CCM kwa sasa siyo tena chama cha siasa bali kikundi kilichoshika mateka uhuru wa kutoa maoni na hakitaki mwenyekiti akosolewe.

The lost

JF-Expert Member
Jul 3, 2017
2,695
8,209
Ni mambo ya hovyo sana, na yalianza awamu ya tano na awamu ya sita wanayatenda. Kwao mwenyekiti kwanza, then chama halafu masilahi ya nchi na wananchi baadae. Kimekuwa chama cha hovyo kinachokumbatia na kuabudu ukuu wa mwenyekiti wa chama kuliko utaifa wetu. Chama hiki hakina tena tofauti na CCP cha China, chama cha kikomust cha North korea. Lakini pia kimekumbatia sera za hovyo za kutoheshimu utu na mawazo ya wengine. Chama hiki hakiamini katika majadiliano tena ya kisiasa na mazungumzo bali kinaamini katika dola na matumizi ya nguvu.
 
Hakika uasisi huu ulianza awamu ya gwara watu walikua wanatamka hadharani atakae msema rais vibaya ama zake, wengine wakadai kua mtu alijihisi yeye ndo kafa badala ya rais hii yote ilikua unafiki na kulinda matumbo yao yasibaki empty. Na sasa wanaendelea
Ni mambo ya hovyo sana, na yalianza awamu ya tano na awamu ya sita wanayatenda. Kwao mwenyekiti kwanza, then chama halafu masilahi ya nchi na wananchi baadae. Kimekuwa chama cha hovyo kinachokumbatia na kuabudu ukuu wa mwenyekiti wa chama kuliko utaifa wetu. Chama hiki hakina tena tofauti na CCP cha China, chama cha kikomust cha North korea. Lakini pia kimekumbatia sera za hovyo za kutoheshimu utu na mawazo ya wengine. Chama hiki hakiamini katika majadiliano tena ya kisiasa na mazungumzo bali kinaamini katika dola na matumizi ya nguvu.

IMG_20211116_120145.jpg
 
Katiba ya CCM ikiungana na Njaa, unapata kitu cha ajabu sana.
 
Back
Top Bottom