Inakuaje Serikali ya nchi flani ijipange kuifuta nchi nyingine?
Hapa najiuliza sipati jibu. Taifa kutafuta NGUVU za kivita ukiwa na lengo ya kuzitumia sio kujilinda bali kwenda kuliangamiza taifa lingine ambalo liko zaidi 2000 km kutoka hapo ulipo.
Mbona Kuna mataifa MENGI ya kiislam tena...
Wakati Bunge la Jamhuri ya Muungano chini ya Spika Dkt. Tulia Ackson likielekea ukiongoni kabla ya Uchaguzi Mkuu wa Oktoba 2025, kumekuwa na maoni ya kupwaya kwa Bunge hilo kwa kushindwa kufikia malengo ya Wananchi wanaowakilishwa zikiwamo changamoto za utawala bora, uchumi na kijamii.
Hayo...
Wadau hamjamboni nyo. te, Msemaji wa IDF: Israel imeipiga Iran bila kusimama kwa saa 40, ikijumuisha zaidi ya malengo 150 Tehran haina kinga tena , Emanuel Fabian Fuata Leo, saa 8:55 mchana Msemaji wa IDF Brig.
Jenerali Effie Defrin, katika mkutano na waandishi wa habari, anasema...
Vyombo vya Usalama vinalinda Usalama wa mali na raia.
Usalama ukitoweka walinzi wa Usalama ndio wanalaumiwa.
Kama viongozi watatumia vyombo vya Usalama kuwakandamiza wananchi au kuwadhulumu wananchi haina maana kwamba Polisi wanaruhisiwe kuwaachia vibaka waibe .
Polisi hawana mamlaka juu ya...
Wanabodi leo ni Juni 1, 2025. Nusu ya mwaka imekatika.
🎯 Malengo Yako Mwaka 2025 – Je, Upo Njia Sahihi?
Tukumbushane wanabodi.
Muda hausubiri mtu; na uzee ndiyo unasogea.
Ni wakati mzuri wa kujipima, kujikagua na kujisukuma zaidi.
✅ Jiulize Maswali Haya:
- Niliweka malengo gani mwezi...
Inakuwaje mnataka kuset standard ya maisha kwa kila mmoja wetu,tumeziharibu tamaduni kwa kuifanya dunia yote iwe na tabia moja,akili na muelekeo mmoja.
Tunaforce kila mmoja afikirie utajiri na kwanini isiwe elimu au watoto?
Sikuhizi limezuka wimbi la vijana kukashifu ndoa hivi vijana mnakwama...
HAKIKISHA una PASSPORT
Kama huna sema uelekezwe kwa kuipata
Niaje wakuu
Lengo la group letu ni kupeana taarifa na mbinu pia scholarship na fursa zote zitazakazotupeleka NJE YA AFRICA.
GROUP hili linahusu kutafuta SCHOLARSHIPS ikiwa lengo sio kwenda kusoma but lengo ni kukwea pipa
Ila kwa...
Kufuatia kuenea kwa matangazo kwamba wananchi wa Gaza waandamana kuwapinga Hamas,wapiganaji wa makundi mchanganyiko huko Gaza wamesema wataanza kuwatafuta mapandikizi ambao wanafanya kazi za kufanikisha malengo ya Israel.
Wapiganaji hao wamewakumbusha wananchi wa Gaza kwamba chochote...
Moja ya taifa lililofurahia kwa kuvunjwa kwa sauti ya Marekani (VOA) ni China ambayo imesema redio hiyo kwa lugha zote kubwa duniani ilikuwa ni kiwanda cha hadhithi za uongo.
Katika hatua za hivi karibuni alizochukua raisi Trump ni kufukuza kazi wafanyakazi wote wa VOA na kuifanya taasisi hiyo...
Awe na sifa zifuatazo
Awe na miaka kati ya 25 mpaka 30
Awe Mkristo
Awe tayari kupima hiv
Awe anaishi dar es salaam
Elimu bachelor ya kozi yeyote ile
Sifa zangu
Nina miaka 33
Kazi; duka kariakoo
Sina mtoto
Elimu bachelor
Kinje kama kinje kaongea
Akiongea na Radio moja pale SA
Kasema kwa sasa anaangalia mambo yake kwani kuweka malengo kwa wanawake ni kupoteza muda
Amesema kwa sasa wanawake wamekua na tamaa ya Mali na mafanikio ya haraka kuliko chochote.
"Fikiria mtu anajiuza apate pesa unadhani huyo anaweza...
Ili swala sio utani ila waafrika wengi tunapenda umaskini wa kufikia malengo.
Tumeona kuanzia serikali yetu ambavyo kuna mambo ambayo kama bima za afya,sekta za uwekezaji ndani na nje swala la kodi na misimamo ya siasa ambayo chama kikubwa utumia nafasi kama mtaji mkubwa sio kusingizia kuwa...
Wanabodi,
Hii ni makala yangu kwenye gazeti la Nipashe la Leo.
Kwa vile huu ni mwaka wa Uchaguzi, na mimi mwandishi wako wa makala hizi, zaidi ya kuwa ni mwandishi na mtangazaji wa kujitegemea, pia ni mwanasheria na wakili wa kujitegemea, na kwa muda mrefu, nimeandika sana kuhusu katiba ya...
Habari za muda huu waungwana wa hapa jamvini......
Kwenye ulimwengu wa sasa uliojaa changamoto za ulaghai na uaminifu imekuwa ni changamoto kubwa sana kukutana na mwenza mwenye moyo wa dhati wa kujenga maisha na wewe......
Limekuwa jambo la kubahatisha kwa kuwa wakati mwingine waongo na wa...
Wanawake wanapaswa kuwa na ufahamu wa kutambua ni mwanaume gani yuko tayari kwa ndoa na ni nani ambaye hana malengo ya ndoa .Hii itawawezesha kuwa na uamuzi bora kuhusu uhusiano wao na kuepuka kuumizwa.
Mwanaume Aliye Tayari kwa Ndoa:
1. Anaonyesha nia ya dhati: Mwanaume ambaye yuko tayari...
Nimeona taarifa Neymar Jr anarejea zake kwao Santos kutokea Uarabuni. Kipaji maridhawa kilichoenda na maji.
Neymar alitajwa kama mmoja ya wachezaji bora watakaovunja ufalme wa Messi na Ronaldo, lakini wapi!!
Neymar baada ya kuona ameshindwa kuwa mfalme Barcelona akakimbilia PSG ghafla na...
Na Mwandishi Wetu
Gombati amesema hayo jana Januari 24, 2025 Mkoani hapo alipokuwa akifungua mafunzo ya wataalam hao kunolewa kuelekea kampeni hiyo itakayotekelezwa katika Halmashauri zote za Mkoa wa Geita
Uzinduzi wa Kampeni hiyo unatarajiwa kufanyika Januari 26, 2025 katika Uwanja wa CCM...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.