Sawa ni super pawa ila sijawahi kuona sehemu urusi anapounga mkono pakawa salama zaidi ya watu kupitia mateso,vita visivyo kuwa na ukomo,maendeleo yanakuwa kwenye jeshi tu na watawala wala sio wananchi.
Tukiwachekea hawa tuna ungana na historia za wengine.
Hivi karibuni China imeandika historia mpya ya teknolojia duniani.
Kwa miaka mingi Marekani, South Korea na Taiwan zilikuwa The Big 3 Cartel walitawala GPU na memory chips. Wakiamua supply, wakipandisha bei, na dunia nzima ikalazimika kufuata.
Sasa China imevunja ukuta huo. Enzi ya kutegemea...
Serikali ya Awamu ya Sita chini ya uongozi wa Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan imefanikiwa kujenga kilometa 1,495.45 za barabara kwa kiwango cha lami pamoja na madaraja makubwa 18 ndani ya kipindi cha miaka mitano, hatua iliyoelezwa kuwa mafanikio makubwa katika sekta ya miundombinu nchini...
Huenda walikuwa watundu sana, au wakaonekana wenye kiburi, au wazazi waliwapuuza hata walipokuwa watiifu na wenye heshima.
Lakini ukubwani, mambo yanakuwa tofauti, unakuta wanabeba mizigo ya familia kuanzia uchumi hadi usimamizi wa kila jambo.
Kwa China kila goti litapigwa. Trump yuko safarini kuelekea China kukutana na the most powerful person in the world Xi Jinping.
Trump amebebana na CEOs wa makampuni makubwa ya Marekani kwenda China, haijawahi kutokea. This is absolutely insane.
Elon Musk, Tesla and SpaceX CEO
Jensen Huang...
Ukimuita tu dada mwenye makebo makubwa uanshangaa yeye lazima aje wa kwanza utafikir umemuita yeye, kila sehemu unakuta anamshika mkkono ila tu auze nae sura na kumpa ushauri wa kila mwanaume anaemtaka. Looh!
Yeye ndio haji manara wake, yanj muda mwingine unajikuta unakosa fursa ya kutafuna...
Wakuu, inasemekana kuwa mwanaume mwenye makebo makubwa Kunauwezekano mkubwa kuwa amasharuhusu wahuni kuzama gentani mwake.
Watu wengine wanadai kuwa huenda mwanaume kuwa na makebo makubwa husabanishwa na masuala la hormones.
Watu wengine wanasema ulaji wa hovyo; kubugia chipsi, ni Moja ya...
Kuna mambo imeanza kunuka kwa Kenya Women Teachers Association (KEWOTA) baada ya kufichuliwa sakata kubwa ya pesa. Inadaiwa zaidi ya walimu wanawake 95,000 walikuwa wanakatwa Sh200 kila mwezi bila consent yao – sasa ukifanya hesabu, hiyo ni over Sh228 million yearly!
Investigations zinaonyesha...
Neno linasema, "NIITE NAMI NITAKUITIKIA, NAMI NITAKUONYESHA MAMBO MAKUBWA, MAGUMU USIYOYAJUA."
Neno la Mungu katika kitabu cha YEREMIA linatuonesha kwamba nabii Yeremia alikuwa mfungwa wakati huo.
Alikuwa amefungwa ndani ya uwanda wa walinzi, uliokuwa katika nyumba ya mfalme wa Yuda na wakati...
Kuna baadhi wanadai ni kile chama cha majambazi lakini kiuhalisia hakina akili kubwa namna hiyo.. Maana chenyewe kiko hoi bin taaban chali kabisa
Haya ni matukio yakuja na kupita
Yapo
Yalikuwepo
Na yatazidi kuwepo
Baadhi ambayo yaliwahi kuvuma sana ni
Mtu joka wa buguruni
TV za kumuona nwizi...
Sisemi kwamba hawana akili kabisa la hasha nazungumzia akili kwa kipimo walau cha professor achana na akili za kiwaida tu.
Nashindwa kuweka vizuri ili nieleweke vyema lakini kwa % kubwa hawa watu hazimo kichwani ni ngumu sana ama ni kama haiwezekani kabisa kumuona professor mwenye matako...
Baada ya ndege ya Marekani F-15E kudunguliwa na Iran, na rubani na mtaalam wa silaha kutoka ndani ya ndege kabla haijadondoka chini, pande zote mbili, Iran na Marekani zilianza kuwasaka manusura. Ni Marekani ndiyo ilipata mafanikio ya awali yaliyowezesha kumwokoa rubani. Huku mtaalam wa silaha...
Baada ya viongozi wakuu wa iran kuuwawa kila siku
Sasa IRGC-Walinzi wa Mapinduzi ya Iran walitangaza kwamba kuanzia kesho saa 20:00 saa za Tehran, mauaji yoyote zaidi ya afisa mkuu wa Iran yatasababisha kulipiza kisasi dhidi ya orodha ya makampuni makubwa.
Taarifa hiyo inataja makampuni ikiwa...
Ukibisha bisha tu lakini kiuhalisia ndio iko hivyo.
Pwani wilaya ya Kisarawe maeneo ya mto Ruvu nikiwa huko kulikuwa na mashamba makubwa tu bangi ya vigogo na yana wafanyakazi kama sisi tulivyo na wafanyakazi kwenye kilimo cha nyanya.
Vile napenda kuzurura nikaenda Morogoro tena hukohuko mto...
Wanabodi
Shuhudieni mambo makubwa mazuri ambayo ni super, ya huyu Bonge wa Zimbabwe, Bilionea Wicknell Chivayo wa Zimbabwe, akifanya mambo makubwa mazuri kwa nchi yake Zimbabwe!,
Hili limjamaa, bonge la Zimbabwe, limekuja hapa nchini kwetu mara 4, likitua airport yetu kwa private jet yake na...
Hola! 🙋🏽♀️
Ningependa kujua maoni yenu kuhusu bangi(420) pia huitwa weed, marijuana, ganja, n.k..
Kuna watu wanasema wanaitumia kwa kujisikia vizuri, kupunguza stress au hata kama dawa. Pia nimesikia kwamba baadhi ya watu wanaofanya kazi ngumu au zenye msongo mkubwa (kama hospitali au...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.