malcom lumumbamshana jr jingalao msemajikweli

  1. Herbalist Dr MziziMkavu

    JamiiForums Tanzania Madhara 14 ya dawa za kupanga uzazi ambayo madaktari huwaficha wanawake

    Madhara 14 ya dawa za kupanga uzazi ambayo madaktari huwaficha wanawake. Madhara 14 ya dawa za kupanga uzazi ambayo madaktari huwaficha wanawake Wasichana na wanawake hutumia tembe za kupanga uzazi nyakati ambapo wameshiriki ngono bila kinga na wanahofia kuwa wanaweza kupata uja uzito ambao...
  2. Mfikirishi

    JamiiForums Tanzania Tuhamasishane: Hatua hizi zichukuliwe haraka kukabiliana na Covid-19

    Hili ni wazo fikirishi linahitaji tafakuri ya kina zaidi! Siasa na rangi ya vyama vikae pembeni. Kwa inavyoonekana na kama ilivyotabiriwa awali na WHO; hali ya maambukizi na kusambaza kwa ugonjwa wa Covid-19 unaosababishwa na virusi vya SARS-CoV-2 imefikia hatua mbaya sana! Hivi mpaka usikie...
  3. Njopino

    JamiiForums Tanzania Vifundo vya mzunguko wa maisha

    Wasalaam wana Jf. wote Unaweza kuita majina yoyote fahafu mahusiano ya mambo au vitu hivi ambavyo kwa pamoja tuvijadili, ingawa Mimi nimeviita vifundo ambavyo vipo kwenye kamba inayoitwa maisha kuonyesha uhusiano wake, vitu hivyo ni Taarifa (information), Nguvu (power-leadership) na Pesa...
  4. leonaldo

    JamiiForums Tanzania Nape awapa ushauri wa bure wenye roho mbaya!

    Ujumbe huo unasema: Nyani waliposikia kuwa aliyekuwa akiwafukuza wasile mahindi amekufa, walishangilia sana. Mwaka uliofuata walipata njaa kali maana hakukuwa na mahindi. Ndipo walipogundua kuwa mtu aliyekufa ndiye alikuwa mkulima. Ujumbe: Jifunze kuishi na adui yako maana anaweza akawa ndiye...
  5. E

    JamiiForums Tanzania Hello new member

    Hello wanajamii Mimi sio mgeni jamii forums nilikuwepo Ila kama mgeni Nimeamua kujiunga na JF rasmi Leo naombeni mnipokee (NINAMASWALI KIDOGO) -Kwanini members wa JF wanatumia ID fake je?(ni vibaya kutumia ID yako?? ) -tangu nimeanza kuijua JF asilimia kubwa ya watu wahumu ndani wajinadi ni...
  6. C

    JamiiForums Tanzania Nilichojifunza kuhusu wanawake wanapenda mahusiano ya kutawaliwa

    Amani ya bwana Mungu iwe pamoja nanyi Ndugu Zangu! Katika harakati za mahusiano kila mtu amepata uzoefu wake wa namna moja ama nyingine, kwa uzoefu wangu katika mahusiano nimegundua jambo moja ambalo vijana wengi wa kizazi hiki wanashindwa kukigundua! Mpenzi wangu ni mwanamke niliyemdekeza...
  7. Kingsharon92

    JamiiForums Tanzania wajuzi wa katiba msaada tafadhali

    wapendwa wana jukwaa poleni na majukumu hebu wajuzi wa katiba nchi yetu nipeni msaada kumekuwepo na ubishani kuhusu mamlaka ya rais kwa hawa watu 1 jaji mkuu 2 gavana benki kuu 3 CAG Swali ni kwamba je akishawaapisha a ana mamlaka ya kuwatumbua au kutengua uteuzi wao nawasilisha
Back
Top Bottom