Rais wetu Samia, tafuta muda wa kupumzika

Rebeca 83

JF-Expert Member
Jun 4, 2016
14,840
31,583
Hello JF,

SIjui kama nyie mme observe kama mimi?

Mama yetu ana movements nyingi mno.

Sijui kasafiri na kuona watu/vikundi vingapi ndani ya hii miezi mitatu ya Urais

Mama you cant do everything and be everywhere.

I feel like you want to prove a point, kuwa ni Rais wa tofauti na watu wakuone mchapakazi.

I totally understand.

BUT,

Reputation unayotaka kujenga, itakuchosha physically and exhaust you mentally.

Watanzania sisi ni walewale tusio na shukrani.

Chukua moja simama nalo, ukishaona tangible result nenda lingine.

Watu wanataka kuona consistency

Natanguliza samahani kama nitakua nimekukwaza.

Becky
 
Mama acha aitwe mama na mwanae!

Nimefanikiwa sana leo hii kimaisha lakini ajabu Mungu amemchukua mama yangu.

Natamani haya mafanikio nipo nayo leo angekuwepo ayaone! Hizi zote ni juhudi zake mama yangu! I wish she was there for me today.😢😢

Now i feel love my mother like never before.


Love her more than anything.

RIP MY MOM.

Leo nalia kama ndio msiba umetokea
 
Mungu amsaidie huyu mama, asimpungukie!

YESU NI KRISTO
Rais Samia like many women is good at multi tasking; sio kama wanaume wanataka kumaliza task moja ndio aanze nyingine!

Mimi ningemshauri to borrow a leaf from mzee Mwinyi ya kuwa na muda wa mazoezi kila siku bila kukosa hata akiwa safarini; she can do stretching exercises.
 
Rais Samia like many women is good at multi tasking; sio kama wanaume wanataka kumaliza task moja ndio aanze nyingine!
Mimi ningemshauri to borrow a leaf from mzee Mwinyi ya kuwa na muda wa mazoezi kila siku bila kukosa hata akiwa safarini; she can do stretching exercises.
Nyie endeleeni kumpoteza, lol
 
mama acha aitwe mama na mwanae!!
nimefanikiwa sana leo hii kimaisha lakini ajabu mungu amemchukua mama yangu....

natamani haya mafanikio nipo nayo leo angekuwepo ayaone!hizi zote ni juhudi zake mama yangu!i wish she was there for me today..😢😢

now i feel love my mother like never before..


love her more than anything..

RIP MY MOM..

leo nalia kama ndio msiba umetokea
Pole sana mkuu, nimehuzunika pamoja nawe, muombee mama yetu aachwe huru na adhabu za Mungu.
 
Afanye kazi, amesema mwenyewe kazi iendelee...no huruma no chochote, let her work. Siku ikifika likizo yake aende makunduchi akapumzike. Mbona sisi husemi tupumzike kabla ya likizo zetu Becky. Au sisi hutupendi?
 
Hii ni Chance ya akina Mama kuonyesha kuwa wanaweza hata kuiendesha Nchi, tena mimi namshauri apige kazi ili wale 'wachuro' wanaosema kuwa Wanawake hawawezi wafunge kabisa midomo yao.

Kuna Watu walishaanza kushutumu Uraisi wa Samia kwa sababu tu ya Jinsia yake, hao bado wako wanasubiri wapate sababu ya kuanza kumsimanga.

Piga kazi Raisi wetu kipenzi Samia Suluhu Hassan, utapumzika ngwe yako ya pili.

Katika kipindi hichi kifupi Samia amewafunga midomo Washabiki na Wafuasi wa Mfumo Dume hapa Tanzania na kwengineko Duniani
 
mama acha aitwe mama na mwanae!!
nimefanikiwa sana leo hii kimaisha lakini ajabu mungu amemchukua mama yangu....

natamani haya mafanikio nipo nayo leo angekuwepo ayaone!hizi zote ni juhudi zake mama yangu!i wish she was there for me today..

now i feel love my mother like never before..


love her more than anything..

RIP MY MOM..

leo nalia kama ndio msiba umetokea
Pole! Muenzi kwa mema!
 
mama acha aitwe mama na mwanae!!
nimefanikiwa sana leo hii kimaisha lakini ajabu mungu amemchukua mama yangu....

natamani haya mafanikio nipo nayo leo angekuwepo ayaone!hizi zote ni juhudi zake mama yangu!i wish she was there for me today..

now i feel love my mother like never before..


love her more than anything..

RIP MY MOM..

leo nalia kama ndio msiba umetokea
We acha tu.
Hiyo kitu inanitesa namimi pia.
Mama yangu ameondoka na kumsitiri nikiwa nae katika nyumba ya kupanga.
Leo nina KWANGU kila wakati nina wish mama angekuwepo akaona na angalau kufaidi mafanikio yangu.
Ila yote ni ya uweza wake MUNGU.
WAPUMZIKE KWA AMANI WAMAMA WOTE WALIOTANGULIA MBELE ZA HAKI
"INNALILLAH WAINNA ILAYH RAJ'UUN"
 
Samia apumzike vipi tena, hizo safari za kwenda Kariakoo na Mbagala na kurudi Ikulu ndio zimchoshe? Kaanza juzi tu kutembea na ziara yake ya kwanza mikoani ndio hiyo ya Mwanza kukagua miradi.

Sioni la ajabu hapo, kama unataka ajifungie ndani asichangamshe huo mwili ndio atakufa kwa pressure kwasababu ya mafuta mnayotaka kumjazia mwilini kwa huruma zenu.
 
Hii mikopo yake Atatuuza Mwisho wa Siku
IMG_1475.jpg
 
Back
Top Bottom