Hata kutokee nini, sirudi kuweka makazi yangu Tanzania

my name is my name

JF-Expert Member
Jan 12, 2015
2,017
2,384
Hata siku wazazi wangu wakiamua kurudi Tanzania mimi siwez kurudi. Sirudi kamwe hata kutokee nini sirudi kuja kueka makaz yngu Tanzania.

Siwez kunufaisha watu wavivu, wajinga wasiofanya kazi km inavotakiwa ila kla mwisho wa mwezi kwa kutumia kodi yng wanavimbisha matumbo na familia zao kila sku.

Bora nionekane sio mzalendo lakini pesa yangu ina thamani kubwa sana haiwez kutumika kizembe. Pesa yangu hawezi kulipa watu wasiofaa kulipwa au kufanyiwa vtu vya kipumbavu vsiokua na manufaaa kwa raia wote wa Tanzania kwa pamoja. Pesa yangu sichumi kwenye mti hivo haiwezi kutumika kizembe tu.

Bora niendelee kunufaisha wazungu mana wao wanatumia vizuri kodi, kla siku maendeleo yanaonekana na mimi nanufaika na maendeleo hayo. Lakini sio serikali ya Tanzania na utumiaji wake wa hovo kodi za wananchi.

Kuna mda ukifika ntabadilisha kabsa uraia...👀
 
Back
Top Bottom