malcom lumumbamshana jr jingalao msemajikweli

  1. Herbalist Dr MziziMkavu

    JamiiForums Tanzania Usitumie maneno haya unapozungumza na mwanao

    PSYCHOLOGIST WARN: NEVER USE THESE 5 PHRASES WHEN TALKING TO YOUR CHILD It is a fact that no one is perfect and all people make mistakes. But, parents should be aware of the fact that in the eyes of their children, they are not only humans, but they also are guardians, creators and caretakers...
  2. Herbalist Dr MziziMkavu

    JamiiForums Tanzania katunı ya leo Tujikumbushe ya Zamani

    Tujikumbushe ya Zamani
  3. Herbalist Dr MziziMkavu

    JamiiForums Tanzania Tanzania: Kwanini Ndugai amejiuzulu? na historia ikoje?

    Aliyekuwa Spika wa Bunge la Tanzania, Job Ndugai (59), amejiuzulu wadhifa wake kupitia barua aliyoandika jana kwenda kwa Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) - akiuelezea uamuzi huo kuwa umetokana na "uamuzi wake binafsi na uliozingatia na kujali maslahi mapana zaidi ya taifa, serikali na...
  4. Herbalist Dr MziziMkavu

    JamiiForums Tanzania TRILION NUKTA FIVE

    TRILION NUKTA FIVE!!!!!!!
  5. Herbalist Dr MziziMkavu

    JamiiForums Tanzania Ipe neno picha hii

    Ipe neno picha hii...
  6. Herbalist Dr MziziMkavu

    JamiiForums Tanzania Mfumuko wa bei ya Uturuki huongezeka hadi 36%, kuweka rekodi mpya kwa zama za Erdogan

    Turkey's inflation soars to 36%, setting a new record for Erdogan era. Istanbul (CNN Business)Turkey's annual rate of inflation has hit a 19-year high as a currency collapse sends the cost of imports soaring. According to the Turkish Statistical Institute, consumer prices soared 36% in...
  7. Herbalist Dr MziziMkavu

    JamiiForums Tanzania Picha yangu ya leo

    VIONGOZI WA SERIKALI YA AWAMU YA KWANZA MPAKA AWAMU YA NNE
  8. Herbalist Dr MziziMkavu

    JamiiForums Tanzania Ushindani hata kama nchi inaendeleza silaha zake za hypersonic

    (CNN)US Secretary of Defense Lloyd Austin addressed recent Chinese military advancements Saturday, including the test of a hypersonic weapon system and strengthening of nuclear capabilities, saying, "America isn't a country that fears competition." During the Reagan National Defense Forum's...
  9. Herbalist Dr MziziMkavu

    JamiiForums Tanzania Ipe neno lako picha zangu za leo you’ll be surprised once you find out what this lioness did when it found a baby deer

    Looking-For-Food.... KUTAFUTA CHAKULA Preppin’ Up The Snack A number of documentaries and wildlife photographers have spoken about lionesses who have been observed caring for cubs of various species, and this is nothing new. We’ve heard reports of lionesses caring for leopard cubs and even...
  10. Herbalist Dr MziziMkavu

    JamiiForums Tanzania Ipe neno picha ya leo

    Ipe neno picha ya leo
  11. Herbalist Dr MziziMkavu

    JamiiForums Tanzania Ushuhuda wenye funzo kwa wanawake *Majuto ni mjukuu*

    MAJUTO NI MJUKUU Dada zangu kuna kitu cha kujifunza hapa Niliolewa na mwanaume mpole sanaaaaaa miaka mitano iliyopita, yani nikisema mpole ni mpole mno, hakunifatilia hata siku moja, hakuniuliza nini wala nini, alinpa uhuru wa kutosha, nikiaga naenda mahali anasema nenda, hata kama narudi saa...
  12. funaku

    JamiiForums Tanzania Malori yakwama bandarini Dar, madereva walalamikia ukiritimba na rushwa kurudi kama zamani

    Mwananchi online linaripoti kukwama kwa malori bandarini. Je wapo wanaopima kina cha maji? ======== Mwananchi Digital imeripoti kuwa katika bandari ya Dar es Salaam kuna maroli (magari makubwa ya mizigo) yamekwama kwa siku kadhaa hivyo kusababisha madereva wa maroli kulala na kuamka hapo hadi...
  13. Herbalist Dr MziziMkavu

    JamiiForums Tanzania Mafuriko makubwa ya maji yaliyotokea nchini Pakistan mjini Karachi. Haijawahi kutokea miaka mingi hii ni gharika

  14. Herbalist Dr MziziMkavu

    JamiiForums Tanzania TB Joshua: Afungiwa akaunti ya Youtube kwa 'kuwaponya watu wa mapenzi ya jinsia moja'

    Akaunti yake ya YouTube ilikuwa na wafuasi milioni 1.8. YouTube imesimamisha akaunti ya mhubiri maarufu wa Televisheni wa Nigeria TB Joshua juu ya madai ya matamshi ya chuki. Shirika moja la kutetea haki liliwasilisha lalamikoa baada ya kukagua video zisizopungua saba zikimuonesha mhubiri huyo...
  15. Kurunzi

    JamiiForums Tanzania Bandari ya Bagamoyo Ijengwe au Isijengwe? Soma Makala hii Tujadili

    MIAKA sita iliyopita, Mradi wa Ujenzi wa Bandari ya Bagamoyo nchini Tanzania ulikuwa ukitajwa kama mmoja wa miradi ya kimkakati yenye fursa kubwa ya kuzimua uchumi wa taifa hilo. Midomoni kwa watumishi wa umma na viongozi wa serikali, neno bandari ya Bagamoyo halikutoka. Hata hivyo, miaka...
  16. alumn

    JamiiForums Tanzania Umoja wa Mataifa (UN): Kumbukumbu ya Hayati Dkt. John Magufuli

    Salama Wana Mapinduzi wa JF? Ndugu zangu huko Duniani kwa sasa ni Viongozi wa Dunia wanavyomuenzi Mpendwa Wetu Hayati John Pombe Joseph Magufuli kwa kuelezea Uimara na Misimamo Yake thabiti katika Kuunganisha Taifa Letu na Mapinduzi Makubwa ya kiuchumi. Link hii hapa chini karibu tufatilie...
  17. Herbalist Dr MziziMkavu

    JamiiForums Tanzania Jinsi Mashirika ya Ujasusi ya Uingereza na Marekani yalivyozingatia mauaji kama suluhisho

    Je mauaji yanayodhaminiwa na serikali yanaweza kutumika kama mkakati? Na mauaji kama hayo yanaweza kukubalika kweli? Serikali hazikubali hilo, lakini wanasayansi wa nyuklia wa Iran wanajua inafanyika - na sio rahisi kutofautisha mauaji kama hayo na mpango wa serikali ya Marekani kuwauawa...
  18. Herbalist Dr MziziMkavu

    JamiiForums Tanzania Wabeba maboksi wa Ulaya wakijishaua wakati kwao Afrika wamesahau hata kujenga banda la makuti. Loohh! majangaaa hayo

  19. Herbalist Dr MziziMkavu

    JamiiForums Tanzania Barrick Gold yakaribia kufikia malengo yake Tanzania

    Kampuni ya kimataifa ya uchimbaji madini ya Barrick Gold imetangaza kuwa imezalisha dhahabu karibu wakia 500,000 kutoka kwenye migodi mitatu iliyopo Kaskazini mwa Tanzania, mwaka jana. Hii ni mara ya kwanza kwa kampuni ya Barrick kushirikiana moja kwa moja na serikali ya Tanzania katika...
  20. Herbalist Dr MziziMkavu

    JamiiForums Tanzania Mtanzania agongwa na gari na kufariki papo hapo mjini Antalya nchini Uturuki

    Kofia ya Pikipiki ya Marehemu iliyomtoka kichwani wakati wa ajali. Breaking News:: Mtanzania Mwenye Asili ya kutoka Kisiwani Pemba nchini Tanzania akiendesha Pikipiki mjini Antalya nchini Uturuki amepatwa na ajali ya kugongwa na Gari na kufariki papo hapo juzi saa 10 na nusu jioni. Marehemu...
Back
Top Bottom