Asante Rais samia, tumeona madaraja watumishi wa umma. Mungu akuzidishie

Mfanye kazi kazi sasa sio mkishiba tu mnaenda vijiweni au mkiwa maofisini na kuanzisha story za kuisifia na kuikosoa serikali
 
Uongo mtupu Nani kapata hela ya daraja mpya?????? Natamani nitukane but
 
Nipo nasubiria Mchengerwa awachukulie hatua maafisa utumishi walioshindwa KUPANDISHA WATUMISHI madaraja 🙄 si aliahidi?

Asipotekeleza Basi serikali inahusika 💯% siyo kuwasingizia maafisa utumishi ilihali inaonekana walijitahid Sana!
 
Back
Top Bottom