makubwa

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. KING MIDAS

    JamiiForums Tanzania Mamlaka haya makubwa Gwajima kayapata wapi?

    Gwajima katandika sana leo. Hoja zake kubwa ni: 1. Serikali ijitafakari na usiingie uchaguzini bila kuweka mambo sawa sawa. 2. Serikali ifungue makanisa in 10 days. 3. Serikali imuachie Lissu bila masharti..Amesema hata yeye Lissu anamuhusu,sio kwa wanachadema tu na akaenda mbali akasema...
  2. Msanii

    JamiiForums Tanzania KERO Kuna ongezeko kubwa la makato katika huduma ya fedha kwa simu

    Nimefanya transaction kwa mobile phone. Nimetoa kwa wakala na hichi ndicho kilichonistua.... Hivi TRA wanatuona sisi raia kama mazuzu au nini hiki wanachokitafuta kwetu? Wizara ya Fedha, huu mchezo ni wizi na siyo haki
  3. M

    JamiiForums Tanzania Inawezekana Tanzania haijawa Tayari kwa mashindano makubwa ya kimataifa yanayoihusu timu ya Taifa

    Nimejaribu kufuatilia mwenendo wa mashindano haya ya CHAN hasa ushiriki wa mashabiki uwanjani, ukweli ni kuwa Tanzania bado sana. Sio tu mashabiki, hata viongozi wenyewe ni kama vile wanajilazimisha tu kujihusisha na CHAN ila wako serious sana na siasa. Inawezekana vipi timu ya Taifa inacheza...
  4. Trainee

    JamiiForums Tanzania Wanguu ni watu wa kabila dogo mno waliozalisha makabila makubwa

    Nikupe utangulizi kwanza Nguu/ngulu inamaanisha kabila husika au eneo/mamlaka ya kabila husika. Nikitoa mfano utanielewa zaidi, yaani ukimuuliza kijana wa kinguu wewe ni kabila gani atasema mimi ni mnguu/mngulu ambapo kwa kiingereza atasema tu nguu/ngulu. Kadhalika akiulizwa kwenu ni wapi...
  5. A

    JamiiForums Tanzania Wizara ya fedha iangalie Vizuri Bank ya NMB

    Inakata kiasi kikubwa wakati wa kuomba mkopo. Mfan: unakopa Mil 15 hadi kupatiwa huo mkopo unapokea Mil 11. Hiyo Mil 4 yote ni Processing fee ambayo inavipengele vyake. Tunaumia huku ngazi za chini.
  6. Stephano Mgendanyi

    JamiiForums Tanzania Miaka 10 imekuwa ya Mapinduzi makubwa ya fikra na uchumi Rufiji- Mhe. Mchengerwa

    Miaka 10 imekuwa ya Mapinduzi makubwa ya fikra na uchumi Rufiji- Mhe. Mchengerwa Na John Jayros Mgombea wa Ubunge kwa tiketi ya Chama Cha Mapinduzi ( CCM) wa Jimbo la Rufiji, Mhe. Mohamed Mchengerwa amesema akichaguliwa tena atashirikiana na wananchi wa jimbo hilo kuboresha uchumi baada ya...
  7. Foffana

    JamiiForums Tanzania Makosa Matano Makubwa Yanayokwamisha Malengo ya Vijana Wapambanaji

    Habari zenu wakuu Nianze na kibwagizo cha wimbo wa mwanahiphop nguli Tanzania anayejulikana kama Dizasta Vina kwenye wimbo wake unaoitwa Get better aliyemshirikisha Beno Mwampamba Mwampamba anaanza kwa kusema "Leo imeshakuwa jioni Na matokeo tuliyotegemea kuwa mbioni Hata dalili zake...
  8. M

    JamiiForums Tanzania Hawa watu 4,5OO waliopata ajira kipindi cha Rais Samia baada ya kuufanyia Mkoa wa Arusha mabadiliko makubwa ya kiuchumi wasiache kumshukuru sana

    Rais Samia amejenga Viwanda vipya zaidi ya 1,000 Vikitarajiwa Kuchangia TZS40bn hadi TZS60bn ya Pato lote la Mkoa wa Arusha na kuajiri walalahoi 4,500. Mkoa wa Arusha umeendelea kuwa miongoni mwa vinara wa maendeleo ya sekta ya viwanda nchini, kufuatia utekelezaji wa sera thabiti za viwanda na...
  9. Arsenal Gunner

    JamiiForums Tanzania Kuna vitu serikali inafanya sijui kama wanatumia akili kama hili la maegesho ya Magali makubwa Kibaha Misugusugu

    Yaani wamehamisha watu Kwa kuwalipa mabilioni huku wakijua kabisa magari makubwa hayatokua mengi sababu Kuna bandari kavu ya Kwala iliyopo Vigwaza Sasa najiuliza wakijenga huu mradi wa hayo maegesho watapaki kina nani maana magari yote yatakuwa yanaondokea Kwala Hili bado sijajua vizuri...
  10. Surya

    JamiiForums Tanzania Kanisa kuzidiwa na Uchawi (Giza)

    Sitaweka vifungu vya biblia lakini kwa atakayetaka apewe na vifungu wapi imeandikwa Tutampa. Mada ni Taifa la Mungu Israel na Taifa la Mungu Tanzania. Ushindani kati ya nguvu ya Uchawi (giza) na nguvu ya Nuru umeanza tangu Binadamu alipoumbwa hapa duniani. Na sehemu nyingi kuonekana Nguvu ya...
  11. DR HAYA LAND

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mwanamke huwa anapata ugumu ku-Move on endapo alimpenda mtu fulani na akaweka matarajio makubwa kwake , so ni jukumu la mwanaume kutopasha kiporo

    Morning. Kuna Dada mmoja alimpata kijana mmoja akiwa na only 20 years . By that time Huyo Dada mchumba wake wote walikuwa wanasoma. Baadae yule Dada alimaliza masomo yake na kujariwa na Mwananchi na baadae BBC. Na yule Kijana alimaliza masomo yake akaenda jeshini na Kuwa na cheo kikubwa tu...
  12. M

    JamiiForums Tanzania Ukiondoa Uanachadema na mapenzi makubwa kwa Lisu! Unaamini misimamo ya Lissu itaponya Taifa letu? Nini maoni yako

    Salaaamu Wanabodi....! Ngoja tutete kidogo, imma kwa Rais wetu ajaye ama vyovyote iwavyo Tangu nimezaliwa hadi leo, nimebahatika kumuona tu kwa kipindi kifupi sana Baba wa taifa hili Mwl Julius Kamabarage Nyerere na siyo kuishi kwenye utawala wake Ila nasikia huyu baba alikuwa na misimamo...
  13. DR HAYA LAND

    JamiiForums Tanzania Katika maongezi na mtu ambaye ni stranger au ambaye hauna mazoea nae makubwa usithubutu kumuuliza kama haya maswali, umeoa ,umeolewa ,una watoto ,n.k

    Watanzania asilimia kubwa wanashida kubwa katika kufanya mawasiliano na maongezi kiujumla . Mfano MTU mmekutana kwa Mara ya kwanza tayari anaanza kukuuliza maswali Kama haya umeoa ,umeolewa ,Una mtoto ,umejenga Una gari ,Unakunywa pombe n.k Maswali Kama haya ni too personal kumuuliza MTU...
  14. Yoda

    JamiiForums Tanzania Matatizo matatu makubwa kwenye Dira ya Taifa 2050

    1. Malengo yasiyo na uhalisia Nimemsikiliza Rostam Aziz anasema tume ya kutengeneza dira walikuwa wanalenga Tanzania iwe na ukubwa wa uchumi(GDP) kati ya $bilion 500-700, wao sekta binafsi wakina Rostam wakapendekeza malengo iwe GDP $Trilion 1 ! Haya ni malengo yasiyo na uhalisia, kwa miaka 25...
  15. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Ukiukataa huu Ukweli Mchungu wa Dudu Baya ni lazima tu utakuwa una matatizo makubwa ya Akili

    Dudu Baya umemaliza kila Kitu. Tuliobahatika kutembea kidogo hapa na pale nchi kadhaa (Team Passport kujaa Mihuri ya Uhamiaji) tunakuunga mkono kwa 99.9%. Nilikuwa najiuliza sana tu kwanini ukienda Uingereza, Marekani, Ufaransa na Ubelgiji unawakuta mno Raia wa Nigeria (Wapopo), Congo DR...
  16. Knock life

    JamiiForums Tanzania Nina mashaka makubwa na kifo Bernad Membe something is wrong .

    ...
  17. W

    JamiiForums Tanzania Mafundisho ya kisabato yanadumaza mafanikio, utajiri, umaarifu, ni ngumu sana kuwakuta wasabato wenye mafanikio makubwa.

    Naweza kukubali kwamba wasabato wengi hujulikana kwa nidhamu na uadilifu, jambo ambalo ni sifa ya kupongezwa. Hata hivyo, pamoja na sifa hizo nzuri, bado kuna sintofahamu ya wazi kuhusu uwakilishi wao katika ngazi za juu za maamuzi na ushawishi kama vile siasa, uchumi, mfumo wa utawala...
  18. M

    JamiiForums Tanzania Natafuta ma box makubwa matupu , wapi wanauza mabox matupu?

    Habari wadau Wapi wanauza ma box ?
  19. Richard

    JamiiForums Tanzania Wazanzibari kimyakimya wafanya maendeleo makubwa wa haraka huku akili za watanganyika zikielekezwa kwa Tundu Lissu, Askofu Gwajima na Luhaga Mpina

    Juzi nimefika Zanzibar nimeshangaa maendeleo ya kasi uwanja wa Ndege wa kisasa na nasikia terminal 2 na terminal 3 zaja. Hali kadhalika juzijuzi kumefanyika mkutano wa wawezekaji katika sekta ya Utalii na siku zijazo ndege za kutoka Ulaya na kwingine zitakuwa zikitua Zanzibar zikileta watalii...
  20. M

    JamiiForums Tanzania CCM Yatibu Maandalizi ya Maandamano Makubwa ya Kumsindikiza Dkt. Kimei Kuchukua Fomu ya Ubunge Vunjo

    Vunjo, Kilimanjaro – 27 Juni 2025: Chama Cha Mapinduzi (CCM) katika Jimbo la Vunjo kimeingilia kati na kutibua maandalizi ya maandamano makubwa yaliyokuwa yamepangwa kwa ajili ya kumsindikiza Mbunge wa sasa wa Vunjo, Mhe. Dkt. Charles Stephen Kimei, wakati wa kuchukua fomu ya kuomba ridhaa ya...
Back
Top Bottom