Wakuu!
Ukweli siku zote ni mchungu, ukweli unatabia ya kuumiza na kuibua hasira.
Haya ni mawazo yangu binafsi.
Mtu yeyote anaye ongea sana, ni yule akifika mtaani kwenu siku moja tu inamtosha kwake kujuana na kila mtu utadhani kazaliwa eneo husika,
interest zote zipo kwa watu, ni mcharuko...
Tanzania Samia Connect inayotarajiwa kufanyika kuanzia Agosti 21- 23, 2025 inatarajiwa kuwakutanisha katika jukwaa moja wasanii zaidi ya 50 kutoka ndani na nje ya Mkoa wa Arusha, ikiwemo wakongwe wa muziki kutoka Jijini Arusha Fido Vato anayetamba na wimbo wa 'Chuga hiyo' pamoja na JCB aliyevuma...
Gwajima katandika sana leo.
Hoja zake kubwa ni:
1. Serikali ijitafakari na usiingie uchaguzini bila kuweka mambo sawa sawa.
2. Serikali ifungue makanisa in 10 days.
3. Serikali imuachie Lissu bila masharti..Amesema hata yeye Lissu anamuhusu,sio kwa wanachadema tu na akaenda mbali akasema...
Nimefanya transaction kwa mobile phone. Nimetoa kwa wakala na hichi ndicho kilichonistua....
Hivi TRA wanatuona sisi raia kama mazuzu au nini hiki wanachokitafuta kwetu?
Wizara ya Fedha, huu mchezo ni wizi na siyo haki
Nimejaribu kufuatilia mwenendo wa mashindano haya ya CHAN hasa ushiriki wa mashabiki uwanjani, ukweli ni kuwa Tanzania bado sana. Sio tu mashabiki, hata viongozi wenyewe ni kama vile wanajilazimisha tu kujihusisha na CHAN ila wako serious sana na siasa. Inawezekana vipi timu ya Taifa inacheza...
Nikupe utangulizi kwanza
Nguu/ngulu inamaanisha kabila husika au eneo/mamlaka ya kabila husika. Nikitoa mfano utanielewa zaidi, yaani ukimuuliza kijana wa kinguu wewe ni kabila gani atasema mimi ni mnguu/mngulu ambapo kwa kiingereza atasema tu nguu/ngulu. Kadhalika akiulizwa kwenu ni wapi...
Inakata kiasi kikubwa wakati wa kuomba mkopo.
Mfan: unakopa Mil 15 hadi kupatiwa huo mkopo unapokea Mil 11.
Hiyo Mil 4 yote ni Processing fee ambayo inavipengele vyake. Tunaumia huku ngazi za chini.
Anonymous
Thread
bank
fedha
iangalie
kwani
makato
makubwa
nmb
vizuri
wizara
wizara ya fedha
Miaka 10 imekuwa ya Mapinduzi makubwa ya fikra na uchumi Rufiji- Mhe. Mchengerwa
Na John Jayros
Mgombea wa Ubunge kwa tiketi ya Chama Cha Mapinduzi ( CCM) wa Jimbo la Rufiji, Mhe. Mohamed Mchengerwa amesema akichaguliwa tena atashirikiana na wananchi wa jimbo hilo kuboresha uchumi baada ya...
Habari zenu wakuu
Nianze na kibwagizo cha wimbo wa mwanahiphop nguli Tanzania anayejulikana kama Dizasta Vina kwenye wimbo wake unaoitwa Get better aliyemshirikisha Beno Mwampamba
Mwampamba anaanza kwa kusema
"Leo imeshakuwa jioni
Na matokeo tuliyotegemea kuwa mbioni
Hata dalili zake...
Rais Samia amejenga Viwanda vipya zaidi ya 1,000 Vikitarajiwa Kuchangia TZS40bn hadi TZS60bn ya Pato lote la Mkoa wa Arusha na kuajiri walalahoi 4,500.
Mkoa wa Arusha umeendelea kuwa miongoni mwa vinara wa maendeleo ya sekta ya viwanda nchini, kufuatia utekelezaji wa sera thabiti za viwanda na...
Yaani wamehamisha watu Kwa kuwalipa mabilioni huku wakijua kabisa magari makubwa hayatokua mengi sababu Kuna bandari kavu ya Kwala iliyopo Vigwaza
Sasa najiuliza wakijenga huu mradi wa hayo maegesho watapaki kina nani maana magari yote yatakuwa yanaondokea Kwala
Hili bado sijajua vizuri...
Sitaweka vifungu vya biblia lakini kwa atakayetaka apewe na vifungu wapi imeandikwa Tutampa.
Mada ni Taifa la Mungu Israel na Taifa la Mungu Tanzania.
Ushindani kati ya nguvu ya Uchawi (giza) na nguvu ya Nuru umeanza tangu Binadamu alipoumbwa hapa duniani.
Na sehemu nyingi kuonekana Nguvu ya...
Morning.
Kuna Dada mmoja alimpata kijana mmoja akiwa na only 20 years .
By that time Huyo Dada mchumba wake wote walikuwa wanasoma.
Baadae yule Dada alimaliza masomo yake na kujariwa na Mwananchi na baadae BBC.
Na yule Kijana alimaliza masomo yake akaenda jeshini na Kuwa na cheo kikubwa tu...
Salaaamu Wanabodi....!
Ngoja tutete kidogo, imma kwa Rais wetu ajaye ama vyovyote iwavyo
Tangu nimezaliwa hadi leo, nimebahatika kumuona tu kwa kipindi kifupi sana Baba wa taifa hili Mwl Julius Kamabarage Nyerere na siyo kuishi kwenye utawala wake
Ila nasikia huyu baba alikuwa na misimamo...
Watanzania asilimia kubwa wanashida kubwa katika kufanya mawasiliano na maongezi kiujumla .
Mfano MTU mmekutana kwa Mara ya kwanza tayari anaanza kukuuliza maswali Kama haya umeoa ,umeolewa ,Una mtoto ,umejenga Una gari ,Unakunywa pombe n.k
Maswali Kama haya ni too personal kumuuliza MTU...
1. Malengo yasiyo na uhalisia
Nimemsikiliza Rostam Aziz anasema tume ya kutengeneza dira walikuwa wanalenga Tanzania iwe na ukubwa wa uchumi(GDP) kati ya $bilion 500-700, wao sekta binafsi wakina Rostam wakapendekeza malengo iwe GDP $Trilion 1 ! Haya ni malengo yasiyo na uhalisia, kwa miaka 25...
Dudu Baya umemaliza kila Kitu. Tuliobahatika kutembea kidogo hapa na pale nchi kadhaa (Team Passport kujaa Mihuri ya Uhamiaji) tunakuunga mkono kwa 99.9%.
Nilikuwa najiuliza sana tu kwanini ukienda Uingereza, Marekani, Ufaransa na Ubelgiji unawakuta mno Raia wa Nigeria (Wapopo), Congo DR...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.