Hili likifanyika litaondoa manung'uniko ya Wananchi kuhusiana na Mali hii ya Umma kutumika kama Chombo cha CCM.
Enzi za Chama kimoja kutumia rasilimali za Taifa kwa manufaa binafsi si tu kwamba zimekwisha, bali hali hiyo ikiachwa iendelee inaliaibisha Taifa zima na kufedhehesha demokrasia.
Ninahitaji ushauri,
Mimi ni mfanyabiashara hapa Tabora na huwa nalipa SDL ya wafanyakazi bila kuwachelewesha malipo ya mwezi.
Tulivyoenda lipa SDL ya mwezi wa kwanza tukalipa na nikaambiwa malipo ya mwezi unaofuata tutalipa online tumefanya hivyo ila sasa ukiingia online ninaona imeandikwa...
Dar es Salaam. Rais wa awamu ya nne, Jakaya Kikwete amesema gavana wa zamani wa Benki Kuu ya Tanzania (BoT), Profesa Benno Ndulu ndiye aliyetoa fursa kwa mitandao ya simu kuanza kutoa huduma za kifedha hapa nchini.
Kikwete aliyasema hayo Aprili 22 nchini Marekani wakati wa majadiliano maalumu...
Habari wakuu,
Bila kupoteza muda, Nawasilisha ombi langu la ridhaa ya kutafuta masoko na kuuza bidhaa yoyote halali kama vile ardhi,magari, au bidhaa mbalimbali kutoka kwenye kampuni,taasisi au maduka binafsi kwa makubaliano maalum ya malipo kwa commission ya asilimia kadhaa kadri...
Habari za leo wadau,
Nimepata hili wazo week hii, ushauri wenu kama linatekelezeka. Background kidogo:
Mimi ni kijana, nina nafasi ya kupata mkopo kwa interest rate ya 5.6% kwa mwaka, kiasi cha mkopo nachoweza kuchukua maximum ni 125M marejesho miaka 4-10.
Mimi sio mtu wa biashara na pia...
Heshima yenu wakuu
Kinachotokea kwa sasa mitandaoni, bungeni na mitaani ni matokeo yaliyopandwa na mwendazake.
Bungeni kuna mmyukano mkali, mitandaoni ndio hakufai.
Wapo wanaomponda mwendazake na wapo wanaomsifia.
Jambo moja la kuweka kichwani ni kuwa mwendazake alipokuwa hai wasifiaji na...
Sarafu hizi zilitumika enzi za utawala wa dola ya rumi,na hasa zilitumika katika malipo ya ngono na ulilipwa tokana na aina ya mtindo uliotumia katika uasherati.Mfano mzuri ukitazama katika movie ya SPartacus.
Because they show exactly what they were ment for - to pay a prostitute. Those coins...
Leo Mrisho Gambo ametema cheche bungeni kwa kuitaka serikali iongeze nyongeza za mishahara ya watumishi na kutaka makato ya wanafunzi bodi ya mikopo yapunguzwe kutoka 15%
Amesema, sheria huwa hairudi nyuma sasa inakuwaje sheria iliyoweka 15% ianze kufanya kazi kwa watu waliokopa kabla ya sheria...
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa amesema malipo ya ununuzi wa ndege mpya tatu yamekamilika, na zinatarajiwa kuwasili mwaka 2021/22.
Akiwa Bungeni Dodoma leo, Waziri Mkuu amesema ununuzi huo utawezesha Serikali kuwa na jumla ya Ndege 12. Aidha, amesema kuanzishwa kwa safari za Guangzhou (China)...
Meneja wa fedha wa kampuni ya Clouds Media Group, Issa Masoud amesema walitoa vielelezo vyote ikiwa ni pamoja na stakabadhi kwa Wizara ya Maliasili na Utalii kufuatia malipo ya Sh 629.7 milioni kwa ajili ya matangazo ya tamasha la urithi mwaka 2018.
Masoud ametoa ufafanuzi huo leo Alhamisi...
Kwema wakuu?
Mwenye ufahamu kuhusu malipo ya walimu wastaafu yanavyofanyika naomba anipe ujuzi, je hela wanaingiza yote au wanaingiza kidogo kidogo au wanaipiga pini hadi muda fulani upite.
Maana beki hazikabi uchumi umekaa tenge nataka nirudishe mpira kwa kipa kwa mtu fulani nasikia mpunga...
Ujumbe naowapa ndugu zangu mchana wa leo ni kwamba tutende wema. Usimuumize mwenzio. Malipo ni hapahapa duniani.
Mtag ndugu yako mwambie malipo ni hapa hapa duniani. Kuna watu leo hii wanateseka wanatamani wafumbue macho waombe msamaha lakini wapi
Katika Watanzania wanaoziharibu (Fedha za Noti) za Tanzania ni makondakta & madereva wetu wa vyombo vya moto yaani magari ya abiria na mizigo wakishirikiana na wasimamizi wa Sheria za nchi hii (Traffic).
Fedha tajwa hapo juu hutolewa kwa njia ya kidhalilishaji kwa sarafu zetu na askari pia...
Akikazia mawazo ya wabunge kama kawaida yake nimemsikia Spika ameitaka Wizara ya Elimu na Mafunzo ya Ufundi kuwaongezea masomo ya kufundisha walimu kwa maana ya kuwafundisha kuyafundisha tangu wakiwa vyuoni hasa vyuo vikuu ili kupunguza uhaba wa walimu na kuongeza tija kwa Wanafunzi.
Akitolea...
Wafanyakazi wa Afya na Walimu ni waajiriwa wakuu serikalini. Mshahara wao na hali yao ya kazi ni duni sana . Na tunapaswa kuwahurumia na kufanya kazi kwa bidii ili kuboresha hili swala.
Walakini, katika siku za hivi karibuni tumesikia visa kadhaa vya kushambuliwa na ubakaji wa wagonjwa na...
Wasalaam wana JF
Najua humu kuna wajuzi na wataaluma wa mambo mbalimbali. Nataka kujua kuhusu malipo ya likizo. Kuna hiki kipengere cha "Incidental expenses on journey" kina hitaji mwajiriwa alipwe katika mazingira yapi, maana kuna anaye safiri siku tatu ndipo anafika kijijini kwao hasa msimu...
Habari zenu wakuu,
Naomba msaada kwa ambao walikuwa ndani ya utumishi wakaomba likizo bila malipo utaratibu wake upoje. Kwa maana kwamba naanzia wapi ili nipate na huwa wanatoaga muda gani? (miaka)
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.