Anita Kajembe
JF-Expert Member
- Jun 29, 2021
- 215
- 485
Wizara ishughulike na ujenzi wa majengo ya watu kuishi. Nyumba za ghorofa za kuchukua familia 50 kwenye block moja. Wakaxi wanakua wapangaji wa wizara na kodi inayokusanywa inasaidia kujenga nyumba nyingine.
Wanaotaka kujenga nyumba zao waombe kibali, kigezo cha kupata kibali ni kuonyesha ushahidi wa uwezo wa kujenga nyumba ya kisasa. Uwe na milioni 30 za ujenzi.
Wapangaji wa Wizara wasio na uwezo wa kulipa kodi wapatiwe kazi ya kusafisha communal areas za maeneo wanayoishi. Wakazi wakilalamika uchafu hatua kali zichukuliwe.
Kuwe na idara ya urekebishaji kama wakazi wakiripoti hitilafu kuanzia maji, umeme, kuharibika kwa dirisha nk.
Katika makazi kuwe na viwanja vya watoto kucheza, wafanya biashara wakaribishwe kujenga hoteli, bar na maduka karibu.