Nimemkumbuka sana IGP Sirro, yupo kimya toka tamko la Marekani juu ya Makonda. Kulikoni?

technically

JF-Expert Member
Jul 3, 2016
11,955
48,752
Kanyamaza, hapendi tena lawama. Je, atakubali kuendelea kuwa IGP kuelekea Uchaguzi Mkuu au atajiuzulu?

Au atatumbuliwa? Maana ni mtu muungwana anayefanya kazi na watu wasio na maadili kama alivyokuwa Kangi.

Je, atakubali kutumika maana yupo kwenye rada ya Wamarekani kuelekea ICC?

Ningekuwa mimi ni yeye ningejiuzulu kutunza heshima kabla ya uchaguzi maana kuna kila dalili za kutwishwa gunia la misumari.
 
Kashandika barua 2 za kuachia ngazi lakini anakataliwa.
Naomba niishie hapo
Kanyamaza, Hapendi tena lawama je atakubali kuendelea kuwa IGP kuelekea uchaguzi mkuu au atajiuzulu?

Au atatumbuliwa? maana ni mtu muungwana anayefanya kazi na watu wasio na maadili kama alivyokuwa Kangi.

Je atakubali kutumika maana yupo kwenye rada ya Wamarekani kuelekea ICC!

Ningekuwa mimi ni yeye ningejiuzulu kutunza heshima kabla ya uchaguzi maana kuna kila dalili za kutwishwa gunia la misumali.
 
technically,
Ameshqomba kujiuzulu mara kadhaa ila mamlaka ya uteuzi inamgomea. Kwa tabia yake huyo IGP sio mtu wa dhuluma wala mshiriki wa uovu. Ndio maana unamuona hajiweki mbele mbele na sio muabudu sanamu.

Kwa maneno marahisi ni mtu anayetaka kufanya kazi kwa kufuata sheria na sio kutii amri batili za watawala wenye ulevi wa madaraka.
 
Kanyamaza, hapendi tena lawama. Je, atakubali kuendelea kuwa IGP kuelekea Uchaguzi Mkuu au atajiuzulu?

Au atatumbuliwa? Maana ni mtu muungwana anayefanya kazi na watu wasio na maadili kama alivyokuwa Kangi.

Je, atakubali kutumika maana yupo kwenye rada ya Wamarekani kuelekea ICC?

Ningekuwa mimi ni yeye ningejiuzulu kutunza heshima kabla ya uchaguzi maana kuna kila dalili za kutwishwa gunia la misumari.

Kukataliwa Kwake Kustaafu zaidi ya mara mbili alipopeleka hilo Ombi kwa Mhusika kumempunguza mno Kasi yake Kiutendaji.
 
15 Reactions
Reply
Back
Top Bottom