"Tukianza kutafuta asiye na dhambi ili tujadiri naye kuhusu kesho yetu hatutampata,hivyo tuna kila lazima ya kuacha chuki na visasi na kuwaamini viongozi wetu"
"Siwezi kuwa chawa wa Mama (Rais Samia) na wala sio wa chawa wa mama, lakini mnyonge mnyongeni haki yake mpeni, utawala wa Mama japo...