makonda

Paul Makonda
Paul Christian Makonda born 15 February 1982 is the Regional Commissioner of Arusha, Tanzania.

Makonda gained popularity during a constitutional amendment referendum, where he was among a few members of a special parliamentary session that was tasked with drafting a new Constitution.

He would later become more prominent in politics, first acting as the District Commissioner(DC) for Kinondoni before being appointed Regional Commissioner(RC)of Dar es Salaam by the late President, John Pombe Magufuli, in 2016.
  1. Samia atosha tukutane2030

    PreGE2025 Ni wajinga pekee ndiyo watazisifia drama za Makonda

    Narudia tena na tena kusema " Ni wajinga pekee ndio watazisifia drama za Makonda". Mtu anatumia billions of money kuzunguka Tanzania ilhali hana uwezo kimamlaka wa kutoa hata tone la maji kwa wananchi halafu watu wanamshangilia. Ujinga huu huwezi kuuona nchi yoyote isupokuwa Tanzania, nchi...
  2. N

    Makonda na Drama za Watumishi wa Umma

    Paul Makonda ni Mwenezi wa Chama Cha Mapinduzi. Bila kuathiri Muundo wa Utumishi Serikalini, yeye Makonda ni Kiongozi wa Chama Cha Siasa Kama ilivyo kwa Chadema, TLP na CUF. Kwa hiyo chain of Command ya Utendaji wa Serikali haimtambui Mwenezi wa Chama Cha Siasa kuwa ni Reporting Unit kwenye...
  3. Suley2019

    PreGE2025 Dakika 6 za simu ya Makonda kwa Bashe akidai utatuzi wa bei ya sukari

    Sikiliza Dakika 6 za Paul Makonda akiongea na Bashe kuhusu sukari kwenye video hapa Chini: Waziri wa Kilimo, Hussein Bashe amewahakikishia Watanzania kuwa hali ya upatikanaji wa bei ya sukari itatengemaa ndani ya mwezi ujao akiwataka kutokuwa na hofu Waziri Bashe ameeleza hayo leo Januari 23...
  4. Meneja Wa Makampuni

    Turudi kwenye kikao cha chama kati ya Waheshimiwa mawaziri na Mh. Makonda ni nani anakaa viti vya mbele kuwahutubia wenziwe?

    Tulikua tunabishana hapa mtaani kuhusu mgawanyo wa madaraka ndani ya chama na serikali. Mimi bado nilikua nimeshikiria kwamba viongozi wa chama wakiamua wanaweza kuwa na nguvu kuliko mawaziri, wakuu wa mikoa na wilaya. Nimerudi hapa jukwaani nataka kupata majibu juu ya swali langu hili...
  5. chiembe

    Kwa nini Makonda anasimamia idara ya mafunzo na utafiti CCM wakati yeye mwenyewe ana tuhuma ya kuwa na vyeti feki?

    Moja kati ya majukumu ya makonda ni kusimamia utafiti na mafunzo kwa wana CCM. Lakini huyu ndugu ana tuhuma ya vyeti feki, je ataweza kujua afanyie utafiti nini? Na mafunzo, mtu mwenye tuhuma ya vyeti feki ndio atakuwa anatoa mafunzo kwa maprofesa waliojaa CCM, akina Kabudi, na ma-dokta kama...
  6. Mjanja M1

    PreGE2025 Video: Makonda aingia Kahama na Greda la kuchongea Barabara

    Hivi ndivyo Katibu wa NEC Itikadi, Uenezi na Mafunzo (CCM), Paul Makonda alivyoingia Kahama Mkoani Shinyanga leo January 27,2024 akiwa kwenye mwendelezo wa ziara yake. Nini maoni yako? 📹 AyoTv
  7. M

    PreGE2025 Waziri Bashe: Wenye mamlaka ya kuniita na kunihoji kwenye nchi hii wapo wanne tu

    "Rais, Makamu wa Rais, Waziri Mkuu na Naibu Waziri Mkuu, hawa ndiyo wanaweza kuniita na kunihoji, hakuna mtu mwingine yoyote, watu wajue mipaka yao ya kazi," Waziri wa Kilimo Hussein Bashe.
  8. Erythrocyte

    PreGE2025 Ubadhirifu: Huu ni Msafara wa Makonda, baadaye anapanda Punda halafu Wajinga wanamshangilia

    Hebu angalia Magari ya serikali yanavyotumika vibaya, tena bila huruma kwa Wananchi makapuku wanaoitwa Wanyonge Baada ya Hapa anapanda Punda na kushangiliwa na Wajinga . Kiukweli hii Nchi aliyeipiga Jini ana roho mbaya sana ! yaani kailoga kikatili sana ! Msafara wake ni mara 2 ya msafara...
  9. Jaji Mfawidhi

    Ya Magufuli kujirudia, anahisi kuwa ndiye Rais wa Nchi. Atumia fursa ya Rais Samia kuwa nje kikazi

    Wakati Mh Samia Suluhu yupo nje ya nchi kikazi , Paul Makonda anatumia ziara zake ambazo zimepewa jina la 'OPERESHENI CHAFUA MBOWE" kujijenga kisiasa na siyo kujenga chama wala bosi wake , yaani mwenyekiti wa chama. RC na WAZIRI hawana mamlaka hata ya kumfukuza mtu kazi. Ila wanaweza...
  10. mwanamwana

    PreGE2025 Makonda: CHADEMA kuna mgawanyiko mkubwa. Lissu hawezi kuwa Rais wa Tanzania, anaishi nje na kuja nchini kimatukio

    Katibu wa Halmashauri Kuu ya CCM Itikadi, Uenezi na Mafunzo Paul Makonda akiwa mkoani singida Makonda Januari 25, 2024 amesema kuwa ndani ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kuna mgawanyiko unaochochewa na uwepo wa makundi mawili ambayo yote yanataka kumuweka Mwenyekiti wa Chama hicho...
  11. Escrowseal1

    Kauli ya Makonda imerejea kauli ya "Kila mbuzi hula urefu wa kamba yake"

    Wakati ukimjibu dereva aliyelalamikia ukamataji wa madereva wanaobeba mkaa. Umetolea mfano kuwa huwezi kumwona nurse akienda kununua dawa kwenye Pharmacy kisa ana deal na dawa tena ukakazia kuwa kila mtu anapata kwenye ofisi yake. Kauli yako Makonda imerejea Kauli ya boss wako ya kila mbuzi...
  12. P

    Nyota ya kijana wangu Makonda inang’aa sana! Mungu amtangulie

    Tangu nimemfahamu Makonda kama mkuu wa wilaya na baadaye kuteuliwa kama mkuu wa mkoa wa Dar, nimekuwa nikiona namna anavyopambana kutatua kero za wananchi. Wakati mwingine kuziongelea tu hata kama hana uwezo wa kuzitatua. Vilevile makonda ni mbunifu sana kitu ambacho kinamfanya watu wengine...
  13. Bromensa

    Ziara ya Makonda mikoani inamjenga sana yeye kuliko Chama

    Habari, Nimeona Ziara ya Katibu wa itikadi, uenezi na mafunzo wa CCM Taifa Paul Makonda mikoani ni kama inamjenga sana yeye kuliko chama na huenda ikamfanya kuwa na ushawishi mkubwa sana ndani ya CCM na nje ya CCM. Mara nyingi amekuwa akitumia jukwaa kujielezea yeye zaidi kuliko chama...
  14. Nsanzagee

    CHADEMA mna machaguo mawili tu, kuhakikisha Makonda hapati watu wengi kwenye ziara zake au mmshitaki, la sivyo mtapata tabu sana!

    Kuwa na mvuto wa watu, hahitaji kuwa na madigere na au PhD ili ukubalike na watu Ukiniuliza mimi, kwa yale tuliyoyasikia miaka hiyo ya utawala ya JPM hasa kumhusu Makonda, namna vyomba vya habari vilivyokuwa vikimwandama, kumchafua na kubezwa karibu na kila mtu, kwa akili yanfu naliamini kuwa...
  15. Mjanja M1

    PreGE2025 Makonda: Tutawapa kila kitu CHADEMA lakini kura hawatopata

    "Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) walitegemea tutawaletea Polisi na tutawapiga mabomu, nimwambie kaka yangu Freeman Mbowe awamu hii imebadilika, tutawapa kila kitu lakini kura hamtapata. Wako bararani wanatembea, wanazurura wanaona raha na kwa kuwa wengine ni wagonjwa tumewapelekea...
  16. I

    Makonda kawa kituko ziara Kanda ya Kaskazini

    Ukifiatilia hotuba zote alizotoa Kilimanjaro na Arusha hakuwa na ajenda ya kueleweka zaidi ya kuzungumzia maandamano ya Chadema na kujikomba kwa Mbowe. Mara akasema siasa inalipa, mara nitalala kwa Mbowe, mara Samia karuhusu maandamano ya Chadema. Hivi Nchimbi hakumwandalia hoja za kupeleka kwa...
  17. Stephano Mgendanyi

    Makonda: Mbunge Saashisha Mafuwe ni Hazina

    MAKONDA: MBUNGE SAASHISHA MAFUWE NI HAZINA "Na hapa mna bahati ya kuwa na Mbunge Kijana (Saasisha Mafuwe, Mbunge wa Jimbo la Hai) na Mimi nilimuona Bungeni hata kabla sijawa Kiongozi anavyopigania hasa ardhi zenu, amehangaika sana na Vyama vya Ushirika na kutetea ardhi ya wana Hai ibaki...
  18. T

    Makonda ana tabia zote za Hayati Magufuli

    Habari wanajamvi? Nilikuwa naangalia katibu mwenezi Paul Makonda yupo anyara Leo na Leo analala anyara ili kesho aende kelele kusikiliza matatizo ya wananchi. Ninaona kabisa zile itikadi za Magufuli anazo kwa asilimia zote. Na haya ma game Makonda anayaweza sana. Kuna mama alikuwa anadai...
  19. Ngongo

    Mkutano wa Makonda Arusha ulidoda

    Kama ilivyo desturi Arusha ni nchi ya wajanja hawataki ujinga. Licha ya kukusanya wajinga wajinga kutoka Karatu, Monduli, Longido, Loliondo, Arumeru na Karatu bado mkutano ulipwaya sana. CCM kwakujua Makonda si lolote si chochote walikimbia uwanja wa Sheikh Amri Abeid na kufanya mkutano Soko la...
  20. Jaji Mfawidhi

    PreGE2025 Kauli za Makonda huko Kilimanjaro, Tanga na Arusha: Je, anaona waliopo wanapwaya?

    Paul Makonda a.k.a Bashite wa Kolomije ameteuliwa hivi karibuni kuchukua nafasi ya Uenezi wa CCM. Bashite ikumbukwe alikuwa mkuu wa Wilaya na Baadaye Shujaa alimteua kuwa Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam. Bashite inasemekana amekuwa na kauli zisizo safi masikioni, be it kwa wadogo ama wakubwa zake...
Back
Top Bottom