Makonda anaposema hatalipa kisasi, kwani alifanyiwa mambo gani mabaya na kina nani?

Robert Heriel Mtibeli

JF-Expert Member
Mar 24, 2018
21,341
51,905
Bila shaka Mko Pouwa!

Makonda amesema mbele za Watu kuwa hatalipa Kisasi, kumaanisha kuwa kundi kubwa la Watu analoliambia kuwa hatalipa Kisasi linajua mabaya aliyofanyiwa Makonda.

Hapo kwa upande wangu nimeachwa kidogo kwa sababu sijui nini na kina nani walimfanyia ubaya Makonda mpaka kufikia hatua ya kusema hatalipa kisasi(akimaanisha amesamehe).

Mandela yeye kwa upande wake alisema amesamehe na hatalipa kisasi na wote tunajua nini kilitokea na wabaya wake ni kina nani.

Yesu alipokuwa anasulubishwa naye aliongea maneno hayahaya ya Makonda, hadharani kuwa Mungu awasamehe(asimlipie kisasi) kwa sababu hawajui watendalo. Na wabaya waliomsulubisha walikuwa wanafahamika. Halikadhalika na Stephano aliyekuwa anapigwa Mawe mpaka kufa.

Lakini Kwa Makonda nimeachwa Njia panda, au kuna taarifa imenipita. Sasa nataka yeyote anayejua atuambie ni nini kibaya ambacho Makonda alifanywa ambacho alitakiwa alipe kisasi lakini ameamua kusamehe? Na waliomfanyia huo ubaya ni kina nani?

Ukizingatia kuwa Yeye ndiye ambaye analaumiwa na kushutumiwa kwa ubaya.

Nipo hapa,

Taikon wa Fasihi
Kwa sasa Dar es salaam
 
Visasi ni sehemu ya siasa sasa Huyu Makonda kwa vile ana hofu ya Mungu wa mbinguni amesema hatafanya siasa za visasi!
 
Mwambie aturudishie Ben saa8 tutamsamehe! Bila hivyo tunaye hadi mwisho wa dahari!
 
Visasi ni sehemu ya siasa sasa Huyu Makonda kwa vile ana hofu ya Mungu wa mbinguni amesema hatafanya siasa za visasi!

Unajua alifanywa nini Mkuu?
Hicho ndicho ninachouliza.
Unajua huwezi sema mbele za hadhara kuwa hutalipa kisasi ikiwa Watu unaowahutubia hawajui ulichofanywa?
 
255659181152_status_e6ab8144be1f474794c57303d26321f0.jpg

Nafurahi ameonja how the world went by 😂😂😂
 
Na mimi nilifikiri kitu kama hicho kwa sababu yeye ndiye anatuhumiwa kwa mambo mengi. Sasa nashangaa tena yeye ndiye anasema hatalipa kisasi. Dunia inachekesha kweli
Huyo jamaa ana akili nyembamba kama tishu.Amepewa jaribio dogo tu.Badala achukue nafasi kujibu kwa umahiri,yeye amechora katuni na kutokomea mitaani.Utashangaa ukiambiwa alipiga zero kidato cha nne?
 
Kwenye nafasi yake hiyo anawezaje kulipa kisasi hata kama angetaka kulipia kışasi?
Hata mie nashangaa jinsi watu wanavyo taka kumkuza huyo mtu. Mbona kina Polepole,Shaka na Sofia walikuwa hapo hatukusikia hizo mbwembwe?
Ndio maana niliwahi kuandika;
 
Bila shaka Mko Pouwa!

Makonda amesema mbele za Watu kuwa hatalipa Kisasi, kumaanisha kuwa kundi kubwa la Watu analoliambia kuwa hatalipa Kisasi linajua mabaya aliyofanyiwa Makonda.

Hapo kwa upande wangu nimeachwa kidogo kwa sababu sijui nini na kina nani walimfanyia ubaya Makonda mpaka kufikia hatua ya kusema hatalipa kisasi(akimaanisha amesamehe).

Mandela yeye kwa upande wake alisema amesamehe na hatalipa kisasi na wote tunajua nini kilitokea na wabaya wake ni kina nani.

Yesu alipokuwa anasulubishwa naye aliongea maneno hayahaya ya Makonda, hadharani kuwa Mungu awasamehe(asimlipie kisasi) kwa sababu hawajui watendalo. Na wabaya waliomsulubisha walikuwa wanafahamika. Halikadhalika na Stephano aliyekuwa anapigwa Mawe mpaka kufa.

Lakini Kwa Makonda nimeachwa Njia panda, au kuna taarifa imenipita. Sasa nataka yeyote anayejua atuambie ni nini kibaya ambacho Makonda alifanywa ambacho alitakiwa alipe kisasi lakini ameamua kusamehe? Na waliomfanyia huo ubaya ni kina nani?

Ukizingatia kuwa Yeye ndiye ambaye analaumiwa na kushutumiwa kwa ubaya.

Nipo hapa,

Taikon wa Fasihi
Kwa sasa Dar es salaam
Yeye ndiye aliyemfanyia Gwajima mambo ya ovyo
 
Back
Top Bottom