malipo

  1. F

    JamiiForums Tanzania Wizi malipo Mock mkoa wa Manyara

    Hii dhuluma kwa walimu zitaisha lini?kwa halmashaur ya wilaya babat afisa taaluma sekondari wilaya amelipwa 270,000/wakuu wa shule wanajiita kamat ya mitihan 240,000.waalimu waliosahisha kwa siku tatu wamelipwa elfu 20,000. Wengi walitumia nauli hapo toa elf 6 kwa siku 3.waalimu waliotokea...
  2. beijing_07

    JamiiForums Tanzania Gerson Msigwa: Watanzania wawasikilize wataalamu, chanjo za COVID-19 zinahakikiwa na TMDA na Mkemia Mkuu

    Mtangazaji: Tuanze na suala la chanjo, tumepata taarifa kesho Rais Samia Suluhu atazindua utaratibu wa chanjo na yeye atachanjwa. Utaratibu utakuwaje kama umeshawekwa na Serikali? Msigwa: Baada ya kuwasili dozi za chanjo zaidi ya milioni 1, kesho asubuhi mheshimiwa Rais atazindua zoezi la...
  3. secret file

    JamiiForums Tanzania ABSA Bank lipeni watu haki zao; acheni kesi zisizo na maana, mnajiaibisha!

    ABSA bank hapana shaka mmerithi mikoba ya Barclays Bank, badala ya kuendekeza makesi yasiyo na kichwa wala miguu nawashauri lipeni watu stahili zao.
  4. I

    JamiiForums Tanzania Maoni: Malipo ya Wabunge yapunguzwe

    Ninatazama Utv Alasiri hapa kwa kweli nchi hii bado tuna changamoto nyingi na pia kundi kubwa la watu hasavijijini wanaishi maisha magumu mno. Mfano hapa wananchi wa Lindi Njinjo walikua wanaelezea jinsi gani wanavyosumbuliwa na barabara mbovu ambazohupelekea hata kipindi cha mvua wakina mama...
  5. mwilawi

    JamiiForums Tanzania Msaada kuhusu malipo kwa visa card za bank

    Jamani mimi niko na ATM card ya Equity bank, inaonyesha kuwa iko na uwezo wavkufanya malipo kwa VISA . SWALI LANGU KWA WAZOEFU . Naomba kujulishwa usalama wa akaunti yangu baada ya mm kilipia app au manunuzi yoyote kwenye mitandao maana nimeona wakati wa manunuzi kwe site husika nahitajika...
  6. Mung Chris

    JamiiForums Tanzania Je, serikali imebadili rasmi tarehe ya malipo ya mishahara na je pensheni inalipwa kama walivyoahidi?

    Kati ya tarehe ambazo watumishi walikuwa nazo uhakika za malipo ya mishahara ni tarehe 23 ya kila mwezi na ikiangukia wkend basi walikuwa wanalipa kabla ya tar hiyo, je kuna kitu gani ambacho hakiko sawa maana hata serikali haija tangaza rasmi tarehe mpya ya malipo ya mishahara kuwa imebadilika...
  7. Mkushi Mbishi

    JamiiForums Tanzania Natafuta mtaalam wa kurudisha email iliyosahaulika password

    habar ndugu zangu natafuta mtaalam nitakayemlipa kama tutakavokubaliana ili anirudishie email yangu ya gmail ambayo nimesahau pasward zake..namba nilizoweka kwenye email ni mbili lkn nikibonyeza forgot pasward wanatuma code nikiingiza code,wanataka kutuma tena kwenye namba yapili. kibaya zaidi...
  8. TheForgotten Genious

    JamiiForums Tanzania SoC01 Pendekezo: Mfumo mbadala wa Manunuzi ya Umeme

    Umeme ni hitaji muhimu katika maendeleo ya kila taifa na mtu binafsi,kwa kuwa umeme huzalishwa kwa gharama kubwa na serikali hivyo serikali haina budi kuuza umeme kwa watumiaji kupitia shirika lake la umeme TANESCO.Kwa sasa Tanesco kwa asilimia kubwa ya wateja wake wananunua umeme kupitia...
  9. P

    JamiiForums Tanzania WABUNGE: Kodi ya mshikamano ianzie kwenye malipo ya Wabunge yapitie kwenye simu

    Wenzetu Wabunge wawe wakwanza kutumia kodi ya mshikamano kwa kulipwa kwa njia ya simu. Kwa kuwa wabunge wana mishahara mikubwa na malupulupu kibao ipendeze kodi hii ya mshikamano kila malipo ya mbunge yapitie kwenye simu take. Hii itasaidia kuutunisha huu mfuko wa mshikamano kwa kasi nakufikia...
  10. Erythrocyte

    JamiiForums Tanzania ATCL ni vema mkatuonesha risiti za malipo ya kukodi ndege za umma zinazotumiwa na Katibu Mkuu wa CCM

    Katibu Mkuu wa CCM ameonekana Zanzibar na kwingineko katika ziara za chama chake, ameonekana akitumia usafiri wa ndege za ATCL ambalo ni shirika la umma. Sasa ili kuondoa minong'ono ya chini chini iliyoanza kusikika kwamba ANATUMIA NDEGE HIZO BILA KULIPA CHOCHOTE , Ni vema basi shirika hilo...
  11. Isike Moses

    JamiiForums Tanzania Malipo ya fomu kwa Wakala wa Huduma za Misitu (TFS)

    Naomba kufahamu, akaunti namba ya kufanya malipo ya fomu ya maombi ya kuomba usajili wa kuvuna na kutengeneza mkaa kwa CRDB au NMB ni ipi?
  12. Black Legend

    JamiiForums Tanzania Disappointment: Why watumishi wanachezewa hivi? No madaraja, no malipo ya madai ya mishahara

    Kupitia waziri wa utumishi na utawala bora, mh Mohamed Mchengerwa, serikali iliahidi kupandisha watumishi wake vyeo kwa kada mbalimbali, ikiwepo na kutenga bilioni 300 kwa ajili ya kulipa madai ya malimbikizo ya mishahara. Lakini siku ya leo baada ya mishahara kutoka kumekuwa na vilio kila...
  13. mirindimo

    JamiiForums Tanzania Dodoma: Nicodamus Maganga (Mbunge) adai Mishahara na Posho haiwatoshi Wabunge. Ashangiliwa...

    "Kuna manung'uniko maslahi ya Wabunge ni kidogo, wakati sijaingia humu nilikuwa nafikiria kuna posho za kutosha, nimeangalia Mabunge mengine wanalipa kwa dola, tusiwaogope Wananchi kwenye Ubunge hakuna kitu tunatukanwa tu mitandaoni”—-Mbunge wa Mbogwe, Maganga ==== Dodoma. Mbunge wa Mbogwe...
  14. B

    JamiiForums Tanzania Rais Samia, una taarifa za changamoto ya mifumo ya TEHAMA nchini hasa kukosekana kwa huduma ya malipo up (control number)?

    Ni takribani mwezi Sasa malipo ya serikali hayafanyiki kwenye taasisi mbalimbali baada ya kile kinachodaiwa mfumo wa hazina unaotoa control number kushindwa kufanya hivyo. Kutokana na changamoto ya control number fedha lazima zitakuwa zinapigwa kwa sababu huduma zinatolewa manually kitu ambacho...
  15. Red Giant

    JamiiForums Tanzania Kwanini nchi yetu hairuhusu watu kulipwa kwa Paypal? Kuna sababu gani ya msingi?

    Wandugu kwanini Tanzania hawaruhusu watu kupokea malipo kwa Paypal, njia rahisi kabisa? Siku hizi kuna kazi nyingi sana mtu unaweza kufanya mtandaoni. Ni wewe tu na bando lako na simu yako au Kompyuta yao. Unaweza kufanya kazi ipo US au kokote duniani. Na njia rahisi ya malipo ni kupitia...
  16. B

    JamiiForums Tanzania Hazina na Serikali Mtandao chunguzeni ufanisi wa malipo ya serikali kupitia control number, huenda tunapigwa kama Rais Samia alivyowahi kutahadharisha

    Wakati Mhe. Rais anaingia Madarakani aliwataka watendaji wa serikali kufanya tathimini kuhusu aina ya mifumo inayohitajika serikalini na kuboresha ufanisi. Juzi Kati Tanesco walipata matatizo kwenye mfumo wa LUKU nakupelekea kukosekana kwa huduma hii. Niliwaza sana kuhusu udukuzi wa kimtandao...
  17. W

    JamiiForums Tanzania Waziri wa Fedha, Katibu Mkuu na Wakuu wa Idara na Vitengo waliohusika katika malipo wawajibike

    Waziri Mkuu aliiibua matumizi mabaya ya fedha za Umma katika Wizara ya fedha. Kiasi cha shilingi Bilioni 2 na ushee, zililipwa ndani ya watumishi wa Wizara husika isivyo halali. Waziri aliagiza Mkurungezi wa TAKUKURU kuchunguza, na aliwataja watumishi 9 kusimamishwa kazi wakisubiri uchunguzi wa...
  18. Erythrocyte

    JamiiForums Tanzania Wadau walalamikia uduni wa risiti zinazotolewa kwa waliopima Corona JNIA , yadaiwa hakuna control number , malipo ni cash

    Ushahidi wa tuhuma hizi huu hapa Hii ndio risiti unayopewa baada ya kulipia vipimo vya COVID 19 kwenye uwanja wa kimataifa . Mungu ibariki Tanzania .
  19. N

    JamiiForums Tanzania Naomba msaada wa kupata Waraka wa utumishi wa umma no 2, wa mwaka 2018, unaokataza malipo ya uhamisho

    Wadau ambaye ana waraka huo naomba ashee na sisi hapa jukwaani au kama haupo ulishafutwa tunaomba basi huo waraka ambao umefutwa maana nimeona barua mtumishi kajibiwa hastahili kulipwa uhamisho wake kutokana na maelekezo ya huo waraka
  20. D

    JamiiForums Tanzania Utaratibu wa malipo ya N-CARD Umeonesha kufeli vibaya katika Vivuko, Waziri Chunguza TEMESA kuna kero za makusudi

    Wakati UDART wameonesha waziwazi kufeli juu ya matumizi ya CARD kwa maksudi! TEMESA nao pasipo kujua ama kwa maslahi yao binafsi, Wameingia kichwa kichwa katika matumizi ya malipo ya N-CARD bila weledi! Abiria wote wameelekezwa kuhakikisha wanatumia N-CARD ili kuweza kulipia kivuko, Hivyo...
Back
Top Bottom