Kudadadeki malipo ni hapa hapa duniani kumbe kuna Mtu Kakimbiwa na Mkewe, ila Watu wa Media na Wadhamini wake wanamfichia Siri

MINOCYCLINE

JF-Expert Member
Apr 2, 2015
8,011
16,748
Kumbe huu Upole wa hizi Wiki Mbili ni za Kuwaza jinsi ulivyooa kwa Mikogo ( japo waliofanikisha Ndoa yako ndiyo hao hao tena Wanakusaidia Kazi ) na sasa Mke Kakukimbia na unahaha Kumrudisha ila mpaka Mightier naandika Uzi huu hujafanikiwa bado.

Na ili uone kuwa Watu tunajua Kufukunyua Taarifa Ngumu na Nyeri za Kijamii ni kwamba kumbe hata ile Siku uliyotudanganya umepata Ajali Usiku Mkeo alikupiga na Kukuumiza kidogo kwakuwa ulirejea Kwako ukiwa Umelewa Chakari kama Kawaida yako na uliogopa kwenda katika Interview yako kwa Majizzo FM kwakuwa Uso ulikuwa Umeshaumuliwa na Kuumuka vizuri tu.

Ulivyokuwa Ukiwatukana Watu na Kuwadhihaki ulijua kuwa Mwenyezi Mungu hatowajibia kwa namna ya Kipekee? Haya sasa kipo wapi? Huyu ni Mke wa Pili anakukimbia hujiulizi na hujishangai tu?

Siri imeshafichuka Kudadadeki na bado!
 
Kwani mwanaume akikimbiwa na mke si anaoa mwingine!!

Kuna aibu gani hapo, wakati vyombo vipo kibao hadi vingine vinabeba mabango ya kutafuta waume...
Hopeless Wewe..... Mwanaume kukimbiwa na Wake mara Mbili ni Sifa? Sasa kama si Aibu mbona anahaha Kuficha hili Jambo na hatimaye Mfukunyuaji Mightier nimelipata kama lilivyo?

Mwambieni aendelee tu Kubwabwaja!!
 
Wanajf kwa umbea,
nmewanyooshea mikono
IMG_20210520_020503.jpg
 
Baadhi ya watu maarufu wanashindwa kudumu katika Ndoa.
Kwangu imenisikitisha sana swala zima la kukimbiwa na mke mara kwa mara.
Ndoa ni taasisi nyeti sana na neno la Mungu linasema.

Waebrania 13:4
"Ndoa na iheshimiwe na watu wote, na malazi yawe safi; kwa maana waasherati na wazinzi Mungu atawahukumia adhabu."

Ndoa na iheshimiwe na walio ndani ya ndoa pia.

Ila wako watu hawawezi kudumu katika ndoa, sababu hawana tabia zinazotakiwa kwa wanandoa.
 
Back
Top Bottom