Equation x
JF-Expert Member
- Sep 3, 2017
- 40,710
- 63,393
Mambo ya kuitana switii, bebiii, asaliii...sitaki, najua mnavizia hiki kimshahara kangu.
Mshahara ni wa kwangu, nimeupata baada ya kuchomwa na jua pamoja na kumaliza soli ya kiatu kwa kutembea; achilia mbali manyanyaso ya huko kazini.
Sasa ni muda wa kujipongeza mimi mwenyewe na nafsi yangu tu; sitaki wapenzi muda huu.
Mnaonipigia pigia simu kwa ajili ya kuja kula hiki kimshahara kangu, siwataki.
Niacheni nijipongeze mimi mwenyewe na kamshahara kangu.