Idadi kubwa ya watu walijitokeza katika mji wa Yamai, mji mkuu wa Jamhuri ya Niger, wakitaka wanajeshi wa Marekani na nchi nyingine kuondoka nchini humo.
Niger tayari imefuta makubaliano ya kijeshi na Marekani mwezi uliopita, na hii inakuja miezi michache baada ya mamlaka ya kijeshi ya nchi...
Kutoka katika korido za Lumumba mpaka korido za Magogoni ma Chamwino, moto unawaka.
Yule mropokaji ametimiza kwa uzuri ile script yake aliyopewa kule Umasaini jana.
Kuna mabadiliko makubwa yanakuja katika baraza.
Kuna majina makubwa yataondolewa katika nafasi zao za sasa! Naambiwa wale wazee...
Katika hafla ya kumbukizi ya siku ya kifo cha Sokoine leo, Makonda amesema tarehe 15 April atawataja hadharani anaowatuhumu kufadhili wanaomtukana rais mtandaoni. Kwamba anawajua na baadhi yao ni mawaziri.
Hili inaweza kumletea matatizo makubwa ya kisheria. Linaweza hata kupelekea kuwekwa tena...
Nilikuwa najiuliza kwa muda mrefu kwanini hizi biashara za mtaani kwanini hazikui kwanini watu hawatajiriki nyingi zinakufa
Biashara hizi zilizopo mtaani
Maduka ya vitu vya rejareja
Maduka ya vipodozi
Wachoma chips
Migahawa
Maduka ya dawa nk
Kwanini sasa biashara hizi watu hawatajiriki au...
Nakumbuka kulikuwa na utaratibu barabarani kwenye mabasi makubwa ya masafa marefu yanayotoka mkoa mmoja hadi mwingine, askari wanaingia kukagua mabasi na moja ya mambo waliyokuwa wanaangalia ni kama basi limezidisha idadi ya abiria.
Kutokana na hulka ya Watanzania tulivyo, tulikuwa tunakaushia...
Askofu Dkt. Philemon Mollel (Monaban) , ambaye pia ni kada wa CCM, mfadhili mkuu wa CCM Arusha, anayejiita mtu wa kiroho, wa Kanisa la Kilutheri Afrika Mashariki[Aliasi kutoka KKKT akafungua Kanisa lake la KKTA] amesema kitendo cha Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Samia Suluhu Hassan...
MABADILIKO MAKUBWA YANAKUJA DUNIANI:
Hivi sasa ukiwa makini na mfuatiliaji wa habari za kitaifa na kimataifa,utagundua haraka sana kwamba dunia inabadilika, na unabii unatimia, kwa haraka sana!
Nchi ambazo ni maarufu na zenye nguvu za kiuchumi hivi sasa,yaani wale G7,watapotea na kufifia muda...
MADARAJA 8 MAKUBWA YAMEKAMILIKA, MIAKA MITATU YA RAIS SAMIA.
Waziri wa Ujenzi, Innocent Bashungwa amesema katika kipindi cha miaka mitatu ya Mheshimiwa Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan, Sekta ya Ujenzi imefanikisha ujenzi wa madaraja makubwa 8 yakiwemo Daraja la Wami mkoani Pwani, Daraja la...
Barua ya Simba ilikuwa na maombi makubwa kidogo ambayo kwa hatua za haraka haraka imekuwa vigumu kuifikia. Lakini tukasema, hata kama hatuwezi kulitekeleza hili, basi kama ambavyo tumefanya kwa timu moja pia tufanye kwa timu nyingine.
Gharama za Yanga kwenda Pretoria kwa mashabiki ilikuwa kama...
Leo nimerudi kwa upande wa ushauri na hivi vitu navyoshauri kila moja ni kitabu chake lakini nitaweka hapa mambo makubwa ambayo Raisi Samia akivifanya vitabadilisha nchi yetu kwa miaka mingi sana ijayo
1. Boresha sheria mbovu ya uchaguzi iliyopitishwa Bungeni kwa kuongeaza chaguzi za serikali...
Israel imefanya mashambulizi makubwa huko Syria yakilenga wapiganaji, hifadhi za silaha na vituo vinavyotumiwa na wanajeshi wa Iran.
Idadi ya waliouawa ni zaidi ya 30 ikiwemo wanajeshi wa Iran, wapiganaji wa Hezbollah, nk.
Al Jazeera
"Kama ningeweza kukivuta kisiwa hicho katikati ya Bahari ya Hindi, ningefanya hivyo."
Alisema kwamba anafikiri mojawapo ya matatizo makubwa ya Tanganyika katika miaka ya baadaye itakuwa Zanzibar. Hapana, sifanyi mzaha," alisema
Aliyasema hayo katika tafrija ya chakula cha jioni jijini Dar es...
Wote wanaokuja kumjua Mungu wa Kweli hujilaumu kwanini wamechelewa kumjua Mungu na maisha yao hubadilika kabisa.
Kwasababu hukumjua basi naye "hakukujua". Hii ni tabia ya ajabu sana ya Mungu.
Unajua kwanini? Ukimheshimu Mungu naye anakuheshimu! Na pia watu wengi hawapo kwa Mungu naye hayupo...
Kwenye Sekta ya Kilimo Serikali ya Rais Samia imeongeza bajeti ya Kilimo kutoka Tsh. 751 mwaka 2022 hadi Tsh. bilioni 970.
Kuongezeka kwa uzalishaji wa chakula Tani 17,148,290 hadi kufikia Tani 20,402,014 na kufikisha asilimia 124 ya kiwango cha utoshelevu wa chakula.
Ameipatia wakala wa...
WAZIRI KAIRUKI, DKT. ABBASI WAMSHUKURU RAIS SAMIA KWA MAONO MAKUBWA KWENYE UHIFADHI NA UTALII
Ikiwa leo ni miaka mitatu tangu Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan aingie madarakani, Waziri wa Maliasili na Utalii, Mhe. Angellah Kairuki (Mb) na Katibu Mkuu wa...
Dar ni mjini, na eti kuzaliwa mjini ni sawa na kuhitimu form six? Basi wana Darisalama watakuwa na masters kutokana na hotuba za kisomi za Chalamila.
Kwa siku za karibuni nimekuwa nikifuatilia hotuba za RC Chalamila, kwa kweli zina kiwango cha juu sana mpaka najiuliza nini kilimkuta miaka...
#AFYA: Wataalamu wa Afya wameonya kuhusu matumizi makubwa ya Dawa za Kuondoa Maumivu zikiwemo Diclopar na Diclofenac na kueleza kuwa yanasababisha madhara kwenye Figo ambapo mtu anayepata athari hizo ataishia kuhitaji huduma za Kusafishwa Damu (Dialysis).
Daktari Bingwa wa Magonjwa ya Ndani na...
Ni Ibris ndio anakudanganya eti ukiwa siglemama ndio utafanikiwa, utakuwa huru na utajitawala.
Wale ambao kama mimi wameruhusu akili zao ziathiliwe na Biblia watajua wanawake wenye ushawishi, matajiri na wanawake wa maana wenye adabu walikuwa ni wake za watu, sio Masingle mama au wanakejeli...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.