malcom lumumbamshana jr jingalao msemajikweli

  1. Herbalist Dr MziziMkavu

    JamiiForums Tanzania Mwanamke adai kupigwa ngumi na mchungaji wakati wa maombi

    Mwanamke mmoja ameshindwa kuzuia hasira zake baada ya kudai kupigwa ngumi ya usoni na mchungaji wakati akimuombea. Katika video iliyopostiwa kwenye Mtandao wa TikTok, mwanamke huyo anaonekana akiongea kwa hasira kwamba mchungaji alikuwa akimuombea na kumpiga ngumi kwa uchungu usoni kama njia ya...
  2. Herbalist Dr MziziMkavu

    JamiiForums Tanzania Ama kweli akili ni nywele na kila mtu ana zake

    Mafuriko Makubwa yaliyotokea nchini India kila mtu akijaribu kumuokoa mungu wake asipatwe na mafuriko. Loooh Majanga kweli kweli.
  3. Herbalist Dr MziziMkavu

    JamiiForums Tanzania Kibanda cha mlinzi gharama yake ni Tsh Milioni 11

    Viongozi wanapiga pesa kibanda hicho hakiwezi kufika hata Shilingi Milioni 4 Looohh Majangaa kweli. Ama kweli Kazi iendelee........Hongera Mama Rais.
  4. Herbalist Dr MziziMkavu

    JamiiForums Tanzania Wamekubali akina Mwigulu Nchemba na mawaziri wenzake kuhusu tozo za mialama ya simu

    Waziri wa Fedha na Mipango, Dk Mwigulu Nchemba (kulia) akizungumza katika mkutano na waandishi wa habari uliofanyika jijini Dodoma juzi. Wengine kuanzia kushoto ni Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais (Tamisemi), Innocent Bashungwa, Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu (Kazi, Ajira, Vijana na wenye...
  5. Herbalist Dr MziziMkavu

    JamiiForums Tanzania Picha zangu za leo katika ubora wake

    UNAZIONAJE?
  6. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Simbachawene: Kijana wangu Mshugulikieni hadi awe na adabu kwa mujibu wa Sheria

    Nimeiona clip inayozunguka kwenye mitandao ya kijamii , nakiri kuwa huyo ni kijana wangu ambae ni mtu mzima anajitegemea na anafamilia yake…. Nimemwagiza Mkuu kituo kwa sababu amekosa adabu kwa jeshi la polisi na ametenda kosa la usalama barabarani ASHUGHULIKIWE BILA HURUMA KWA MUJIBU WA...
  7. Herbalist Dr MziziMkavu

    JamiiForums Tanzania Ukitaka kuoa nchini Papua Guinea masharti yake hayo hapo chini

    Huko nchini Papua Guinea kuna kabila linaitwa Dani ambalo mwanaume anapotaka kuoa, sharti akate kidole chake cha mkono wa kulia na kumpelekea mkewe mtarajiwa kama sehemu ya mahari na upendo wake wa dhati kwake. Na kama mwanaume anataka kumpa talaka mkewe, pia ni sharti akate vidole vyake viwili...
  8. Herbalist Dr MziziMkavu

    JamiiForums Tanzania Vita Ukraine Haiwezi Kuisha kwa Kuipuuza Urusi, Jumuiya za Kimataifa Zitambue Hilo

    Vita Ukraine Haiwezi Kuisha kwa Kuipuuza Urusi, Jumuiya za Kimataifa Zitambue Hilo Rais wa Uturuki Recep Tayyip Edorgan akiwa na Rais wa Urusi Vladimir Putin jijini Moscow MSAIDIZI Mkuu wa Rais wa Uturuki amesema kuwa jumuiya ya kimataifa haiwezi kumaliza vita nchini Ukraine kwa kuipuuza...
  9. Herbalist Dr MziziMkavu

    JamiiForums Tanzania Ujumbe maalum kutoka kwa Afande Sele

    Download 720
  10. Herbalist Dr MziziMkavu

    JamiiForums Tanzania Mambo matano unayotakiwa kufanya iwapo simu yako ya mkononi imeibiwa

    Tunaburudika tukiwa mbali na nyumbani, tunapuuzilia mbali kutumia simu ya rununu kwa muda na tunapoangalia mfukoni, begi au mahali tulipoiweka, haipo tena. Wezi wanaweza kuwa na ujuzi mkubwa wa kuiba simu za mkononi kwa kipindi kifupi tu. Mbali na kutufanya tujisikie vibaya, wizi wa simu za...
  11. Herbalist Dr MziziMkavu

    JamiiForums Tanzania Mike Tyson amrushia ngumi abiria mwenzake katika ndege baada ya kurushiwa chupa

    Bondia wa zamani wa uzito wa juu Mike Tyson amempiga ngumi abiria mwenzake katika ndege baada ya mtu huyo "kumrushia chupa ya maji," msemaji wa Tyson amesema. Video iliyochukuliwa kwenye ndege hiyo inamuonesha Tyson akiwa ameegemea kiti chake huku akimpiga ngumi za mara kwa mara mtu ambaye...
  12. Herbalist Dr MziziMkavu

    JamiiForums Tanzania Vita vya Ukraine: Kwa nini maneno ya 'kuropoka' ya Biden kuhusu Putin ni hatari sana

    Katika kipindi cha wiki moja iliyopita, Rais wa Marekani Joe Biden ametoa matamshi kadhaa ambayo yameonyesha kuongeza joto uhusiano kati ya Marekani na Urusi. Hata hivyo, maneno yake ya mwisho katika ya hotuba inayotajwa kama "hotuba kubwa" nchini Poland siku ya Jumamosi - yanaoonekana kumtaka...
  13. Kurunzi

    JamiiForums Tanzania TRA Kuanza Kuzitoza Kodi, Facebook, Instagram na Whatsapp

    TRA leo wamafanya mazungumzo na wawakikishi wa Mitandao hiyo ya kijamii kuona namna Mitandao hiyo inaweza kulipa kodi kutokana na hiduma wanazotumia wananchi. ===== DARESSALAAM: Timu ya Wataalam wa Kampuni ya meta inayomiliki mitandao ya @facebookapp instagram pamoja na Whatsapp leo 21...
  14. Planet FSD

    JamiiForums Tanzania January Makamba ni tatizo linalohitaji kushughulikiwa haraka sana

    Wakuu sijui huyu waziri ana shida gani. Alikuwa very promising kule wizara ya mazingira. Lakini tangu aletwe huku wizara ya nishati imekua ni kituko baada ya kingine. Kulikuwa hakuna tatizo la kukatika umeme kipindi chote cha magufuli. Ila baada ya tu ya January kuletwa huku umeme ukaanza...
  15. Herbalist Dr MziziMkavu

    JamiiForums Tanzania SI KWELI: Serikali haijasitisha somo la Historia ya Tanzania

    Posti ya Twitter inayodai serikali imesitisha somo la Historia ya Tanzania ya kumtukuza hayati rais John Magufuli SI KWELI. Posti inakiunganishi kwenda katika tovuti inayoeleza kwa undani juu ya taarifa hizi. Tovuti inaeleza kuwa vitabu vipya vya “Historia ya Tanzania” vilivyokuwa vimechapwa...
  16. Erythrocyte

    JamiiForums Tanzania Freeman Mbowe afanya Misa ya Shukrani Kanisani. Asema aliomba mashtaka yasifutwe ukweli udhihirike

    Leo Jumapili Freeman Mbowe amefika kwenye kanisa la KKKT Azania Front na kufanya maombi maalum yakiambatana na Sadaka, kwa lengo la Kumshukuru Mungu. ========= Freeman Mbowe: Leo nimewaona wakristo wenzangu, sikusudii kuzungumza mengi zaidi ya shukrani. Nimepata hofu sana na hofu kubwa...
  17. Herbalist Dr MziziMkavu

    JamiiForums Tanzania Naibu Spika Zungu: Rais Samia ameweka historia ya kukutana na wanafunzi wenye mahitaji maalumu tofauti na watangulizi wake

    MHESHIMIWA NAIBU SPIKA ZUNGU: MKAPA, KIKWETE, MAGUFULI HAWAJAFANYA, LAKINI AMEFANYA RAIS SAMIA. Kwa mujibu wa historia ya nchi yetu ni mara ya kwanza Rais ambaye yuko katika madaraka anakutana na wanafunzi kama hawa leo (wenye mahitaji maalumu), nilianza kazi zangu za siasa 2000, wakati Mzee...
  18. John Haramba

    JamiiForums Tanzania Jeshi la Urusi kuwapokea Wanafunzi Watanzania waliopo Ukraine, wapewa maelekezo maalum ili warudishwe Tanzania

    Ubalozi wa Tanzania uliopo Urusi umetoa taarifa juu ya njia ambazo wanafunzi Watanzania walipo katika Chuo cha Taifa cha Sumy Nchini Ukraine wanazotakiwa kutumia pamoja na namba za simu kwa ajili ya mawasiliano wakati watakapokuwa wanaelekea sehemu salama kupokelewa. Wanafunzi wanatakiwa...
  19. Herbalist Dr MziziMkavu

    JamiiForums Tanzania Jamaa ameshindwa kulipa pesa ya bia kilichomkuta hiki hapa

    JAMAA AMESHINDWA KULIPA PESA YA BIA KILICHOMKUTA HIKI HAPA
  20. Herbalist Dr MziziMkavu

    JamiiForums Tanzania Kupooza kwa uso upande mmoja huenda kusipone ukichelewa kupata matibau bell`s palsy

    KUPOOZA KWA USO UPANDE MMOJA HUENDA KUSIPONE UKICHELEWA KUPATA MATIBABU SUMMARY Mshipa wa fahamu, facial unaposhindwa kufanya kazi vizuri matokeo yake ni misuli ya uso inayoratibiwa nao kutotekeleza majukumu yake kwa ufanisi hivyo kusababisha uso kupooza. Kwa wengi, hali hii hutokea upande mmoja...
Back
Top Bottom