Paul Makonda aipasua CCM, kigogo ndani ya chama atishia kujiuzulu

Erythrocyte

JF-Expert Member
Nov 6, 2012
117,753
218,362
Hii ndio Taarifa ya Gazeti la MwanaHalisi kama ilivyowekwa ukurasa wa mbele .

Screenshot_2023-10-26-10-05-06-1.png
 
Rais Samia amechanganyikiwa kwenye hili. Repercussions zake ni mbaya sana. Kuna methali inasema "adui mwombee njaa"

Hapa naona maadui wa Samia wamefanikiwa kumuombea NJAA. Makonda hakufaa kurudi kwenye utumishi wa chama wala Serikali bali alipaswa kuwa gerezani tu. Hii ni DHIHAKA kubwa kwa Watanzania

Ila iko siku Paul Makonda ataingia tu gerezani na kutumikia kifungo kwa maovu yake
 
Umemaliza yote mkuu!
 
Je Kuna ushaihid ya kuhusika kwake kwenye mauaji ya mtu yoyote au chuki kwake imetewala
 
Kila ubaya utalipwa
 
Acha kuweweseka
 
Je Kuna ushaihid ya kuhusika kwake kwenye mauaji ya mtu yoyote au chuki kwake imetewala
Ushahidi upo mkuu sema kwa sheria zetu mashtaka ya jinai hufunguliwa na Jamhuri. Clip ya yeye kuvamia Clouds Media na silaha ipo kwenye mitandao. Vilevile tukio la Nape kutishiwa bunduki pale Protea na yule askari liko mitandaoni. Ujuwe kuwa na Makonda alikuwa palepale Protea akimuagiza yule askari kumtishia Nape.

Tundu Lissu akishambuliwa kwa risasi 16 Dodoma na Makonda again alikuwapo kwenye gari akitoa maelekezo.

Secretary Pompeo wakati wa Trump administration alitoa waraka unaomzuia Makonda kwenda USA kwa vile anadhulumu haki za watu wengine kuishi.

Kama ndugu dr namugari huyajui haya, basi hizi page za Jukwaa la Siasa siyo size yako. Endelea kuwapo Jamii Chitchat na Celebriries

Utafika wakati Rais Samia atakuwa kamaliza kipindi chake, atakayekuja LAZIMA jamii ya Watanzania both CCM na Upinzani watataka ukweli na haki itendeke juu ya UFEDHULI wa Makonda
 
Rais Samia amechanganyikiwa kwenye hili. Repercussions zake ni mbaya sana. Kuna methali inasema "adui mwombee njaa"

Hapa naona maadui wa Samia wamefanikiwa kumuombea NJAA. Makonda hakufaa kurudi kwenye utumishi wa chama wala Serikali bali alipaswa kuwa gerezani tu. Hii ni DHIHAKA kubwa kwa Watanzania

Ila iko siku Paul Makonda ataingia tu gerezani na kutumikia kifungo kwa maovu yake
Ujui nini usemacho samia kajikologa sana kabla hata ya kumpa cheo Makonda tayari kulikuwa na mipasuko mitano 5 mibaya sana mpasuko wa kwanza kabisa ambao samia alianza nao kuutengeneza ni huu
1)samia and msoga gang vs sukuma gang

2)samia gang vs msoga gang.
3) samia zanzibar gang vs watanganyika 4)samia arabu gang vs wabantu
5)samia muslimu gang vs Christian
Mpasuko wa sita 6 aliokuwa anautenganeza samia umeshindwa ni female gang vs male

Kwasasa samia anajalibu ana maadui hadi kwa msoga gang ambao mwanzoni walikuwa kitu kimoja kuwanyanyasa sukuma gang ...hivyo anacho kifanya samia ni kujaribu kutafuta marafiki wapya kutoka sukuma gang ili kuzuia nguvu ya msoga gang 2025 maana wamepoteza kuaminiana hivyo anatafuta baadhi ya maadui wa msoga gang na kujaribu kuwa weka upande wake wa samia gang ili kuvunja nguvu ya msoga wasije wakampiga 2025...na rostam azizi ndiye anaye tumika kupanga safu mpya ya mama lengo ni kupunguza nguvu ya msoga gang maana mama awaaminiani sana na msoga kwa sasa tena waarabu walio nyuma ya samia gang wametilia mkazo sana jambo hili.kwa sababu waarabu wate wa ndani na nje wapo kwenye Samia gang.

Sent from my SM-A325F using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom