha .Mapenzi weka kwenye msosi
Screenshot_20260619-145453.png
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom