mamlaka

Al-Mamlaka (Arabic: المملكة‎, romanized: Al-Mamlakah, literally "The Kingdom") is a Jordan-based public broadcaster based in Amman, Jordan, established by a 2015 bylaw. It was launched on 16 July 2018. The TV channel is state-funded and offers public broadcasting services – it is neither state-owned nor commercial.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Makaburi kuhamishwa kupisha upanuzi wa uwanja wa ndege JNIA

    Dar es Salaam. Makaburi zaidi ya 600 yaliyopo katika kata ya Kipunguni yanatarajiwa kuhamishwa ili kupisha upanuzi wa Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Mwalimu Julius Nyerere (JNIA). Mchakato wa kuhamisha makaburi hayo unafuatia mpango wa ulipaji fidia kwa wakazi 1,865 wa eneo hilo wanaotakiwa...
  2. JamiiForums Tanzania Hivi kuna Mkatoliki anayeweza kupingana na TEC kwasababu ya mamlaka Yake?

    Kwa Wakatoliki, mapadre na maaskofu ni watu muhimu mno kiimani. Pamoja na malezi mengine, watu hawa ndiyo ambao huwaongoza wakatoliki katika sala ya toba na kutoa tamko la msamaha wa dhambi. Ifahamike ya kwamba hakuna mkatoliki makini anayeweza kupingana na mababa wake wa kiimani, hayupo. Hata...
  3. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mkurugenzi wa Mamlaka ya Mawasiliano asimamishwa kazi kwa Kujikopesha Tsh. Milioni 460

    Siku moja baada ya Bodi ya Wakurugenzi ya Mamlaka ya Mawasiliano Kenya (CA) kutoa taarifa ya kumsimamisha Kazi Ezra Chiloba, imebainika sababu ni ubadhirifu wa Tsh. Bilioni 11.2, ambazo ni Fedha za Akiba za Mradi wa Nyumba za Wafanyakazi. Ripoti ya Kamati Maalum ya Ukaguzi na Kamati ya Dharura...
  4. JamiiForums Tanzania Refund ya Ada chuo cha Mipango Dodoma, Mamlaka husika ziingilie kati

    Habari za Saizi wana jukwaa. Nimeleta mada hapa jukwaani nikiamini mamlaka husika wataona na kulishughulikia haraka. Ni zaidi za miezi kadhaa imepita dogo alinigusia habari kuwa alikuwa amelipa ada na amemaliza ada yote lakini baadae alikuja kujua kuwa bodi pia walimlipia kiasi cha ada, na...
  5. JamiiForums Tanzania Katiba ndiyo mamlaka ya Wananchi kusema ni kitabu tu hivi ni kuwadharau wenye mamlaka (wananchi)

    Hatuwezi wote kwenda Ikulu na kuwa Maraisi na Mawaziri nk . Ndiyo maana tumetengeneza taratibu (katiba na Sheria) za namna ya kuajiri wawakilishi kwa kuwapigia kura. Na hao wawakilishi wakisha patikana wanapaswa kufuata muongozo au utaratibu sisi wananchi tuliowaandalia kutekeleza mambo...
  6. K

    JamiiForums Tanzania Mapendekezo: For better performance, TRA igawanywe zipatikane mamlaka mbili, Mamlaka ya mapato ya ndani na mamlaka ya mapato ya nje

    Tumeona mabadiliko yalifanywa katika wizara au mamlaka ya kupunguza ukubwa wa taasisi au wizara ili kuleta tija na ufanisi. Tumeona wizara iliyokuwa nishati ya nishati na madini ikigawanywa katika wizara ya nishati na wizara ya madini, iliyokuwa wizara ya ujenzi na uchukuzi ikigawanywa katika...
  7. JamiiForums Tanzania Mamlaka ya Usafiri wa Anga nchini (TCAA): Hakuna utoroshwaji wa wanyama pori kwenda Falme za Kiarabu

    DAR ES SALAAM: Mamlaka ya Usafiri wa Anga nchini (TCAA) imesema hakuna utoroshwaji wa wanyama pori kwenda Falme za Kiarabu kama taarifa za upotoshwaji zinavyodai. Mkurugenzi Mkuu wa TCAA, Hamza Johari amesema katika taarifa kwa vyombo vya habari leo kuwa kama Mamlaka inayohusika na kutoa vibali...
  8. JamiiForums Tanzania Australia wakamata ngozi halisi za Simba na Chui zilizotengenezwa kama mazulia kutoka Tanzania. TAWA yasema inafanya uchunguzi

    Ni nyara za Serikali zilizokamatwa kwenye makasha makubwa kwenye uwanja wa ndege nchini Australia, inasemekana zimepakiwa kutoka KIA nchini Tanzania, nani anahusika na uhujumu huu? Serikali itoe tamko. Tazama video. UPDATE TAWA kuchunguza Nyara za Serikali kukamatwa Australia
  9. JamiiForums Tanzania Mtu yeyote kwa manufaa ya umma anaweza kufichua maovu yaliyotendeka kwa Mamlaka

    Mwaka 2022 Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania lilipitisha sheria ya kuwalinda watoa taarifa (whistleblowers) na mashahidi (witnesses) Watoa taarifa (Whistleblower) wanabeba jukumu muhimu katika kutengeneza Dunia yenye usawa. Utoaji wa taarifa husaidia kulinda Fedha za Umma, kuchochea...
  10. J

    JamiiForums Tanzania Vitambulisho vya Taifa: Changamoto zinazowakabili wananchi na mwitiko wa Mamlaka (NIDA)

    Je, umewahi kukumbana na Changamoto za Kupata Kitambulisho cha Taifa? Jiunge nasi katika Mjadala kuhusu Upatikanaji wa Vitambulisho vya Taifa Nchini Alhamisi hii, Septemba 7, 2023, kupitia 'X Spaces' ya JamiiForums Tutaangazia Mchakato mzima wa Utoaji na Upatikanaji wa Vitambulisho ikiwemo...
  11. JamiiForums Tanzania Watanzania acheni roho mbaya na wivu hakuna mwenye dhambi za kudumu kuliko wengine na asiyesameheka. Mnyeti ana haki mbele ya Mamlaka ya Uteuzi

    Wasalaam TZ na Dunia, Ndugu Alexander Mnyeti aachwe afanye kazi uwaziri ni haki yake. Nchi hii imejaa mazuzu wanaodhani mtu fulani akiwakosea wao basi hafai Kwa wengine na jamii nzima. Alexander Mnyeti ana sifa kama za Watanzania wengine wote ambao ni watenda mema na mabaya kila siku...
  12. JamiiForums Tanzania Haya matusi ya rejareja ya Oscar Oscar, mamlaka ziko kimya

    Mwambieni jamaa yenu aache matusi ya rejareja tena ya kudhalilisha wanawake.
  13. JamiiForums Tanzania Mamlaka ya kutoa leseni za udereva angalieni watu mnaowapa hizo leseni

    Unakuta mtu yupo yupo tu lakini basics za barabarani hajui hata kidogo. Mtu ameblock barabara na wala haoni shida. Mtu amekukuta umepaki sehemu anakuja kukublock ushindwe kutoka mpaka umuite! Mbaya zaidi wakati anapark kulikuwa na nafasi kubwa tu ya kumfanya asikublock. Inaudhi sana.
  14. U

    JamiiForums Tanzania Usaili Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA)

    Leo Bwana baada ya kukaa nikawaza aahh,kumbe niliombaga nafasi za ajira za TRA. Nikastuka nikajua Tayari watu wameshaitwa .. cz sikuwa nimeingia online muda sehemu nilipokuwepo hakuna internet wala mtandao wa simu. Basi kwa unyonge nikajua aahh basi haikuwa ridhiki yangu labda, ila sasa sijui...
  15. JamiiForums Tanzania Donald Trump nitajisalimisha kwa mamlaka ya jimbo la Georgia Alhamisi

    Rais wa zamani Donald Trump anasema atajisalimisha kwa mamlaka katika jimbo la Georgia siku ya Alhamisi kujibu mashtaka katika kesi inayomtuhumu kwa kupanga njama kinyume cha sheria, ya kugeuza matokeo ya uchaguzi wa urais wa mwaka 2020 katika jimbo hilo. “Unaweza kuamini? Nitaenda Atlanta...
  16. JamiiForums Tanzania Waziri wa Maji amtumbua Mkurugenzi Mtendaji wa Mamlaka ya Maji Mwanza, Mhandisi Leonard Msenyele

    Waziri wa Maji, Jumaa Aweso (Mb) leo tarehe 20 Agosti, 2023 amemuondoa katika nafasi yake Mkurugenzi Mtendaji wa Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa Mazingira Jijini Mwanza (MWAUWASA), Mhandisi Leonard Msenyele. Mhe. Aweso amechukua hatua hiyo kwa mamlaka aliyo nayo kupitia Sheria Namba 5 ya...
  17. JamiiForums Tanzania Wajua japo Rais ni sehemu ya Bunge, bado hana mamlaka ya kuliingilia Bunge? Ili kufuta IGA ya DPW, Rais anapaswa kulivunja Bunge?

    Wanabodi, Kama kawaida yangu, kila nikipata fursa, huja na makala zangu za kwa maslahi ya taifa, makala ya leo ni kuhusu Ijue Katiba: Japo Rais ni Sehemu ya Bunge, kwa kuliunda, kulivunja na kuridhia miswada kuwa sheria, lakini Rais Hana Mamlaka ya Kuliingilia Bunge?. Baraza la Maaskofu...
  18. JamiiForums Tanzania Mamlaka ipi inajukumu la kufuatilia nyendo za Rais wa Tanzania na kumwajibisha.?

    Wataalamu. Mimi siyo mwanasheria. Napenda kujuzwa kwa Tanzania ni mamlaka ipi ina wajibu wa kufuatilia mienendo ya Raisi ili pale anapo kosea aambiwe au kuwajibika? Tumeshasikia huko kwa wenzetu Raisi anaweza kufikishwa mahakamani kwa matumizi mabaya ya madaraka. Mfano jacob zuma, Trump etc...
  19. JamiiForums Tanzania Askofu Profesa Victor Chisanga kaambiwa na Mwenyezi Mungu asitii mamlaka kwenye swala na bandari bali ampinge Rais

    https://youtu.be/CsfIiDj5LQY Askofu profesa Victor Chisanga kwenye mahojiano yake na Jambo TV kadai ana maelekezo ya Mwenyezi Mungu lazima apinge mamlaka kwenye uwekezaji wa bandari na asipofanya hivyo atakwenda motoni.
  20. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mamlaka yafuta makanisa matano Kenya

    Mamlaka nchini Kenya zimeyafuta Makanisa matano likiwemo kanisa la Mshukiwa aliyewachochea zaidi ya Waumini wake 400 kufunga hadi kufa. Msajili wa Mashirika nchini humo katika notisi iliyowekwa kwenye gazeti la Taifa amesema leseni ya Muhubiri Paul Nthenge Mackenzie wa kanisa la Good News...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…