Kuhusu malipo kwa walimu wastaafu

koba lee

JF-Expert Member
Sep 29, 2016
964
1,552
Kwema wakuu?

Mwenye ufahamu kuhusu malipo ya walimu wastaafu yanavyofanyika naomba anipe ujuzi, je hela wanaingiza yote au wanaingiza kidogo kidogo au wanaipiga pini hadi muda fulani upite.

Maana beki hazikabi uchumi umekaa tenge nataka nirudishe mpira kwa kipa kwa mtu fulani nasikia mpunga ushasoma afu yeye kimya haongelei wala nini.

Nisijekusahauliwa katika kukata keki wakuu.

Asanteni.
 
Wastaafu wamekopwa?

Wakianza kupewa kimafungu wataweza kutimiza malengo?

Serikali iwalipe wastaafu,kwani nao ni wastaafu tarajali.
 
Back
Top Bottom