malengo

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. idiomer

    JamiiForums Tanzania Hivi wizara zinakuwaga na malengo? Je zinaweka malengo kulingana na dira mfano ya 2050?

    Naona kuna baadhi ya mawaziri wakiingia kama wana mambo yao vile wakiondoka yameisha? Mfano waziri fulani alikuja na vazi la taifa , mwingine singeli mwingine contents creators, ........
  2. Brayan_Jk

    JamiiForums Tanzania Una malengo ya kuanza ufugaji kuku 2026? Zingatia haya kabla hujawekeza hela yako kuepuka hasara

    Nimefuga kwa miaka kadhaa ,kwa mtu ambaye anataka kuanza serious ufugaji wa kuku 2026 ,ningemshauri azingatie haya Habari ya mwaka mpya wafugaji wenzangu, Kila mwaka kuna watu wengi wanaanza ufugaji wa kuku kwa matumaini makubwa, lakini wengi wao wanakata tamaa njiani kutokana na hasara ambazo...
  3. Joanah

    JamiiForums Tanzania Malengo Yako Ya 2026 ni yapi?

    Hi people, Heri ya mwaka mpya Malengo yetu ya 2026 ni kupata mtoto wetu wa kwanza, napata mimba mwaka huu na kujifungua mwaka huu Nachowaza ni kulea....sina experience ya kulea,sijawahi kukaa na mtoto mdogo kwa hata lisaa Kingine nikiwaza kuchanika kei wakati wa kupush nachoka mimi Kingine...
  4. jblus

    JamiiForums Tanzania Malengo ya mwaka 2026

    Kwa juhudi na kumuomba Mungu, nina imani mambo haya nitayatimiza mwaka huu 2026. Jua liwake mvua inyeshe inabid niyatimize kwa namna yoyote... 1: Kuimarika kiroho, Natamani kuwa karibu na Mungu wangu zaid mwaka huu kuliko kuliko chchte. Amekua akinionekania kwenye mambo mengi sana hivo...
  5. DuaZaMama

    JamiiForums Tanzania Huwa unaweka malengo kabla ya kuanza mwaka, au baada ya mwaka mpya?

    Watu wengi hutofautiana katika namna ya kujiwekea malengo—wapo wanaoanza kupanga kabla mwaka haujaisha, wakitumia muda kutafakari yaliyopita na kujipanga mapema, na wapo wanaosubiri Mwaka Mpya uanze ndipo waanze kuandika malengo yao. Wewe uko upande upi, na ni nini kinakusaidia zaidi kufanikisha...
  6. A

    JamiiForums Tanzania Je, malengo uliyoweka toka mwaka huu uanze umeyatimiza?

    Kila mwanzo wa mwaka kila mtu anaweka malengo ya kutimiza ndani ya mwaka husika je kwa mwaka 2025 yapi umeyatimiza?
  7. Mwanamwana

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Rais Samia: Walioratibu fujo Oktoba 29 walitaka watanzania kuwa makafara kwa malengo yao ya kisiasa yaliyojaa ubinafsi

    Rais Samia amesema vurugu zilizotokea Desemba 29 na kuendelea siyo desturi wala utamaduni wa Watanzania. Ameongea kuwa inatia uchungu kuona wachache walioratibu fujo zile wakitaka watanzania wenzao kuwa makafara kwa malengo yao ya kisiasa yaliyojaa ubinafsi tofauti na siasa zilizopo, lakini kwa...
  8. Gengis Khan wa Jf

    JamiiForums Tanzania Naahidi haya ikiwa malengo ya maandamano yatafanikiwa au Keyboard warriors wakikinukisha Oktoba 29

    Mzuka wana Jamvi . Kama tunavyojua kawaida wabongo ni wazuri wakishambulia kutokea mitandaoni na katika real life ikiwa kwa njia ya usengenayji kwa ufupi wabongo ni 'Ignorant Cowards ' Kujikuta Fidel Castro kutaka kukomboa kwa njia ya fujo na kukurupuka k ilhali kumejaa wapuuzi na upuuzi...
  9. Robert Heriel Mtibeli

    JamiiForums Tanzania Malengo makuu ya Vita ni Kuishi na kushinda; sio kujitoa mhanga

    MALENGO MAKUU YA VITA NI KUISHI NA KUSHINDA; SIO KUJITOA MHANGA. Anaandika, Robert Heriel Mtibeli. 1. Unapoingia kwenye vita yoyote jambo la kwanza unapaswa kuangalia uwezekano wa kuishi upo. Kuyalinda maisha yako. Hilo ndilo jambo la kwanza. 2. Jambo la pili, kama uwezekano ni mdogo je kuna...
  10. Vincenzo Jr

    JamiiForums Tanzania Malengo uliyojiwekea mwanzoni mwa mwaka umeyafikia kwa kiwango gani?

    Nilichojifunza 2025 Nguvu ya mwanaume ni PESA tu, hata uwe na umri, akili & busara kiasi gani kama huna Pesa ni bure tu! 2026 Resolutions Kila kitu kinawezekana, tuwekeze nguvu na akili katika kutafuta, fursa zipo tusikalie kulalamika tu, Adui wa mafanikio yako ni wewe!
  11. Mama Ametufikia

    JamiiForums Tanzania Mwanasiasa yeyote ana malengo mawili, kupata uongozi na kupata madaraka .

    Watu mnaowalaumu Chauma , Act n.k Hamuelewi maana ya Mwanasiasa , ukiwa mwanasiasa lengo ni kupata madaraka na Cheo na sio vinginevyo. Maswala ya sukari I me panda au sabuni ni ziada. Ndo maana Lissu alianzia Ccm akaja Nssr akaja Chadema. Kumbeza Yericko Nyerere na Salumu Mwalim nikutoelewa...
  12. biz_mtaa

    JamiiForums Tanzania Unatamani kuanzisha biashara ya event planning? Zijue hizi siri za kufika malengo ya wateja wako katika kuandaa matukio yao

    Kama mtu unayetaka kuingia kwenye biashara ya event planning, jambo kubwa linalokutofautisha na ushindani ni uwezo wa kuhakikisha kila tukio linaendana na malengo ya mteja wako. Tukio linaposhindwa kuendana na matarajio ya mteja, linageuka hasara, sio tu kwa mteja bali pia kwa sifa ya biashara...
  13. Nikifa MkeWangu Asiolewe

    JamiiForums Tanzania Angalia video Hii kisha utoe hukumu kwa haki.

    Binafisi mimi nimetokea kwenye familia ya wafugaji wa mifugo karibia yote yaani mbuzi,kondoo na hata ng'ombe . kipindi tukiwa tunachunga ilikuwa ni fahari sana kulisha mazao ya wakulima tena ikitokea mkalisha na msionwe au kukutwa mtajipongeza kweli. Ukweli usiosemwa ukisikia vita ya wakulima...
  14. Stuxnet

    JamiiForums Tanzania Polepole: Msinishauri kuhusu maisha, mimi sina malengo

    Jamaa yupo yupo tu. Kasema msimshauri kuhusu maisha hana malengo
  15. Foffana

    JamiiForums Tanzania Makosa Matano Makubwa Yanayokwamisha Malengo ya Vijana Wapambanaji

    Habari zenu wakuu Nianze na kibwagizo cha wimbo wa mwanahiphop nguli Tanzania anayejulikana kama Dizasta Vina kwenye wimbo wake unaoitwa Get better aliyemshirikisha Beno Mwampamba Mwampamba anaanza kwa kusema "Leo imeshakuwa jioni Na matokeo tuliyotegemea kuwa mbioni Hata dalili zake...
  16. Fbn

    JamiiForums Tanzania Mazoea na Urafiki Usio na Mipaka Kwenye Biashara ni Saratani Inayoua Malengo Taratibu

    Katika ulimwengu wa biashara, kuna mambo madogo sana yanayoonekana kama ya kawaida—lakini yakiwa hayajadhibitiwa, huwa kama saratani ya kimya kimya. Moja ya mambo haya ni mazoea ya kupitiliza na urafiki usio na mipaka. Haya ni magonjwa ya ndani yanayoweza kuivuruga biashara yoyote, haijalishi...
  17. T

    JamiiForums Tanzania Ili tufikie malengo ya dira ya taifa kabla ya muda tarajiwa inabidi kupunguza Pato la wanasiasa wapewe wataalamu wa kada mahususi

    Nimeisikiliza dira ya taifa ya kuelekea 2050 japo naona haijatutendea haki kwani imetukadiria kwa udogo lkn kama hatutakuwa serious tunaweza tusitoboe. Jambo muhimu ninalopendekeza ili kufikia malengo hayo kwa haraka lazima tupunguze maslahi kwenye siasa na tuweke hayo maslahi kwa wataalamu na...
  18. funaku

    JamiiForums Tanzania Yajue Malengo ya Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania...IBARA YA 9. Anayetaka kuyanadilisha ni muhaini tu

    Kabla ya kukimbilia mitandaoni na kusema mithili ya kasuku inapaswa uisome katiba vizuri usije ukapotoshwa na waropokaji. Malengo yaliyowekwa kwenye katiba yetu bora na kongwe yapo wazi na yamegusa maeneo yote muhimu. Anayetaka kutudanganya eti katiba yetu ni mbovu basi huyu ni muhaini tu...
  19. Echolima1

    JamiiForums Tanzania Kwa nini Israel iliishambulia Iran je Malengo yametimia??

    Nyota zilijipanga': Kwa nini Israeli ilianza vita dhidi ya Iran, na nini ilichopata. IDF iliona kuongezeka kwa tishio la nyuklia, pamoja na kuanguka kwa vikundi vya Hamas,Hezbollah na Houth, na utayari wake wa kuchukua hatua kufikia kilele; ‘tishio lililopo’ limeondolewa, lakini Iran itaendelea...
  20. Tanzanians

    JamiiForums Tanzania Naungana na netanyau Israel imefikia malengo yake ya vita dhidi ya iran

    Israel imefanikiwa kuuwa viongozi wa kijeshi wa iran sio wote ila wengi imewaua kuwapata watu wenye uzoefu kama hawa itachukua mda sana Israel imefanikiwa kuwauwa baadhi ya wataalamu wa nyuklia hii ni achievement kubwa sana fahamu kuwapata watu kama hawa itachukua mda mrefu sana Hii inakupa...
Back
Top Bottom