makazi

  1. Sky Eclat

    JamiiForums Tanzania SoC01 Kuboresha kijiji kimoja nchini kuwa na Makazi bora na mfano wa Tanzania ya siku zijazo

    Ninaamini nyumba bora huboresha afya ya mwili na akili. Mahitaji ya msingi ya binadamu ni hewa safi na kuishi sehemu isiyosababisha maradhi mfano baridi na unyevu unyevu. Nyumba bora huleta fahari kwa mwenye nyumba hata kukaribisha wageni na humjengea heshima katika jamii. Watanzania wengi...
  2. N

    JamiiForums Tanzania Natafuta kijana mwenzangu tuchangie kodi ya pango wakati tuna-hustle kutafuta maisha

    Habari Wakuu, Kabla ya yote naomba Nikiri kwamba Hali ya maisha imekuwa tough Sana especially kwa sisi vijana tunaohustle kuanza maisha Bila ya kuwa na blueprint ( ramani) ya kueleweka ya kutupatia regular income hapa mjini. Binafsi ni kijana ambaye nimeamua kung'atuka nyumbani na kuja apa...
  3. A

    JamiiForums Tanzania Kuwe na Wizara ya nyumba na makazi ili kuboresha makazi ya watu

    Wizara ishughulike na ujenzi wa majengo ya watu kuishi. Nyumba za ghorofa za kuchukua familia 50 kwenye block moja. Wakaxi wanakua wapangaji wa wizara na kodi inayokusanywa inasaidia kujenga nyumba nyingine. Wanaotaka kujenga nyumba zao waombe kibali, kigezo cha kupata kibali ni kuonyesha...
  4. ESCORT 1

    JamiiForums Tanzania Makazi ya FFU Ukonga yaangaliwe upya, yamechakaa sana

    Jana nilifanikiwa kupita maeneo ya makazi ya askari wa kikosi cha kutuliza ghasia (FFU) pale Ukonga, Dar Es Salaam. Ni makazi duni sana, yamechakaa, hayastahili kukaliwa kwa sasa! Japo sijawahi kuwakubali askari, lakini kama wanajitahidi kulitumikia Taifa, kwanini Serikali isiwaangalie kwa...
  5. Sky Eclat

    JamiiForums Tanzania Nini kifanyike kuboresha makazi ya Watanzania vijijini na hata mijini?

    Watanzania wanaoishi katika nyumba za hali hii ni wengi sana. Nyumba za hali hii huchangia afya mbovu. Tunapohamasisha BIMA za afya tufahamu pia tatizo linaanzia hapa.
  6. M

    JamiiForums Tanzania Mkurugenzi wa Jiji Dodoma amefeli zoezi la urasimishaji makazi Nzuguni A

    Mheshimiwa Rais sisi wakazi wa Nzuguni A tunakuomba uingilie kati zoezi hili lisiloisha kwa wenye makazi na viwanja katika eneo la Nzuguni A. Zoezi hili linakaribia mwaka wa tatu lakini imekuwa linaenda kwa kusuasua sana urasimu umekuwa ni mwingi l, ubabaishaji na Rushwa imekithiri kupelekea...
  7. R

    JamiiForums Tanzania Halmashauri ya Wilaya Muheza na urasimishaji makazi kutumia kampuni ya Makazi Solutions

    Hawa Makazi solutions waliingia makubaliano na Halmashauri ya Wilaya ya Muheza ya kufanya kazi ya kurasimisha makazi ya iliyokuwa shamba ya Geiglitz Muheza. Watu wamelipai (baadhi) na kuahidiwa kupewa hati za umiliki kama ilivyo kawaida. Kinachoonekana sasa ni kuwa ni UTAPELI kwani hakuna hati...
  8. Chachu Ombara

    JamiiForums Tanzania Waziri Simbachawene: Mabadiliko ya kisera, chanzo cha makazi mapya ya Polisi kutotumika tangu 2018

    SERIKALI imetaja sababu za kutokutumika kwa miradi ya nyumba za makazi ya maofisa na askari polisi licha ya kukamilika kwa miaka mitatu iliyopita. Nyumba hizo ni zile za ghorofa zilizoko Mikocheni na Kunduchi mkoani Dar es Salaam, ambazo ujenzi ulianza mwaka 2014 na kukamilika mwaka 2018 chini...
  9. KikulachoChako

    JamiiForums Tanzania Kuhamisha au kubadilisha makazi kwenye maisha ya kila siku...

    Habari za muda huu ndugu jamaa na marafiki. Natumaini sote tu wazima wa afya na wenzetu ambao wanapitia magumu Mungu awafanyie wepesi. Kila mmoja wetu ana makazi katika eneo fulani. Makazi ndio stara kubwa kwa mwanadamu, ndio maana wazee wetu wa zamani walifanya mpaka mapango kuwa sehemu ya...
  10. R

    JamiiForums Tanzania Waziri Lukuvi njoo Tanga utatue kero za Urasimishaji mashamba na viwanja unaofanywa na H/ya wilaya ya Muheza na Mkandarasi aitwaye MAKAZI SOLUTIONS

    Huu ni mradi wa urasimishaji wa mashamba na viwanja katika Wilaya ya Muheza. Mkandarasi niMakazi Solutions. Ni katika yaliyokuwa mashamba ya Geiglizi na wawekezaji wengine wa Kizungu tanga ukoloni. Kero baadhi 1. Mradi kutokamilika 2. Ahadi za kutoa hati zisizotekelewa 3. Malipo yasiyo na...
  11. J

    JamiiForums Tanzania Kwanini viongozi wa kitaifa hupenda kula Sikukuu DSM badala ya Dodoma yalipo makazi yao?

    Nauliza tu maana Dodoma wamebakia akina mzee Mgaya na mzee Ndugai wengine wote wametimkia Dar es salaam kula sikukuu ya Eid El Fitr. Ni kwamba Dodoma ni padogo au bado ni mashambani hakufai kusherehekea sikukuu zenye amsha amsha?!! Eid Mubarak!
  12. Nyumba Nafuuu

    JamiiForums Tanzania Namna Kujenga & Kurekebisha Kuvuja Paa la Contemporary Houses (hidden roofing)

    Nyumba za contemporary au hidden roofing zimekuwa ni moja ya staili ya nyumba ambazo watu wengi kwa sasa wanapenda kuzijenga haswa vijana maana ndizo zilizo za ‘kisasa’ kwa sasa! Nyumba hizi zimekuwa zinavutia watu wengi sababu ya mwonekano wake wa boksi, ubapa na kona nzuri zilizoibeba nyumba...
  13. Analogia Malenga

    JamiiForums Tanzania Tembo 30 wavamia mashamba na makazi ya watu wilayani Namtumbo

    Tembo 30 wakiwa katika makundi mawili wamevamia makazi na mashamba ya wananchi na kuharibu ekari zaidi ya 20 za mazao mbalimbali na kuzusha taharuki kubwa kwa wananchi katika kijiji cha Mbimbi wilayani Namtumbo mkoani Ruvuma. ITV imetembelea mashamba yaliyoharibiwa kijijinii hapo katika kata ya...
  14. D

    JamiiForums Tanzania Kwanini wizara ya ardhi DSM iliamua kupima mbuga na mabonde yote ya kulima mpunga kuwa sehemu ya makazi?

    Ukizunguka mkoa wa Dar es salam! Maeneo yote yenye chemchem za maji ndiyo yaliyopimwa viwanja rasmi kwa ajili ya makazi ya binadam! Je; ni kwanini wizara iliacha kupima maeneo salama ikakimbilia kupima mashamba ya mpunga kuwa makazi? Mbezi beach yote, kunduchi, ununio na mbweni kote huku...
  15. N'yadikwa

    JamiiForums Tanzania Ujumbe kwa Waziri Ndugulile: Vibao vya anuani za makazi sasa liwe zoezi la lazima

    Waziri Ndugulile najua umechukua hii Wizara hivi karibuni. Baada ya kusimamia suala la vifurushi vizuri; nashauri sasa ugeukie Vibao vya Anuani za Makazi ili tuwe na mfumo rasmi wa utambuzi wa Makazi na zoezi hili liwe la lazima na liwe na vibao vya udongo inavyofanana kote nchini ili tuwe na...
  16. Analogia Malenga

    JamiiForums Tanzania Kambi ya uvuvi ya Migogo yateketea kwa moto, 100 wakosa makazi

    Zaidi ya watu 100 wamekosa makazi baada moto kuteketeza baadhi ya makazi ya wakazi wa kambi ya uvuvi ya Migogo iliyoko kata ya Maisome Halmashauri ya Buchosa wilayani Sengerema Mkoa Mwanza kuteketea kwa moto muda huu na chanzo cha moto huo bado hakija fahamika. Ofisa mtendaji Kata ya Maisome...
  17. Mwanamayu

    JamiiForums Tanzania Kituko cha mwaka - Wananchi wa Vunjo wamtuma mwakilishi wao Bungeni kuomba kupewa rasmi ardhi na Serikali ili kufanya makazi mapya

    Yaani Mbunge wa Vunjo mwenye PhD anamwomba Waziri wa Ardhi awapatie Wachagga wa Vunjo ardhi kwingineko katika Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Sababu ni ili walime kwani kwao wamegawana ardhi kwa mila zao na kujikuta na vipande vidogo sana ambavyo mtu hawezi kulima. Eti wamesongamana, si...
  18. F

    JamiiForums Tanzania Utupaji masalia ya makaa ya mawe (coal ash) katika Barabara za mitaa kwenye makazi ya watu maeneo ya Kunduchi Salasala

    Kuna kiwanda kimoja maeneo ya Kunduchi Salasala kinachotumia nishati ya makaa ya mawe (coal) kuzalisha bidhaa za sabuni. Ni hivi majuzi kimeanzisha utaratibu wa kusambaza, kwa kutumia magari ya kiwanda, masalia ya coal iliyotumika (coal ash) na kuyamwaga katika Barabara za mitaa. Kabla ya...
  19. Analogia Malenga

    JamiiForums Tanzania UNHCR: Miezi miwili ya ghasia Afrika ya Kati, watu 200,000 wamekimbia makazi yao

    Shirika la Kimataifa la Kuhughulikia Wakimbizi (UNHCR) limetoa madhara ya machafuko yanayoendelea Jamhuri ya Afrika ya Kati ambayo yakiendelea yatawaweka makumi elfu ya watu katika hali mbaya Hali ilivyo sasa ni kuwa zaidi ya watu 200,000 wamehama makazi yao, ambapo watu 92,000 wamezifikia...
  20. Magari ya Biashara

    JamiiForums Tanzania Tunauza Viwanja na Mashamba kwa bei nafuu

    Habari wana JF.Nina hekari 2,000 za shamba maeneo ya mazinde wilaya ya korogwe mkoani Tanga. Ninatumia heka 1,000 tu.Zimebakia heka 1,000 kwa mwekezaji yoyote wa kilimo aje. Pembeni limepakana n mto ambao haujawahi kukauka maji. Nauza 1,000,000 Kwa Heka 1. DIRECTION YA SHAMBA LILIPO Ukiwa...
Back
Top Bottom