makamu

  1. U

    JamiiForums Je, una mshauri nini Dkt. Emmanuel Nchimbi Makamu wa Rais wa Tanzania?

    Wadau nyote karibuni tumshauri Mheshimiwa jambo ambalo unaweza mshauri. Kwangu mimi namshauri adumishe hekima kubwa aliyonayo.
  2. Mwanamwana

    JamiiForums PostGE2025 Wahadhiri wa Kiislam: Hajawahi tokea Rais Muislam, Makamu asiwe mkatoliki, na vice versa; wakatoliki hawapo tayari

    Hayo ndo madini ya wahadhiri wa Kiislamu wakidai kuwa Rais anapokuwa Muislam, wakatoliki hawapo tayari Makamu atoke nje ya Katoliki, au Makamu anapokuwa Muislam basi Rais asiwe Mkatoliki.
  3. The Father of All

    JamiiForums Kuna haja ya kuhakikisha kikatiba makamu wa rais harithi madaraka pale rais anapokufa ili kuepuka kurudia makosa

    Kama katiba yetu ingekuwa hairuhusu makamu wa rais kuchukua madaraka baada ya kifo cha rais, tusingekuwa kwenye balaa hili linalotusumbua sasa hadi kupoteza maisha ya watu wetu wasio na hatia. Wala tusingekuwa na rais pandikizi ambaye hatukumchagua. Tusingekuwa na utawala usiojua unachopaswa...
  4. B

    JamiiForums Makamu wa Rais Dr. Emmanuel Nchimbi awasili Zambia

    19 November 2025 Lusaka, Zambia Makamu wa Rais Emmanuel Nchimbi awasili Zambia Kushiriki utiaji saini wa makubaliano ya ufufuaji wa Mamlaka ya Reli ya Tanzania – Zambia (TAZARA) Makamu wa Rais wa Tanzania, John Nchimbi, amewasili nchini Zambia kwa ziara ya kikazi ya siku mbili. Vyombo vya...
  5. R

    JamiiForums Swali: Ikitokea mtu akapelekwa ICC, je Makamu wake anapona?

    Just for curiosity! Anaweza kuwa treated as an accomplice? Kama Mods will spare this let us educate each other
  6. Powell Gonzalez

    JamiiForums PostGE2025 Nini maana ya kuwa na waziri mkuu pamoja na makamu wa Rais?

    Kuna maana gani ya kuwa na waziri mkuu ambae anakuwa appointed na president, wakati huo huo tuna vice president ambae pia anaingia kitini kupitia ticket ya rais. It's useless to have the PM as the head of the government, being appointed by an individual (President). It's even foolish to have...
  7. K

    JamiiForums Kwako Rais Samia: Iundwe wizara ya tathmini, ufuatiliaji na udhibiti ubora na iwe Chini ya Ofisi ya Makamu wa Rais

    Kwako Rais wa JMT, Dkt. Samia Suluhu Hassan, Awali ya yote natanguliza shukrani kwa Mwenyezi Mungu kutujalia afya njema na kutoa pole nyingi kwa wote waliopoteza Ndugu, jamaa na marafiki kutokana na maandamano. Mwenyeji Mungu aendelee kulijalia amani ya kutosha. Ni heshima kubwa kukufishia...
  8. Mwanamwana

    JamiiForums John Heche akamatwa akiwa Mahakama Kuu akijiandaa kuhudhuria kesi ya Tundu Lissu

    Makamu Mwenyekiti Bara wa chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) John Heche mapema leo asubuhi amekamatwa na jeshi la Polisi Mahakama Kuu Masjala ndogo ya Dar es Salaam, alipofika kwa ajili ya kufuatilia shauri la uhaini linalomkabili Mwenyekiti wa Chama hicho Tundu Lissu. Pia soma > John...
  9. figganigga

    JamiiForums John Heche amtembelea Mabele Marando nyumbani kwake

    Leo tarehe 11 Oktoba 2025, Makamu Mwenyekiti wa Chama cha CHADEMA John Heche amemtembelea nyumbani kwake aliyekuwa Mwanasheria Mkuu wa Chama na Mjumbe wa Kamati Kuu, Mhe. Mabere Marando. Ziara hii imebeba maana kubwa ya kuthamini mchango wa viongozi waliotangulia na kuendeleza mshikamano ndani...
  10. Abraham Lincolnn

    JamiiForums Alifeli akiwa makamu amefeli akiwa Rais bila aibu anataka kurudi tena

    Kuna kiongozi wa nchi moja alifeli sana kipindi akiwa makamu baada ya kuupata mithili ya tunda dodo lililoanguka chini mchangani, wala hakuwa na sifa wala vigezo isipokuwa tu gender balance na 'visiwani balance' sasa alifeli vibaya, kama zali akaula tena, sasa amenogewa na kujiona uwezo anao...
  11. Parabolic

    JamiiForums Rais, Makamu wa Rais, Waziri Mkuu wanawezaje kushitakiwa/kuwajibishwa?

    Akizungumza Jumapili Agosti 24, aliyekuwa Balozi wa Tanzania nchini Cuba, Humphrey Polepole alipendekeza kuwepo kwa sheria ya kuwawajibisha viongozi kwa matendo wanayofanya wawapo madarakani. Je, sheria za Tanzania zinasemaje kuhusu viongozi wa juu akiwamo Rais wa Jamhuri ya Muungano, Makamu wa...
  12. Ojuolegbha

    JamiiForums Waziri Kombo akutana na Makamu wa Rais wa JICA

    Balozi Mahmoud Thabit Kombo (Mb.), Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki amefanya mazungumzo na Bw. Ando Naoki, Makamu wa Rais wa Shirika la Kimataifa la Maendeleo la Japan (JICA) pembezoni mwa Mkutano wa Tisa wa TICAD uliofanyika jijini Yokohama. Mheshimiwa Waziri Kombo...
  13. GENTAMYCINE

    JamiiForums Soka la Tanzania ni la Kubalansi Simba na Yanga kwenye kila Kitu hivyo wenye Akili tulijua bado Nyamlani angekuwa Makamu Rais TFF

    TANGA; RAIS wa Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF), Wallace Karia amemteua tena Athumani Nyamlani kuwa Makamu wa Kwanza wa Rais wa shirikisho hilo. - Kwa mujibu wa Katiba ya TFF, Rais anateua wajumbe wanne wa Kamati ya Utendaji ambao wanathibitishwa na Mkutano Mkuu wa TFF na miongoni mwa...
  14. Pascal_TZA

    JamiiForums GE2025 Uchaguzi Zanzibar inadaiwa Makamu Mwenyekiti atoa rushwa kumtetea Mwanae

    Makamu Mwenyekiti wa UWT adaiwa kutoa maelekezo wasimamizi wa Uchaguzi kuhusu Mtoto wake Wardat Nassir Ali anayegombea Uwakilishi Jimbo la Kiembesamaki Zanzibar ili aweze kupata ushindi. Pia ameonekana akigawa rushwa hadharani kwa wajumbe wa mkutano huo nje ya ukumbi wa mkutano, na wajumbe...
  15. HIMARS

    JamiiForums China kuivamia Taiwan muda wowote - Makamu Wizara NJE Taiwan

    Makamu wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Taiwan asema kuwa China iko karibu kuivamia, hii inatokana na mitikasi ya China kuizunguka Taiwan hivi karibuni. Je Taiwan itaweza mzuia China asifanye jambo lake? China atakubali aibishwa na Taiwan? Je washirika wa Taiwan watamsaidia?
  16. Crocodiletooth

    JamiiForums Haiwezekani makamu wa rais znz,akawa toka bara,na wa bara akawa mznz ili kubalasi mambo ya kiutawala?

    Kwa Tanzania bara hili halina mjadala,je kwa upande wa znz kwa nini hili lisiwezekane?,tujadili...
  17. Genius Man

    JamiiForums Kulingana na Pole pole mtu ukishakuwa makamu wa raisi hutakiwi kuwania uraisi sasa inamaana samia anawania uraisi kwa katiba gani ?

    Kulingana na Pole pole mtu ukishakuwa makamu wa raisi hutakiwi kuwania uraisi sasa inamaana samia anawania uraisi kwa katiba gani ? Unajua huyu msajiri wa wa vyama vya siasa nae simuelewi sijui hili halioni ?
  18. U

    JamiiForums Je Unampa ushauri gani Mzee Joseph Sinde Warioba Waziri Mkuu na Makamu wa Rais Mstaafu

    Uzi Maalumu kumshauri Mzee Warioba. Karibuni wadau
  19. Ojuolegbha

    JamiiForums Waziri Kombo akutana na Makamu Mwenyekiti wa Tume ya Afrika ya Haki za Binadamu na Watu ya Umoja wa Afrika, Mhe. Janet Sallah-Njie (kulia).....

    Pembezoni mwa Mkutano wa Saba (7) wa Uratibu kati ya Umoja wa Afrika na Jumuiya za Kikanda jijini Malabo, Equatorial Guinea Julai 13, 2025, Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Mhe. Mahmoud Thabit Kombo (Mb.) amekutana na Makamu Mwenyekiti wa Tume ya Afrika ya Haki za...
  20. Magufuli 05

    JamiiForums Makamu kajitoa,waziri mkuu kajitoa na sasa Balozi kajitoa. Nyie mnaona Nini mbele?

    Hii record imewahi kutokea lini katika historia ya nchi yetu? Hili si jambo la kawaida hata kidogo. Kama mtampa Moyo kwamba mama usiangalie nyuma songa mbele mnampoteza ndugu yenu. Huko mbele meli inazama. Narudia meli inazama. Hii record na trend si nzuri hata kidogo na ni taa kwamba hatari...
Back
Top Bottom