makamu

  1. Nigrastratatract nerve

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Tetesi: Mwinyi kugombea Urais wa JMT mwaka 2025 makamu wake kuwa Dkt. Titus Mlengeya Kamani

    Ni Habari njema watanzania ni kikao cha wajuvi wa mambo kilikaaa sirini toka Magufuli afariki Dunia ikawa kwamba Samia ni nahodha tu anyeivusha meli upande wa pili wa pili baada ya Nahodha mkubwa kutangulia mbele za haki Isingewezekana Samia kuendelea kuwa Rais wa JMT Kwa sababu yeye ni...
  2. Zanzibar-ASP

    JamiiForums Tanzania Rais mgonjwa mahututi mpaka mauti, lakini makamu wake hajui, aelezwi na anafichwa!

    Yaani kiongozi wa nchi anaumwa muda mrefu, ugonjwa endelevu, anapotelea hospitalini majuma kadhaa, anapambania maisha yake kufa na kupona, hajiwezi. Lakini katika mazingira hayo hayo, taifa zima halijulishwi chochote, makamu wake hajui, aelezwi na anafichwa kimakusudi asijue chochote. Hatimaye...
  3. KING MIDAS

    JamiiForums Tanzania Tarehe 17 March 2021, Makamu wa Rais akitangaza kifo cha aliyekuwa rais Ndugu Hayati Magufuli ulikuwa wapi?

    Binafsi taarifa za msiba wa Rais nilizipata nikiwa njiani, nimepanda basi la Majinja likilokuwa linàfanya safari za wizi za usiku, likitoka Dar kuelekea Mbeya. Safari yangu ilikuwa ikiishia Mafinga mkoani Iringa. Nilikuwa nime tune Radio 1, ndipo wakakata matangazo na tukaunganishwa na TBC...
  4. Erythrocyte

    JamiiForums Tanzania Makamu wa Rais: Zanzibar hakuna Amani, kuna Ukimya

    Makamu wa kwanza wa Rais wa Zanzibar , Othman Masoud , ambaye pia aliwahi kuwa Mwanasheria Mkuu wa Zanzibar , amenukuliwa akieleza kwamba , kwa sasa Zanzibar hakuna amani , bali kuna Ukimya tu . ZANZIBAR HAKUNA AMANI, KUNA UKIMYA "Kilichopo sasa Zanzibar ni kimya; na si amani; kwa sababu...
  5. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Makamu wa Rais Dkt. Mpango: Mwigulu na Kitila "Chukueni maoni ya Wafanyabiashara"

    Dkt. Philip Isdor Mpango, Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania amewaagiza Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Mipango na Uwekezaji, Prof. Kitila Mkumbo (Mb), na Waziri wa Fedha Dkt. Mwigulu Nchemba (Mb), kuchukua maoni ya Wafanyabiashara na wawekezaji ili kuboresha sera na sheria za...
  6. MK254

    JamiiForums Tanzania Kumekucha: Kamanda mkuu wa Hezbollah na makamu wake wauawa na IDF

    Hawa Hezbollah wamekua wakionywa kila siku kwamba Israel siku ikiamua kuanza kutembeza kichapo, watajutia, yaani mpaka sasa ifahamike Israel haijaanza chochot cha maana pale ila wamefaulu kumuua hadi kamanda mkuu na makamu wake.....siku wakianza mtakwenda kushtaki ICJ Jamaa wamewahishwa kwa...
  7. Mjanja M1

    JamiiForums Tanzania Dkt. Mpango amtabiria mtoto kukalia kiti cha Makamu wa Rais

    Makamu wa Rais, Dk Philip Mpango amemtabiria mtoto wa kwanza kuzaliwa katika kituo cha afya Ketumbeine kuja kuwa Makamu wa Rais miaka ijayo. Dkt. Mpango ametoa utabiri huo leo Februari 10, 2024 kwa mtoto aliyezaliwa na kupewa jina la Philipo baada ya msichana, Nengai Nairowa (17) kutembelewa na...
  8. Influenza

    JamiiForums Tanzania Nape amung'unya majibu na kutupia lawama Chombo cha Habari. Ni baada ya kusema atawashughulikia wa mtandaoni kuhusu Makamu Rais

    Waziri wa Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari amesema yeye atawashughulikia wale waliotangaza Msiba mtandaoni wa Makamu wa Rais baada ya Makamu kutoonekana kwa muda Anadai sio kila jambo lazima lisemwe hivyo kwa wakati ule hakukuwa na sababu ya kusema alipo Makamu wa Rais. Anaendelea...
  9. Kingsmann

    JamiiForums Tanzania Godbless Lema: Makamu wa Rais si Mungu, ukiumwa sema, ukisafiri kikazi sema

    Makamu wa Rais nakusalimu. Wewe sio makamu wa Rais wa familia yako.Wewe ni Makamu wa Rais wa Nchi.Watu wanapofuatilia taarifa zako wako sawa asilimia 100. Ukuonekana kwa muda mrefu na serikali na ofisi yako wakawa kimya,watu wakaanza huko wapi? Tena ni jambo jema kwako,nilifikiri ungefurahi...
  10. Dr Shekilango

    JamiiForums Tanzania Makamu Mwenyekiti wa CCM Kinana anauma na kupuliza kuhusu maendeleo ya Mkoa wa West Lake (Kagera)

    Kuwa na Maprofessor wengi siyo kigezo cha kuongeza kipato Mkoani West Lake (Kagera). Makamu Mwenyekiti anaongelea tangu Uhuru Serikali imeweka miundombinu gani kuwezesha Mkoa wa West Lake (Kagera) kuzalisha. Nadhani hasikwepeshe wajibu wa serikali kwa walipakodi wa West Lake (Kagera) kwa...
  11. I

    JamiiForums Tanzania Serikali iache ushamba kwani ingetangaza makamu wa Rais Mpango yuko nje nini kingetokea?

    Huu ni ushamba kwa serikali inayojinasibu kuwa ni ya watu kufichaficha vitu ambavyo havistahili kufichwa! Kwani serikali ingetangaza kuwa Makamu wa Rais Dr. Mpango amesafiri kwenda nje ya nchi kutibiwa, au kupima afya au kusoma ingepungukiwa nini? Badala yake Kigogo amepata ujiko kwa kusambaza...
  12. KING MIDAS

    JamiiForums Tanzania Narudisha shukrani zangu za dhati kwa Mwenyezi Mungu baada ya kumuona Makamu wa Rais Dkt. Philip Mpango akiwa mzima wa afya njema

    Mwenyezi Mungu asifiwe sana. Hakika anastahili sifa, utukufu, heshima na adhama kwa matendo yake makuu. Leo ninefarijishwa sana baada ya kumuona Makamu wa Rais Dr. Phillip Mpango akiwa ni mzima wa afya njema na akiwa na furaha tele machoni pake. Kwa kipindi cha zaidi ya mwezi mmoja mheshimiwa...
  13. S

    JamiiForums Tanzania Makamu wa Rais anaeweza kukaa nje ya nchi kwa mwezi mmoja kwa shughuli maalamu?

    Naomba kufahamishwa inawezekana vipi mtu mwenye wadhifa wa Umakamu wa Rais kukaa nje ya nchi kwa mwezi mmoja eti kwa shughuli maalumu.? Hata Katibu Mkuu tu wa wizara ni nadra kuweza kukaa mwezi mzima, sasa iweje kwa Makamu wa Rais? Ni kazi gani hiyo? Makamu wa Rais anaweza kuwa mtendaji wa...
  14. Chachu Ombara

    JamiiForums Tanzania Makamu wa Rais Dkt. Mpango akutana na Rais Samia Ikulu ya Chamwino

    Makamu wa Rais Dkt. Philip Mpango amekutana na Rais Samia Ikulu ya Chamwino katika shughuli ya kupokea hundi ya msaada wa waathirika wa mafuriko ya Hanang ambayo mpaka sasa yamepelekea vifo vya watu 85. Ukimya wa Dkt. Mpango takriban mwezi mmoja ulizua sintofahamu katika mitandao ya kijamii...
  15. R

    JamiiForums Tanzania Kelele za wananchi wazalendo zamleta hadharani Makamu wa Rais. Lakini bado twajiuliza; ni sahihi kiongozi wa nchi kuishi nje mwezi bila taarifa rasmi?

    Makam wa Rais amejitokeza hadharani baada ya jana kurejea nchini akitoka nje ya nchi ambapo amekaa huko kwa takribani mwaka mmoja. Akiwa nje hakuna warsha, mkutano wala kongamano aliloonekana kushiriki. Hali hii ilipelekea wananchi kuibua sintofahamu juu ya afya yake. Katika mipango ya ndani ya...
  16. Analogia Malenga

    JamiiForums Tanzania Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar ahudhuria sherehe za Uhuru Dodoma

    Wakuu sherehe za uhuru zinaendelea huko Dodoma. Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar amehudhuria sherehe za uhuru. Ni taarifa tu
  17. The Burning Spear

    JamiiForums Tanzania Makamu wa Raisi Dkt. Mpango yupo kikazi nchi gani?

    Great Thinkers. Naamini humu kuna wajuzi na wafuatiliaji wa taarifa mbalimbali. Anayejua aliko Dkt. Mpango kwa shuguli za kiserikali atujuze.. Mi mashetani yangu yamegoma yanasema hayupo kikazi anaywhere.
  18. Msanii

    JamiiForums Tanzania Wananchi tuna haki kufahamu alipo Makamu wa Rais Philip Mpango

    Tulimpoteza Magufuli kwa sababu kuumwa hadi kuzidiwa kulifanywa National Bigly Secret ambapo wananchi hatukujulishwa iwapo anaumwa ama amezidiwa zaidi ya kustuliwa na taarifa ya kifo chake mnamo 17 March 2021. Rais ni wa Jamhuri ijulikane kuwa anamilikiwa na wananchi wote bila kujali itikadi...
  19. Analogia Malenga

    JamiiForums Tanzania Dkt. Philip Mpango anatarajiwa kuwa Mgeni Rasmi wa Mkutano wa TAWIRI, Dec 6-8

    Makamu wa Rais wa Tanzania, Dkt. Philip anatarajiwa kuwa mgeni rasmi wa Mkutano wa TAWIRI unatarajia kufanyika kuanzia Disemba 6 hadi 8 jijini Arusha.
  20. B

    JamiiForums Tanzania Majukumu ya Makamu wa Rais ni yapi?

    Asalaam Aleykum. Leo nimelazimika kuuliza hili swali maana huwa hata sielewi maana ya hiki cheo kuwepo. Niliwahi kusikia kwamba mojawapo ya majukumu ya Makamu wa Rais ni pamoja na kushughulikia masuala ya mazingira. Sasa kama ni hivyo kweli, na huko Manyara tumepata mafuriko kutokana huenda...
Back
Top Bottom