Hongera Rais Samia kwa kusikiliza maoni yetu wanaJF

Rebeca 83

JF-Expert Member
Jun 4, 2016
14,840
31,583
Habari wakuu.

Nimeona huko kwa Millard Ayo, hela zimetengwa kujenga upya Kariakoo ambayo ita accommodate wafanya biashara 2000! ...hii tulishauri hapa kulivyokua na discussion za kuhamisha wamachinga.

.Kariakoo ni mjini, kituo cha biashara mama Samia ametambua ni vizuri pajengwe vizuri, pawe modernized...... katika solutions zote zilizokua suggested kaiona hio ya kujenga vizuri ndio liko sustainable(Becky hoyee👌☝️💪)....wanaJF hii ni prove tosha anatusoma humu hivyo tutoe threads za kujenga...ni msikivu ndio maana anachukua ushauri bwana yule hakua hivi.

Cc; KeyserSoze
 
Roho yako haisuiziki usipo mtaja Magufuli.
Habari wakuu....

Nimeona huko kwa Millard Ayo, hela zimetengwa kujenga upya Kariakoo ambayo ita accommodate wafanya biashara 2000! ...hii tulishauri hapa kulivyokua na discussion za kuhamisha wamachinga..........

.Kariakoo ni mjini, kituo cha biashara mama Samia ametambua ni vizuri pajengwe vizuri, pawe modernized...... katika solutions zote zilizokua suggested kaiona hio ya kujenga vizuri ndio liko sustainable(Becky hoyee)....wanaJF hii ni prove tosha anatusoma humu hivyo tutoe threads za kujenga...ni msikivu ndio maana anachukua ushauri bwana yule hakua hivi.....

Cc; KeyserSoze
 
Jamaa Katoa point Sana , eneo la jangwani ni hatari Sana , kama mvua ikinyesha siku Saba mfululizo , na upepo baharini ukachange kidogo mtazika mizoga ya kutosha Tu , na upotevu mkubwa wa bidhaa...kuligeuza hlo eneo lifae na Liwe salama Kwa machinga , hela zake sio za kitoto...!!
 
Katiba ya nchi hii ni mbovu sana!

Ina maana kila kinachofanywa popote Tanzania hii (kiwe kibovu au kizuri) ni rais anafanya!?
Halimashauri za wilaya/mikoa, kamati za maendeleo, madiwani na wabunge..wote wana kazi gani kama kila kitu anafanya/amua huyu mama?

Au labda tumeamua kusifu na kuabudu..jambo ambalo ni baya sana, huwa linajenga kiongozi dikteta.
Mifano ipo.
 
Habari wakuu....

Nimeona huko kwa Millard Ayo, hela zimetengwa kujenga upya Kariakoo ambayo ita accommodate wafanya biashara 2000! ...hii tulishauri hapa kulivyokua na discussion za kuhamisha wamachinga..........

.Kariakoo ni mjini, kituo cha biashara mama Samia ametambua ni vizuri pajengwe vizuri, pawe modernized...... katika solutions zote zilizokua suggested kaiona hio ya kujenga vizuri ndio liko sustainable(Becky hoyee)....wanaJF hii ni prove tosha anatusoma humu hivyo tutoe threads za kujenga...ni msikivu ndio maana anachukua ushauri bwana yule hakua hivi.....

Cc; KeyserSoze
Nani kakuambia bwana yule hakuwa anasikiliza maoni ya humu Jamii Forums? Asilimia kubwa ya maamuzi ya serikalini kwa sasa yanasadifu maoni ya wadau humu Jamii Forums huenda wewe hutembelei forums nyingi humu but huyo bwana unayesema ww aliyafanyia kazi maoni mengi humu JF mpk tukawa tunahisi naye yupo humu.
 
Soko kuu la Kariakoo atachukua mvimba macho! Mark my words!

Hawana huruma hawa jamaa.. Wako tayari kuteketeza mali na uhai wa watu ili wapate wakitakacho...

Najua hapo wataingia na gia ya muwekezaji..utaskia tumempata muwekezaji blah blah...
 
CCM bana.. mmeunguza soko makusudi ili mjifanye mnaliboresha halafu muweke watu wenu!
Kama ninavyowaza mkuu.

Hii nchi siyo kata asee kwamba ukishatua mzigo kichwani basi unaikunjua ila mwenye nafasi ya fulsa ni kutengeneza fulsa tu!.
 
Back
Top Bottom