Maggie Gobran or Mama Maggie, a Coptic Orthodox, is the founder and CEO of the non-profit charity Stephen's Children in Cairo, Egypt. She was also professor of computer science at the American University in Cairo, is married and has a son and a daughter. She was nominated for the 2012 Nobel Peace Prize.
Leo huko Misungwi kulikuwa na tukio la kitaifa mbashara karibu vyombo vyote. Inasikitisha sana mnatumia muda mwingi kumpamba Rais katika hotuba zenu.
Kazi tunajua mnafanya vizuri lakini mnaboa sana kumpamba mkubwa hadi mnatoka nje ya tukio. Aweso punguza mbwembwe na kuinua misuli na mifano ya...
Hayo ameyasema wakati akihutubia wananchi wa eneo la Busisi wilayani Sengerema wakati wa ukaguzi wa daraja la Magufuli lenye urefu wa zaidi kilomita zaidi tatu.
Je, unyonge wa watanzania umeanza kukemewa na kuwafanya wenye nguvu ndani ya taifa lao? hakika hili jina la wanyonge mi mwenyewe...
Hello JF,
SIjui kama nyie mme observe kama mimi?
Mama yetu ana movements nyingi mno.
Sijui kasafiri na kuona watu/vikundi vingapi ndani ya hii miezi mitatu ya Urais
Mama you cant do everything and be everywhere.
I feel like you want to prove a point, kuwa ni Rais wa tofauti na watu wakuone...
Mama Samia Mtumbue A, Hapi atakuharibia na kutoa imani kwa Watanzania waliyonayo kwako. Alionyesha dhalau kubwa Sana kwa wazee wetu ambao ni Maraisi wasitafu, kumbuka hata wewe ni msitafu mtalajiwa.
Ukimwacha hata wewe ukimaliza muda wako atakuja kukutukana.
Kwani A.Hapi yeye ni nani kwenye...
Habari wadau,
Mwishoni mwa mwezi 5 mwaka huu CHADEMA kupitia Mwenyekiti wao Freeman Mbowe walitangaza kuanza ziara nchi nzima za kufufua chama na kusaka wanachama wapya.
Unaenda mwezi wa pili sasa Mbowe alishazunguka kanda nyingi lakini hakuna kanda hata moja walipoonekana wakipokea Wanachama...
Zawadi zake haziteketezi miti ya Mpingo (blackwood) kama kipindi cha Mwendazake ambapo alikuwa akiangusha miti kutengeneza zawadi ya vinyago kwa Marais na wageni wake.
Hiki kitu kilikuwa kinaniuma maana ilikuwa ni uharibifu wa mazingira!
VS
Habari wadau!
Hawa CHADEMA ni watu wa ajabu sana, walianza na harakati za kumshusha Sabaya wamefanikiwa kumchafua kisiasa na sasa kesi ipo mahakamani.
Leo wanataka kumshusha Diamond Platinumz kisa kuunga mkono CCM kwenye uchaguzi wa 2020.
Haya yote ni matokeo ya visasi yaani hawana uvumilivu...
Dah!! Haya mambo tumeyazoea kuona kwenye nchi kama Marekani, Uingereza n.k
Kitendo alichofanya huyu dogo Josephat kama ungekuwa utawala wa mwendazake sasa ungekuta wazazi wanamtafuta huyu kijana.
Kwanza angepotezwa kwa kuidhalilisha serikali bila kusikilizwa hoja zake,angepigwa na kuvunjwa...
Kwa heshima naomba nkuvulie kofia niliyovaa wakati huu naandika huu uzi.
Wakati historia inaandikwa juu ya upatikanaji wa katiba mpya ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Maxence Melo tutamtambua kama prominent figure wa kwanza kabisa kutoka hadharani na kumuomba Mheshimiwa Rais Mama yetu...
Niliwahi kuandika mwaka 2016 kumsihi Mheshimiwa Rais Hayati Dr. John Joseph Pombe Magufuli kwamba asizihamishe Hospitali za Rufaa za Mikoa kutoka TAMISEMI kwenda Wizara ya Afya, kwa sababu Hospitali hizi zilinufaika zaidi kiutawala zilipokuwa chini ya TAMISEMI...
Leo nimezikuta habari za Mzee wa Madrassatul Abraar ambae pia ni member wa JF kwenye group la kuwezeshana ujenzi zilizonifurahisha sana na nikajiuliza, hawa wazee wa Madrassa wamempiku hatua moja Mama Samia Suluhu?
Mama Samia Suluhu juzi alipokuwa akiwaapisha Makatibu Tawala alisema "asilimia...
Ni ukweli ulio wazi ya kua Nchi yetu pendwa Tanzania ilikuwa inadidimia kwa kasi katika ktk suala la haki za raia wake. Mathalani ilikuwa imekua vigumu kwa watu kupaza sauti zao hata katika mambo yaliyo wazi kabisa kama wananchi kunyanyaswa, wafanya biashara kuonewa, wafanyanyakazi kutoongezewa...
Mbunge mstaafu wa Mbeya mjini kupitia Chadema mh Mbilinyi aka Sugu amesema hata tukiweka siasa pembeni anamkubali na kumpenda mama Samia, mh Rais wa JMT.
Mwendazke na uzalendo wake wote hakutaka kuweka mifumo kabisa ndo maana kwa sasa kila kitu chake kishapinduliwa.
Mama na yeye haelekei kujenga mifumo bali anafuata nyayo za mwendazake, Je ni kitu gani wanaogopa? Kwanini hawataki kuweka mifumo?
Mama anaweza kuacha legacy ya kuwa Rais pekee...
Kila mmoja sasa anajua kuwa Rais Samia Suluhu Hassan alikuwa Makamu wa Rais wa Mwendazake Hayati Dr. John Pombe Magufuli. Tunajua pia kuwa Rais Samia alichaguliwa kwa kura zilezile za Mwendazake mwaka 2015 na 2020. Alikuwa msaidizi nambari moja wa Mwendazake. Lakini, kikatiba Mwendazake ndiye...
Mama Samia leo asubuhi aliamkia Soko la Karikaoo kuangalia biashara inavyokwenda na kuzumgumza na viongozi wa soko.
Allah ana rehma zake na hutukumbusha mengi kwa njia ambazo mtu huwezi kutegemea.
Hapo aliposimama kwenye gari Rais Mama yetu Samia Soko la Kariakoo alikoelekeza sura yake ni Mtaa...
😀😀😀😀😀 niko hapa sebuleni kwangu naangalia Tv nimefurahi sana Rais Samia alivyosita kuingia wodini baada ya kuambiwa ni maalum kwa ajili ya wagonjwa wenye matatizo ya kupumua hospitali ya Mwananyamala.
Mei 13, 2021 Rais Samia Suluhu alimsimamisha Lengai Ole Sabaya kuwa Mkuu wa Wilaya na kuamuru uchunguzi dhidi yake. Zaidi soma - Rais Samia amsimamisha kazi Ole Sabaya
Baada ya kusimamishwa kazi, iliripotiwa kuwa Ole Sabaya anapanga kutoroka nchini. Zaidi soma
- Ole Sabaya apanga kutoroka...
Kwako mama Samia,
Inasikitisha kuona wizi wa mafuta bado upo tena sasa ni unaendelea kuwadhulumu wafanyabiashara wa mafuta wanaotumia Kurasini Oil Jetty yaani baada ya kusomeka katika flowmeter mafuta yananyonywa na wanaonunua wanabaki wakipata mafuta pungufu. Hii si sawa!!
Nashauri bomba lote...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.