makamu

  1. Suzy Elias

    JamiiForums Tanzania Ya nini huyo Makamu wa Mwenyekiti abembelezwe? Kawa Nyerere?

    Ifahamike, huyo Makamu si Hayati baba wa Taifa kwamba eti aendelee kubembelezwa kama mtoto. Yeye si lolote kwamba Chama na Taifa ki/litapungukiwa na kitu pasipo yeye. Nafuu na jambo jema ni kuwa hata boss wake ameamua kumfungia vioo na hataki tena kujishughulisha naye kwa namna yeyote ile...
  2. benzemah

    JamiiForums Tanzania Rais Samia ateua Mwenyekiti na Makamu Mwenyekiti wa Bodi ya Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA)

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan amefanya uteuzi wa Mwenyekiti na Makamu Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi wa Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA) kama ifuatavyo:- Amemteua Dkt. Jones A. Killimbe kuwa Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi wa Mamlaka ya Mawasiliano...
  3. Ngaliwe

    JamiiForums Tanzania Paul Makonda: Anayempinga Rais Samia, anampinga Hayati Magufuli kwa maana yeye ndiye aliyemwamini kuwa makamu wake wa urais

    "Ndugu zangu wa kanda ya ziwa tulipata bahati ya kuwa na Mwasisi wa Taifa hili Hayati Baba wa Taifa Mwl. Julius Kambarage Nyerere, tukapata bahati tena ya kuwa na Rais wa awamu ya 5 Hayati John Magufuli ambaye alifanya jambo la kuamini Wanawake wana uwezo na akavunja miiko ya Mwanamke kutokuwa...
  4. chiembe

    JamiiForums Tanzania Hadhi ya Makonda kwa Sasa ni sawa na Makamu wa Rais au Kaimu Rais, ana haki ya kumpa maelekezo mtu yeyote yule, hata Philip Mpango

    Hiyo ndio hadhi ya Makonda kwa Sasa. Ameanza kazi rasmi, na ameanza kwa kumpangia kazi Waziri Mkuu Kassim Majaliwa, moto ni uleule kwa Makamu wa Rais, Sasa akifika kule wilayani na mikoani, wakuu wa huko wajipange. OCD na RPC, msiache kutembea na pingu, amri yoyote inaweza kutolewa...
  5. B

    JamiiForums Tanzania Makamu wa Rais Dkt. Mpango afungua Mkutano wa Kimataifa wa Korosho Dar

    12 October 2023 https://m.youtube.com/watch?v=2Fv1zCpiHmU Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Philip Mpango ametoa wito kwa Wizara ya Kilimo hapa nchini kufanikisha lengo na Wizara hiyo la kuacha kuuza Korosho ghafi nje ya nchi ifikapo mwaka 2026. Makamu wa Rais amesema...
  6. M

    JamiiForums Tanzania KWELI Makamu wa Rais akishika nafasi ya Rais kwa muda wa miaka 3 au zaidi ataruhusiwa kugombea kipindi kimoja tu

    Nimeona mjadala kuhusu mihula anayoruhusiwa kugombea makamu aliyeshika madaraka ya Urais kutokana na kuchukua kiti katikati ya muhula baada ya Rais aliyekuwepo madarakani kushindwa kuendelea aidha kwa kufariki akiwa madarakani, kujiudhuru au sababu za kiafya. Mjadala umechagizwa na kauli ya...
  7. Q

    JamiiForums Tanzania Rais hamuamini Makamu wake?

    Ibara ya 47 ya Katiba inasema, kutakuwa na Makamu wa Rais ambaye atafanya kazi zote za Rais kama Rais hayuko kazini au yuko nje ya nchi. Sasa nashangaa hata barua tu ya uteuzi hadi isainiwe na Rais mwenyewe tena nje ya nchi, kuna ulazima gani wa Rais kusaini nje ya nchi, kama kazi ndogo kama...
  8. Stephano Mgendanyi

    JamiiForums Tanzania Chato: Makamu Mwenyekiti UWT Akagua Miradi ya Maendeleo

    Dondoo Mradi wa maji Bilioni 5.6 Mradi wa Bwaro Shule ya Sekondari Mil. 100 Mradi wa kituo cha Afya. Mil. 526 Viongozi wa UWT Taifa leo Septemba 28. 2023 wamefika wilaya ya Chato katika muendelezo wa Ziara ya kikazi inayoendelea mkoani Geita, yenye lengo la kuzungumza na wana CCM, kuimarisha...
  9. Mr Dudumizi

    JamiiForums Tanzania Sielewi ni kwanini Makamu wa chama haaminiwi!

    Habari zenu wanaJF wenzangu, Aisee mpaka leo sielewi ni kwanini makamu anashindwa kuaminiwa. Yaani pamoja na jitihada zote anazozionesha kupambana huku na kule, lkn bado anaonekana ni "nothing", hana point yoyote ya kuaminiwa kupewa uongozi aongoze. Leo hii ukitoa wazo kwamba mwenyekiti maji...
  10. Erythrocyte

    JamiiForums Tanzania Aliyemuelewa Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar atusaidie na sisi kuelewa

    Mara zote wadau wa siasa wamehoji malengo na dhamira halisi ya ACT WAZALENDO kwenye siasa za Tanzania , mpaka sasa bado majibu yanatafutwa . Sasa tunaomba aliyemuelewa kiongozi wao huyu atusaidie kuelewesha wengine Mkubwa huyo amedai kwamba Wawekezaji Waje nchini Tanzania , maana hali ya...
  11. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Makamu wa Rais Dkt. Mpango atoa msimamo wa Tanzania UN

    Tanzania imeunga mkono juhudi za kulinda amani ikitoa wito wa ushirikiano wa kimataifa katika kipindi ambacho mataifa mengi yameonyesha wasiwasi kuhusu kupotea kwa amani katika jumuiya ya kimataifa. Makamu wa Rais Dk. Philip Mpango amelieleza Baraza Kuu la Umoja wa Mataifa wakati...
  12. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania Makamu wa Rais DKT. Philip Mpango ahutubia Mkutano wa Idadi ya Watu nchini Hungary

    Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Philip Mpango akihutubia katika Mkutano wa Tano wa Idadi ya Watu (5th Budapest Demographic Summit) unaofanyika katika Ukumbi wa Mikutano wa Museum of Fine Arts Jijini Budapest nchini Hungary. (Tarehe 14 Septemba 2023). Makamu wa Rais...
  13. Mpinzire

    JamiiForums Tanzania Rais Samia alijifunza nini akiwa Makamu M/Kiti wa Bunge la Katiba 2014?

    Ki ukweli nimesikiliza hotuba ya Mh Rais Samia leo kwenye mkutano na wadau wa Demokrasia nimekosa jibu la moja kwa moja kuwa licha ya kuwa Rais Samia aliwahi kuwa makamu mwenyekiti wa Bunge la Katiba mwaka 2014 bado haikulitumia kama funzo bunge lile! Maswali ninayo jiuliza leo hii! 1. Rais...
  14. Kabende Msakila

    JamiiForums Tanzania Makamu Waziri Mkuu - kuwa upande wa WAKULIMA anza na haya:

    SALAAM! # Wakulima wa tumbaku wa hapa Biharamulo (Kalenge) kutolipwa fedha za mauzo ya tumbaku musimu huu - ni takriban 100,000USD wanaidai KAMPUNI iitwayo Mkwawa Leave Tobacco Ltd; # Rushwa - usafiri na usafirishaji hususan magari yafanyayo safari za Nyakanazi - Kakonko ambapo kila dereva wa...
  15. Stephano Mgendanyi

    JamiiForums Tanzania Makamu Mwenyekiti UWT Taifa Atembelea Kituo cha Afya cha Kagongwa, Kahama

    MAKAMU MWENYEKITI UWT MNEC. ZAINAB SHOMARI ATEMBELEA KITUO CHA AFYA KAGONGWA-KAHAMA Makamu mwenyekiti wa UWT MNEC. Zainab Shomari mapema leo Agosti 28.2023 akiwa wilayani Kahama Mkoa wa Shinyanga ametembelea na kukagua kituo cha Afya cha Kagongwa Kilichopo Halmashauri ya Wilaya ya Kahama,ikiwa...
  16. Tajiri wa kinyankole

    JamiiForums Tanzania Waraka wa Maaskofu Katoliki kuhusu uwekezaji Bandarini wasomwa kanisani

    Chanzo cha habari kilichiripoti tukio hilo sikuu hii ya leo kabisa tena siku tukufu ni gazeti la mwananchi, watu wamesikiliza kwa makini waraka huo na kuelewa nini kinaendelea nchini[emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116]
  17. Stephano Mgendanyi

    JamiiForums Tanzania Ziara ya Makamu Mwenyekiti UWT Taifa Mkoa wa Tabora, Igunga

    📍Igunga, Tabora Makamu Mwenyekiti wa UWT Taifa Mhe. Zainabu Shomari (MNEC) akiwa ameambatana na Mkuu wa Wilaya ya Igunga Mhe. Sauda Mtondoo, Mbunge wa Jimbo la Igunga Mhe. Nicholaus George Ngassa, Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya Bw. Francis Msabila, Mganga Mkuu wa Wilaya, Mganga...
  18. Stephano Mgendanyi

    JamiiForums Tanzania Makamu Mwenyekiti UWT Taifa Akagua Ujenzi wa Hospitali Wilaya ya Itigi

    MAKAMU MWENYEKITI UWT TAIFA ZAINAB SHOMARI AKAGUA UJENZI WA HOSPITALI YA HALMASHAURI YA WILAYA YA ITIGI. Makamu Mwenyekiti wa UWT Taifa, Zainab Shomari ameipongeza Serikali ya awamu ya 6 kwa kutekeleza Mradi wa Ujenzi wa Hospitali ya Halmashauri ya Wilaya ya Itigi iliyopo Kata ya Tambuka reli...
  19. The Burning Spear

    JamiiForums Tanzania Utawala wa Samia ni Fundisho tosha kwa Nchi Namna ya kuchagua Makamu wa Rais

    Kujifunza kutokana na Makosa ndo huku sasa. Hatukutegemea Rais kufa akiwa madarakani. Makamu wa Rais huwa anateuliwa ilimradi ni mtu tu. Sasa kama Katiba haitabadilishwa japo iseme kwamba 1. Rais akifariki madarakani uchaguzi mkuu ufanyike baada ya siku kama 90 hivi 2. Rais na Makamu wake...
  20. B

    JamiiForums Tanzania Dkt. Mpango: Vitambulisho vya Taifa (NIDA) vipatikane kwa watoto wote wanaozaliwa

    Makamu rais Dr Mpango ameshauri kuwa ni vyema sasa watoto wote wanaozaliwa wawe wanapatiwa Vitambulisho vya Taifa (NIDA) papo hapo. Anasema hii itasaidia watoto kutatua changamoto mbalimbali za huduma za kifedha km kufungua account bank na kuomba mikopo ya elimu ya juu (HESLB). Nini maoni yako...
Back
Top Bottom