Ukienda jijini Mwanza ukipita kwenye makazi holela unakuta vibao vimewekwa eti anwani za makazi, huku ni kupoteza pesa yetu bure. Unapita kwenye njia zilizochangamana mara umeibuka junction moja kimewekwa kibao cha anwani ya makazi.
Ushauri
Anzeni kwa kutuwekea mitaa inayoeleweka tumieni hizo...
Serikali ebu ijaribu kuweka mfumo mwepesi wa kupata kibali cha ujenzi.urasimu ni mkubwa sana na utaratibu mgumu unachukua muda na inapelekaa watu wengi kumalizana na wajumbe tu kwa kutoa chochote na maisha yanaendelea.
Yaani ili la vibali kwasasa ndio chanzo kikubwa. Cha Serikali za mitaa...
Kiongozi wa upinzani nchini Uganda Robert Kyagulanyi, al maarufu Bobi Wine, ametuma picha ya polisi na jeshi wakionekana nje ya nyumba yake kabla ya kampeni za uchaguzi mdogo unaotarajiwa kufanyika katika wilaya ya Kayunga.
Rais Yoweri Museveni anatarajiwa kutembelea katika wilaya ya Kayunga...
Polepole anatafuta namna ya kuwafanya Wananchi wajinga, anatafuta namna ya kutumia kile chumba anachodai kimevunjwa kuonyesha Wananchi kwamba yeye ni mzalendo na hakujilimbikizia Mali, anataka kuonyesha Wananchi kwamba yeye ni fukara na mtu wa kiwango Cha chini kimaisha. Tumpuuze
Kwanini...
Salama wandugu, nimesikitika eti huyu mama amesaini makaratasi kuhusu uhuru na suluhu za kibiashara Sasa Jambo moja linanipa ukakasi ni Juu makaratasi ya makazi na ardhi wandugu wakenya siyo wa kuwachekea watahodhi ardhi ya Watanzania, kwanini asiwapeleke Zanzibar wakamiliki ardhi .
Nyumba ya kuishi inauzwa, ipo Chanika Zingiziwa, Mtaa wa Ngobedi. Ina vyumba vutatu kimoja ni master. Pia ina choo cha nje na eneo ambalo unaweza kujenga kitu kingine. Ipo kwenye eneo tulivu sana kwa wenye kupenda utulivu.
Kama unahitaji tuwasiliane kwa 0685 666964...
Salama. Kuna maeneo ya makazi ni mazuri sana kuishi hivyo kila mtu anatamani kuishi huko. Maenwo kama Masaki au Oysterbay.
Hili limepelekea watu kujenga maghorofa marefu sana na kuuza au kupangisha apartment. Majengo haya hubadili kabisa mazingira .
Yanazuia upepo na jua pia. Na zaidi ni...
Benki ya Dunia imekadiria, kufikia mwaka 2050 watu milioni 216 duniani watakuwa wameondoka kwenye makazi yao kutokana na mabadiliko ya Hali ya Hewa ikiwa hali hiyo haitadhibitiwa.
Sababu ya watu kuhama zimetajwa kuwa ukame, kushuka kwa uzalishaji wa mazao na kuongezeka kwa kina cha bahari...
Mkuu wa Wilaya ya Iramba mkoani Singida Mhe Suleiman Yusuph Mwenda siku ya Septemba 23, 2021 amezindua kifaa cha kisasa cha upimaji wa ardhi kiitwacho DGPS S86 RTK chenye uwezo wa kutembea Km 30. Akihutubia katika hafla ya uzinduzi wa kifaa hicho, Mhe Mwenda aliwapongeza kwa pamoja Mwenyekiti...
Kamisaa wa Sensa, Anne Makinda amesema baadhi ya watu wana imani potofu kuwa zoezi la uhesabu watu na makazi wanahusiana na chanjo ya #COVID19
Amesema hilo sio kweli, japo ni muhimu kwa wananchi kupata chanjo ya corona. Ambapo wanaendelea kutoa elimu kuhusu sensa itakayofanyika 2022
Aidha...
Majanga ya Asili yamesababisha Watu kukimbia makazi yao miaka ya karibuni, ikielezwa wengi wao walikuwa wakiishi pembezoni mwa Ziwa Tanganyika ambapo viwango vya maji vimeongezeka na kusababisha mafuriko na maporomoko
Shirika la Save The Children linasema takriban 85% ya Watu 122,500 wanaokaa...
ALIPOISHI BABA WA TAIFA BAADA YA KUACHA KAZI YA UALIMU 1955
Hapo ilipo nyumba hii ilikuwapo nyumba ya kawaida ingawa kwa wakati ule nyumba hiyo ilikuwa nyumba ya kuvutia pia.
Nyumba hiyo ilikuwa na duka la mwenye nyumba hiyo na barazani palikuwa na barza maarufu ya wazee wa mjini maarufu...
Tukio liko mubashara ITV, TBC na Channel ten
Rais Samia anazindua zoezi la uelimishaji na uhamasishaji wa sensa ya watu na makazi 2022 katika uwanja wa Jamhuri Dodoma.
=====
Rais wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan amesema bila kuwa na hesabu au takwimu sahihi, haiwezekani kugawa rasilimali na...
Nyumba iliyo karibu kusombwa na Bahari, kijiji cha Mdimni wilayani Mkuranga.
Na Mwandishi Wetu
Maisha ya wakazi wa Kijiji cha Mdimni kilichopo wilayani Mkuranga katika Mkoa wa Pwani, yapo shakani kufuatia sehemu kubwa ya ardhi yake kughubikwa na athari zilizokithiri za mabadiliko ya...
Hata siku wazazi wangu wakiamua kurudi Tanzania mimi siwez kurudi. Sirudi kamwe hata kutokee nini sirudi kuja kueka makaz yngu Tanzania.
Siwez kunufaisha watu wavivu, wajinga wasiofanya kazi km inavotakiwa ila kla mwisho wa mwezi kwa kutumia kodi yng wanavimbisha matumbo na familia zao kila...
Siku moja naingia jiji la mwanza kikazi nilibaki kushangaa kwa niliyokuwa naona.
Mwanza kuna kila aina ya wanawake warembo mikoa yote.
Mwanza kuna vyuo vingi na ofisi nyingi kuanzia serekali na binafsi.
Wanawake wazuri na kila aina iliyopo toka mikoa mbalimbali mpaka mataifa jirani kote...
England United Kingdom
Dresdane German
Habari wanajamvi natumai mu wazima wa afya.
Binafsi napenda utalii hasa utalii wa kihistoria kujua watu wa zamani na jamii zao waliishi vipi makazi, siasa, shughuli za kiuchumi nk.
Tukija sehemu yangu pendwa ya makazi navutiwa sana na architects...
Moto wa msituni unaendelea kuwaka katika Kisiwa cha Evia Nchini humo ikielezwa upepo mkali unapeleka moto huo kwenye Vijiji. Hadi sasa, watu zaidi ya 2,000 wamehamishwa kutoka Kisiwa hicho.
Majanga kadhaa ya moto yameikumba Ugiriki katika siku za hivi karibuni. Taifa hilo linakabiliwa na joto...
Saalamu wanaJF,
Naomba niende moja kwa moja kwenye mada husika
Zahanati hapa Tanzania nyingi zimekuwa zikijengwa sehemu ambazo ni karibu tunapoishi . Hii ni nzuri kwa sababu ya ‘easy access’ pale mtu anapopatwa na tatizo la kiafya linalohitaji uangalizi wa haraka hiyyo anaweza kupata msaada...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.