Stability
JF-Expert Member
- Jan 30, 2020
- 756
- 2,673
Ukimuita tu dada mwenye makebo makubwa uanshangaa yeye lazima aje wa kwanza utafikir umemuita yeye, kila sehemu unakuta anamshika mkkono ila tu auze nae sura na kumpa ushauri wa kila mwanaume anaemtaka. Looh!
Yeye ndio haji manara wake, yanj muda mwingine unajikuta unakosa fursa ya kutafuna jagina hivi hivi kisa tu flat screen mmoja, arrrrgh!