Israel yafanya mashambulizi makubwa Syria, wanajeshi wa Iran miongoni mwa waliouawa

ze kokuyo

JF-Expert Member
Jan 24, 2014
7,418
9,599
Israel imefanya mashambulizi makubwa huko Syria yakilenga wapiganaji, hifadhi za silaha na vituo vinavyotumiwa na wanajeshi wa Iran.

Idadi ya waliouawa ni zaidi ya 30 ikiwemo wanajeshi wa Iran, wapiganaji wa Hezbollah, nk.

Al Jazeera
 
Hao tangu enzi na enzi ni vita juu ya vita.

Ni sehemu ya maisha Yao.
1.Lenanon
2. Waamori
3. Waamoni
4. Wa Edom
5. Wagiliathi
6. Wa Amaleki
7. Wa Ashuru
8. Wa Babeli
9. Washami( washamu)
10. Wamisri

Haya maeneo tangu kuumbwa Ulimengu ni vita juu ya vita.
 
Zama tu zaman mapanga ,mikuki ila sasahiv Mabomu na Bunduki ila hawa DNA ni zilezile
 
They have beeb fighting over years and years.

Hata tech zao zimeendelea zaidi kwenye siraha na wana vyombo vya kijasusi vyenye nguvu kutokana na huo uzoefu wa miaka mingi.
 
Hao tangu enzi na enzi ni vita juu ya vita.

Ni sehemu ya maisha Yao.
1.Lenanon
2. Waamori
3. Waamoni
4. Wa Edom
5. Wagiliathi
6. Wa Amaleki
7. Wa Ashuru
8. Wa Babeli
9. Washami( washamu)
10. Wamisri

Haya maeneo tangu kuumbwa Ulimengu ni vita juu ya vita.
Na ninasikia japo ni kanchi kadogo ila kana nuclear bombs ndio maana irani haingii kichwa kichwa et
 
Israel imefanya mashambulizi makubwa huko Syria yakilenga wapiganaji, hifadhi za silaha na vituo vinavyotumiwa na wanajeshi wa Iran.

Idadi ya waliouawa ni zaidi ya 30 ikiwemo wanajeshi wa Iran, wapiganaji wa Hezbollah, nk.

Al Jazeera
wafe tu
 
Back
Top Bottom