makamu

  1. Crocodiletooth

    JamiiForums Tanzania Naungana na makamu wa rais kukemea hili, baadhi ya viongozi wa dini hawafahamu wajibu wao!

    Labda pengine wengi wa viongozi wa dini ni makanjanja, nikimaanisha hawafahamu na hawako kiwito wa kiutumishi hasa wa kusimamia wana kondoo kwa usawa, hekima, kwa jinsi NENO, lisemavyo, watumishi hao baadhi wameonyesha kujiingiza moja kwa moja kwenye baadhi ya vyama vya kisiasa as if ni...
  2. milele amina

    JamiiForums Tanzania Dkt. Philip Mpango wa Magufuli alistahili kuwa waziri wa Fedha, Mpango wa Samia hafai kuwa hata mkuu wa Mkoa

    Dr. Philip Mpango alikuwa waziri wa Fedha wakati wa utawala wa Rais John Magufuli, ambapo alionesha uwezo wa kipekee katika kusimamia masuala ya kifedha ya nchi. Katika nafasi yake, alifanya kazi kubwa katika kuimarisha ukusanyaji wa mapato na kuendesha mipango ya maendeleo, na hivyo kuwa...
  3. kimsboy

    JamiiForums Tanzania Lissu angekuwa Mwenyekiti wa CHADEMA ingekuwa vizuri, Mbowe akae pembeni

    Binafsi naona Mbowe angeachia kijiti cha uenyekiti wa Chama ampe Lissu au Heche John Nasema haya kwasababu Chadema kwa sasa na upinzani unahitaji mtu mwenye maamuzi magumu, misimamo mikali na ambaye hajapoa sana Simchukii Mbowe hata kidogo wala siangalii ukabila wala dini, ingekua natizama...
  4. B

    JamiiForums Tanzania Makamu wa Rais wa zamani, Cheney (Republican) kumpigia kura Kamala Harris

    Hii ndiyo ile maana kamili ya vyama kutokuwa mama wa waungwana: Uwaambie nini wale chawa kindaki ndaki wa pande za kwetu? Kwamba hayapo wanayosimamia ila vyama.
  5. G

    JamiiForums Tanzania Sijawahi kumsikia Rais, Makamu wa Rais na Waziri Mkuu wakizungumzia wimbi la utekaji

    Utekaji ni janga kubwa linaloikumba taifa kwa sasa. Ajabu viongozi hawa waandamizi wazunguka na kuhutubia bila kugusia hata kidogo. Je huu ni dalili kuwa hawaguswi na mateso wanayopitia ndugu na jamaa za waliotekwa? Kabla ya wimbi hili kuibuka, Bashite alitoweka kipindi kirefu bila kujulikana...
  6. Stephano Mgendanyi

    JamiiForums Tanzania Makamu wa Rais, Dkt. Mpango Aielekeza Wizara ya Madini Kusimamia Madini Mkakati kwa Manufaa ya Watanzania

    DKT. MPANGO AILEKEZA WIZARA YA MADINI KUSIMAMIA MADINI MKAKATI KWA MANUFAA YA WATANZANIA Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Philip Isdor Mpango ameitaka Wizara ya Madini kuhakisha inasimamia vyema uvunaji wa madini ya kimkakati ili nchi iweze kunufaika nayo. Mh. Dkt. Mpango...
  7. Tlaatlaah

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Njia nyeupe kwa Ezekia Wenje makamu Mwenyekiti wa CHADEMA Taifa

    ikiwa hali ya kisiasa nchini na mipango mikakati kuelekea uchaguzi mkuu 2025 itakwenda kama ambavyo iko hivi sasa, basi ni dhahiri mgombea makamu Mwenyekiti Chadema taifa atabaki Ezekia Wenje pekee.. Je, ni ishara ya pumzi mpya, fikra mpya, mawazo mapya, harakati mpya na zama za hayati Chacha...
  8. G

    JamiiForums Tanzania Baada ya Rais wa Iran kumuomba Ayatollah asiishambulie Israel, Makamu wa Rais kajiuzulu, Vifo vya Rais aliepita na Kiongozi wa Hamas vyaleta hofu

    Kinachoendelea kwa sasa Iran, viongozi wa juu wanapaza sauti wasikike kwamba Israel isishambuliwe, Juhudi hizi zinawasaidia kukwepa kilichowakuta Rais aliepita na Kiongozi wa Hamas akiwa Iran. Wiki iliyopita Rais wa Iran alimsihi sana Kiongozi Mkuu wa Iran Ayatollah khamenei asithubutu...
  9. Ngongo

    JamiiForums Tanzania Tetesi: Dr Bashiru Makamu Mwenyekiti Bara

    Heshima sana wanajamvi, Taarifa nyeti chini ya carpet Dr Bashiru Katibu Mkuu Mstaafu na Katibu Mkuu Kiongozi Mstaafishwa anatarajiwa kuchukua mikoba ya Lt Col Kinana. Katika hatua ya kujiondoa taratibu kutoka kambi ya Wazee wa kulamba asali Mama wa Kizimkazi kaamua kijikita zaidi huko Kanda ya...
  10. Nkarahacha

    JamiiForums Tanzania Dkt Bashiru aliyeokotwa kwenye jalala anaweza kutangazwa makamu Mwenyekiti wa CCM.

    Vyanzo vyangu vinanitonya kuwa Dkt Bashiru Ally anaweza kutangazwa kuwa Makamu Mwenyekiti wa CCM taifa kuchukua nafasi ya Kinana. Shida niliyogundua kwake kipindi akiwa Katibu mkuu ni kuamini kuwa bado wananchi wana mawazo ya enzi za mwalimu,ameachwa sana na wakati. Haendani na kasi ya...
  11. Mshana Jr

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Mchungaji ndio alimpeleka Abdul kwa Makamu?

    Kipindi kile kabla kidogo na baada ya uchaguzi wa kanda ya Nyasa Msigwa alijinasibisha na Lissu kila mahali alipokuwa .. Ni kipindi ambapo Msigwa alikuwa keshafika bei na kupokea advance! Na ni kipindi ambacho alikuwa anamtafutia Lissu timing ili amsomeshe. Haijulikani ni lini hasa Msigwa na...
  12. Tlaatlaah

    JamiiForums Tanzania Kilicho dhahiri shahiri CHADEMA ni kwamba, makamu mwenyekiti taifa anamuogopa mno mwenyekiti taifa

    ni zaidi ya mara moja sasa huyu muungwana analalamikia nje ya reli kutuhumu chama chake mwenye kwa rushwa. na safari hii ameenda mbali zaidi na kutishia kukihama chama hicho. sasa sijui anamtisha nani pale chadema.. na mara zote amepuuzwa na viongozi waandamizi wenzake dhidi ya aina yake ya...
  13. G-Mdadisi

    JamiiForums Tanzania Zanzibar: Makamu wa Rais, Othman Massoud Othman ahimiza maadili ili kuvutia jamii kushiriki michezo, mazoezi

    ZANZIBAR. MAKAMU wa Kwanza wa Rais Zanzibar, Mhe. Othman Massoud Othman amevitaka vikundi vya mazoezi nchini kuweka kanuni na miongozo ya maadili ambayo itasaidia kuondoa mitizamo hasi kwa jamii juu ya ushiriki wa makundi yote katika vikundi vya mazoezi na michezo. Ametoa wito huo wakati...
  14. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Nimeshangaa sana Bingwa na Makamu wao wala hawana Mbwembwe, ila wa Nyuma yao ndiyo wana Mbwembwe zinazotia Shaka mbeleni

    Yaani Mwanafunzi aliyekuwa wa Kwanza pamoja na Mwenzake wa Pili katika Darasa Wao wala hawana Shobo na Mbwembwe ila yule aliyeshika Nafasi ya Tatu ndiyo anasumbua Darasani kiasi kwamba Walimu wanajiuliza hivi ingetoa Yeye ndiyo kawa wa Kwanza au wa Pili si angeshangilia Shule nzima na pengine...
  15. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Makamu wa Rais, Dkt. Mpango aagiza ifikapo Septemba Kigoma iwe imeingia kwenye Gridi ya Taifa

    Makamu wa Rais, Dkt Philip Isdor Mpango ameipongeza Wizara ya Nishati kwa usimamizi madhubuti wa miradi mbalimbali ya Sekta ya Nishati hususan miradi ya umeme ambayo inapelekea nchi kuzidi kujiimarisha kiuchumi. Dkt. Mpango ametoa pongezi hizo leo Julai 8, 2024 wakati alipokagua utekelezaji...
  16. Tlaatlaah

    JamiiForums Tanzania Rais Salva Kiir Mayardit wa Sudani Kusini ana Makamu wa Rais watano 5, kulikoni?

    Sudan Kusini ni miongni mwa mataifa changa sana barani Afrika, hususani Afrika Mashariki, iliyopata uhuru wake tarehe 9 July 2011, kutoka Sudan. takwimu za mwaka 2023 zinaonyesha kwamba Sudan Kusini ina jumla ya watu zaidi ya milioni 11. Nchi hiyo yenye utitiri wa mali asili wa kipekee sana, na...
  17. J

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Rigathi Gachagua ailaumu Idara ya Usalama wa Taifa ya Kenya kwa kumpa Rais Ruto taarifa zisizo sahihi

    Gachagua amevilaumu Vyombo vya Usalama Kwa kushindwa kumpa taarifa sahihi Rais Ruto na hatimaye kusababisha Vifo vya Watoto Wasio na hatia Gachagua amesema Hata Polisi wamelalamika hawakupewa taarifa na idara ya Usalama wa Taifa mapema Aidha Gachagua amesema Mkurugenzi wa Usalama wa Taifa la...
  18. D

    JamiiForums Tanzania Hii migomo ya wafanyabiashara: Makamu wa Rais awe tu Rais wa mpito asimamie uchaguzi mwingine

    Rais ni cheo kikubwa sana yenye madaraka makubwa sana mwenye kupata hiyo nafasi lazima aihenyee ndio atakuwa na wivu na hiyo nafasi. Siyo kupewa tu na katiba. Migomo hii ni udhaifu wa Rais wa sasa, Rais anachezewa na wahalifu wakwepa kodi. Mpaka leo hajatoa kauli kisa "chura kiziwi", ndio...
  19. Pfizer

    JamiiForums Tanzania Makamu wa Rais, Dkt. Philip Mpango akagua mradi wa maji wa Same - Mwanga - Korogwe

    Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Philip Mpango amewapongeza viongozi wa Wizara ya Maji kwa kusimamia na kufanikisha vema utekelezaji wa Mradi wa Maji wa Same -Mwanga – Korogwe. Makamu wa Rais ametoa pongezi hizo alipokagua Mradi huo na kushuhudia wananchi wakianza...
  20. A

    JamiiForums Tanzania Aliyekuwa Makamu Rais Malawi kuzikwa Juni 17, 2024

    Mazishi ya aliyekua Makamu wa Rais Malawi Dr Saulos Chilima yatafanyika Jumatatu tarehe 17.06.2024 kijijini kwake katika wilaya ya Ntcheu yapata kilomita 175 toka Lilongwe. NB: Majirani tukafariji ndugu zetu MALAWI. Udugu kufaana si kufanana
Back
Top Bottom