mama samia

Maggie Gobran or Mama Maggie, a Coptic Orthodox, is the founder and CEO of the non-profit charity Stephen's Children in Cairo, Egypt. She was also professor of computer science at the American University in Cairo, is married and has a son and a daughter. She was nominated for the 2012 Nobel Peace Prize.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania AUDIO, Uchambuzi; Siku 100 za Rais Mama Samia Suluhu

    Siku 100 za Rais Mama Samia Suluhu nimeziadhimisha kwakufanya uchambuzi kwa mahojiano ya Radio, Kuhusu Hali ya Kijamii, Kisiasa, Kiuchumi, na kuhusu vuguvugu la Katiba Mpya. Sikiliza mwanzo hadi mwisho!
  2. JamiiForums Tanzania Rais Samia, tafadhali usianzishe mchakato wa Katiba mpya mpaka ujiridhishe usimamizi wa mchakato huu

    Wakuu, Mwanzo kabisa napenda ku-declear interest kwamba mimi natamani nchi yangu Tanzania ipate katiba mpya. Mjadala wa katiba mpya ni mjadala mrefu sana unaohitaji umakini, utashi na ujuzi juu ya mambo yahusuyo sheria na uendeshwaji wa nchi. Katiba ni mjumuisho wa taratibu, sera, sheria na...
  3. F

    JamiiForums Tanzania Rais Samia, watuhumiwa tunabambikiziwa kesi za dawa za kulevya

    Saidy Hemed Abubakar amefikishwa katika mahakama ya wilaya Jijini Tanga akikabiliwa na makosa mawili ya kusafrisha dawa za kulevya lakini akaishushia tuhuma nzito Tume ya Kudhibiti na kupambana na dawa za kulevya kwamba watendaji wake si waadilifu kwani wamekuwa wakiwabambikiza watu kesi za dawa...
  4. B

    JamiiForums Tanzania Rais Samia muda wa kauli thabiti kuhusu Korona unakuyoyoma

    Kumekuwapo maonyo mengi tangia ugonjwa huu ulipoingia. Ni wazi kuwa kutokana na kauli mkanganyiko zilizokuwapo katika nyakati mbali mbali hali halisi ndiyo hii inayoonekana leo. Ugonjwa uliopaswa kushughulikiwa na wataalamu wa afya ukawa wa kushughulikiwa na wanasiasa. Matokeo yake miongoni...
  5. JamiiForums Tanzania Asante Rais samia, tumeona madaraja watumishi wa umma. Mungu akuzidishie

    Asante mama asante sana kilikuwa ni kilio cha watumishi wa umma miaka mingi ila umetenda Mungu akubariki
  6. S

    JamiiForums Tanzania Rais Samia usimsahau Shaban Kissu kwenye mkeka wa ma-DED

    Tayari mikeka kadhaa imeishapita lakini jina la MC wa Serikali Shabani Kissu bado halijatokea. Mama Samia nafasi za MaDED nakuomba umkumbuke huyu kada Shaban kaishatumikia sana chama na ni Mtendaji mzuri tu aliyetukuka katika nafasi mbalimbali ndani na nje ya chama. KAZI IENDELEEE
  7. JamiiForums Tanzania Rais Samia komesha unadishaji wa mizigo bandarini

    Mama samia raisi wetu mpendwa mama yetu msikivu naomba tondole hii kero ya muda mrefu sana wazuie TRA na TPA wasiuze mizigo ya Watanzania bandarini kwakisingizio cha kukosa pesa za kulipia kodi mizigo. umewatia watu wengi umasikini mtu anaagiza mzigo kutoka nje ya nchi mzigo unafika...
  8. JamiiForums Tanzania Mwanza: Rais Samia aongea na Vijana wa Tanzania katika Uwanja wa Michezo wa Nyamagana

    Katika muendelezo wa Rais Samia kukutana na kuongea na Makundi mbalimbali nchini, leo ataongea na Vijana wa Tanzania kupitia vijana wa mkoa wa Mwanza katika Uwanja wa Michezo wa Nyamagana. Taarifa zaidi zinafuata: Mkuu wa mkoa wa Mwanza ameanza kwa kuwatambulisha watu mbalimbali kwa...
  9. P

    JamiiForums Tanzania Mawaziri acheni kumsifia Mama Samia kupitiliza, chapeni kazi!

    Leo huko Misungwi kulikuwa na tukio la kitaifa mbashara karibu vyombo vyote. Inasikitisha sana mnatumia muda mwingi kumpamba Rais katika hotuba zenu. Kazi tunajua mnafanya vizuri lakini mnaboa sana kumpamba mkubwa hadi mnatoka nje ya tukio. Aweso punguza mbwembwe na kuinua misuli na mifano ya...
  10. JamiiForums Tanzania Mama Samia: Naomba msiwe wanyonge

    Hayo ameyasema wakati akihutubia wananchi wa eneo la Busisi wilayani Sengerema wakati wa ukaguzi wa daraja la Magufuli lenye urefu wa zaidi kilomita zaidi tatu. Je, unyonge wa watanzania umeanza kukemewa na kuwafanya wenye nguvu ndani ya taifa lao? hakika hili jina la wanyonge mi mwenyewe...
  11. JamiiForums Tanzania Rais wetu Samia, tafuta muda wa kupumzika

    Hello JF, SIjui kama nyie mme observe kama mimi? Mama yetu ana movements nyingi mno. Sijui kasafiri na kuona watu/vikundi vingapi ndani ya hii miezi mitatu ya Urais Mama you cant do everything and be everywhere. I feel like you want to prove a point, kuwa ni Rais wa tofauti na watu wakuone...
  12. JamiiForums Tanzania Raisi wetu Mama Samia Mtumbue Ally Hapi kabla hujamuapisha

    Mama Samia Mtumbue A, Hapi atakuharibia na kutoa imani kwa Watanzania waliyonayo kwako. Alionyesha dhalau kubwa Sana kwa wazee wetu ambao ni Maraisi wasitafu, kumbuka hata wewe ni msitafu mtalajiwa. Ukimwacha hata wewe ukimaliza muda wako atakuja kukutukana. Kwani A.Hapi yeye ni nani kwenye...
  13. JamiiForums Tanzania Kulikoni ziara za Freeman Mbowe?

    Habari wadau, Mwishoni mwa mwezi 5 mwaka huu CHADEMA kupitia Mwenyekiti wao Freeman Mbowe walitangaza kuanza ziara nchi nzima za kufufua chama na kusaka wanachama wapya. Unaenda mwezi wa pili sasa Mbowe alishazunguka kanda nyingi lakini hakuna kanda hata moja walipoonekana wakipokea Wanachama...
  14. JamiiForums Tanzania Mwigulu: Mama Samia kajifunza kuendesha nchi kutoka kwa Kikwete

    .
  15. JamiiForums Tanzania Kwanini nafurahia zawadi za Rais Samia kwa wageni wake

    Zawadi zake haziteketezi miti ya Mpingo (blackwood) kama kipindi cha Mwendazake ambapo alikuwa akiangusha miti kutengeneza zawadi ya vinyago kwa Marais na wageni wake. Hiki kitu kilikuwa kinaniuma maana ilikuwa ni uharibifu wa mazingira! VS
  16. JamiiForums Tanzania CHADEMA hawastahili kupewa hata Serikali ya kijiji

    Habari wadau! Hawa CHADEMA ni watu wa ajabu sana, walianza na harakati za kumshusha Sabaya wamefanikiwa kumchafua kisiasa na sasa kesi ipo mahakamani. Leo wanataka kumshusha Diamond Platinumz kisa kuunga mkono CCM kwenye uchaguzi wa 2020. Haya yote ni matokeo ya visasi yaani hawana uvumilivu...
  17. JamiiForums Tanzania Ilichofanya TAMISEMI ndio demokrasia ya kweli kwa sasa, Shukran Ummi Mwalimu na mama Samia

    Dah!! Haya mambo tumeyazoea kuona kwenye nchi kama Marekani, Uingereza n.k Kitendo alichofanya huyu dogo Josephat kama ungekuwa utawala wa mwendazake sasa ungekuta wazazi wanamtafuta huyu kijana. Kwanza angepotezwa kwa kuidhalilisha serikali bila kusikilizwa hoja zake,angepigwa na kuvunjwa...
  18. JamiiForums Tanzania Asante Maxence Melo kwa kumuomba Rais Samia Suluhu Hassan Katiba Mpya LIVE

    Kwa heshima naomba nkuvulie kofia niliyovaa wakati huu naandika huu uzi. Wakati historia inaandikwa juu ya upatikanaji wa katiba mpya ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Maxence Melo tutamtambua kama prominent figure wa kwanza kabisa kutoka hadharani na kumuomba Mheshimiwa Rais Mama yetu...
  19. JamiiForums Tanzania Rais Samia: Hospitali za Rufaa za Mikoa zinakufa

    Niliwahi kuandika mwaka 2016 kumsihi Mheshimiwa Rais Hayati Dr. John Joseph Pombe Magufuli kwamba asizihamishe Hospitali za Rufaa za Mikoa kutoka TAMISEMI kwenda Wizara ya Afya, kwa sababu Hospitali hizi zilinufaika zaidi kiutawala zilipokuwa chini ya TAMISEMI...
  20. JamiiForums Tanzania Wazee wa Madrassa wampiku Mama Samia Suluhu?

    Leo nimezikuta habari za Mzee wa Madrassatul Abraar ambae pia ni member wa JF kwenye group la kuwezeshana ujenzi zilizonifurahisha sana na nikajiuliza, hawa wazee wa Madrassa wamempiku hatua moja Mama Samia Suluhu? Mama Samia Suluhu juzi alipokuwa akiwaapisha Makatibu Tawala alisema "asilimia...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…