makamu wa rais

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Erythrocyte

    Kigoma: Tundu Lissu adai Barabara za Kigoma zilitelekezwa, zajengwa baada ya Phillipo Mpango kuwa Makamu wa Rais

    Akifundisha somo la Katiba Mpya kwenye jimbo la Buhigwe, ambalo Mbunge wake alikuwa Phillipo Mpango, kwenye Mkutano wa hadhara uliohudhuriwa na Umati wa Wananchi, Tundu Lissu amedai kwamba, mkoa huo ulitelekezwa kwa miaka mingi kwenye ujenzi wa barabara. Hata hivyo mara baada ya Dr Mpango kuwa...
  2. Roving Journalist

    Makamu wa Rais Mpango aweka jiwe la Msingi la Ujenzi wa barabara ya Mianzini - Olemringaringa - Ngaramtoni Juu na Olemringaringa - Sambasha - Timbolo

    Katika kuboresha miundombinu ya barabara, Serikali kupitia TANROADS imeendelea kutekeleza miradi kabambe na muhimu ya Maendeleo ya barabara Sehemu mbalimbali Nchini, ikiwemo katika Jiji la Arusha, ambapo Makamu wa Rais Dkt Phillip Isdor Mpango ameweka jiwe la Msingi la Ujenzi wa barabara ya...
  3. Stephano Mgendanyi

    Ahadi za Makamu wa Rais Tanzania kwa Wananchi wa Jimbo la Arumeru Magharibi

    MBUNGE NOAH SAPUTU - AHADI ZA MAKAMU WA RAIS KWA WANANCHI WA JIMBO LA ARUMERU MAGHARIBI Makamu wa Rais Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Philip Isdori Mpango, ametoa maagizo kwa Mamlaka husika kupitia Mawaziri wenye dhamana kutatua kero zinazowakabili wananchi wa halmashauri ya Arusha...
  4. K

    DC wa Bariadi, Simon Simalenga anakaidi maagizo ya Rais, Makamu wa Rais na Waziri Mkuu

    Machi 13, 2023 Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa, iliendesha Mafunzo ya uongozi kwa wakuu wa Wilaya wote nchi nzima, hii ni kutoka na Rais Dkt Samia Suluhu Hassan kufanya uteuzi wa Wakuu wa Wilaya. Mgeni rasmi katika ufunguzi alikuwa Makamu wa Rais Dkt. Phillip Mpango...
  5. K

    DC wa Bariadi, Simon Simalenga anakaidi maagizo ya Rais, Makamu wa Rais na Waziri Mkuu

    Machi 13, 2023 Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa, iliendesha Mafunzo ya uongozi kwa wakuu wa Wilaya wote nchi nzima, hii ni kutoka na Rais Dkt Samia Suluhu Hassan kufanya uteuzi wa Wakuu wa Wilaya. Mgeni rasmi katika ufunguzi alikuwa Makamu wa Rais Dkt. Phillip Mpango...
  6. Analogia Malenga

    Makamu wa Rais awataka Wanasheria Kuchukua Hatua Kali Dhidi ya mawakili wasio waadilifu

    Makamu wa Rais wa Tanzania, Dkt. Philip Mpango, ametoa wito kwa Chama cha Wanasheria Tanganyika (TLS) na Kamati ya Mawakili kuchukua hatua kali za kinidhamu na kisheria dhidi ya mawakili wachache ambao wanaharibu heshima ya taaluma ya sheria kwa kukosa uadilifu wa maadili, ikiwemo kujihusisha na...
  7. Roving Journalist

    Dkt. Mpango: Kuna Mawakili wanatuhumiwa kuchukua rushwa. Profesa Hoseah: Wimbi la Polisi na Vyombo vya Dola kukamata Mawakili ovyo limetulia

    Mkutano Mkuu wa Chama cha Mawakili Tanganyika (The Tanganyika Law Society - TLS) unafanyika Jijini Arusha, leo Mei 11, 2023 ambao Makamu wa Rais, Dkt. Phillip Mpango ndiye mgeni rasmi katika shughuli hiyo. RC Mongella anatoa neno Mkuu wa Mkoa wa Arusha, John Mongella amepata nafasi ya kutoa...
  8. Stephano Mgendanyi

    Mhe. Khamis Hamza Khamis, Naibu Waziri Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano na Mazingira)

    Mhe. Khamis Hamza Khamis, Naibu Waziri Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano na Mazingira) Serikali kupitia Wizara ya Maliasili na Utalii imesema inaendelea kutekeleza mikakati mbalimbali ya kukuza utalii wa ndani ikiwa ni pamoja na kutoa huduma bora zenye gharama nafuu kwenye vivutio hasa huduma...
  9. benzemah

    Dodoma: Makamu wa Rais, Mpango amtembelea Festo Dugange Hospitali ya Benjamin Mkapa

    Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. Philip Mpango amemtembelea na kumjulia hali Naibu Waziri wa Ofisi ya Rais (TAMISEMI), Dk Festo Dugange ambaye amelazwa katika Hospitali ya Rufaa ya Kanda ya Benjamin Mkapa mjini Dodoma akipatiwa matibabu baada ya kupata ajali ya...
  10. K

    Hivi hatuwezi kufanya kama Nigeria, Rais kuweza kujiteua nafasi ya Uwaziri?

    Rais Buhari alipoingia madarakani alifanya baadhi ya maboresho kwenye uongozi na moja ya mabadiliko aliyofanya ni kujiteua kama waziri wa nishati wa Taifa hilo lenye uchumi mkubwa zaidi barani Afrika. Lengo kubwa ni kuhakikisha usimamizi unakuwa mkubwa katika sekta hiyo kubwa kwenye uchumi wa...
  11. BARD AI

    Makamu wa Rais, Waziri Mkuu wakabiliwa na kesi ya wizi wa Mabati ya Kaya Masikini

    Kwa mujibu wa taarifa ya Msemaji wa Serikali, kashfa hiyo ya Rushwa imewagusa pia Spika wa Bunge, Mawaziri 26 na Wabunge 31 wa Nchini Uganda wanaotajwa kupora maelfu ya Mabati hayo. Taarifa imeeleza kuwa Rais Museveni aliagiza Mabati yatumike kuezeka nyumba za eneo la Karamoja lililotengwa kwa...
  12. Kijakazi

    Makamu wa Rais anaweza kukataza chochote Tanzania?

    Je, Kikatiba, Makamu wa Rais ana uwezo wa kukataza au hata kuamrisha chochote? I mean, ana uwezo wowote wa hire and fire yoyote yule Tanzania? Nauliza kwa maana isije kuwa tunalishwa matango pori wakati hana amri yoyote isipokuwa labda kiheshima tu.
  13. benzemah

    Makamu wa Rais Dkt. Mpango apiga marufuku Polisi kufunga Barabara kwenye Misafara

    Makamu wa Rais, Dkt. Philip Mango akiwa ziarani Mwanza amesema hataki kusikia tena Barabara zikifungwa kwa masaa mengi ili apite, huku akisema dakika 10 zinatosha ili Wananchi waendelee na shughuli zao. Dr. Mpango amewaomba radhi Wananchi kwa usumbufu walioupata baada ya jana Barabara kufungwa...
  14. Eraldius

    Mnawaletea wananchi maji kwakuwa Makamu wa Rais yupo Mwanza, siku zote mnayapeleka wapi?

    Wasalaam wanajamvi. Leo karibia jiji la Mwanza lote mabomba yanatoa maji, hii ni kawaida yao wakuu wa Idara pindi watembelewapo na ugeni wa viongozi. Mfano wilaya ya Ilemela kuna maeneo unapita mwezi bila maji. Kwahiyo haya mlioamua kutubless leo siku zote yanaendaga wapi?
  15. Roving Journalist

    Dkt. Mpango: 26.4% ya Watanzania wanaishi chini ya kiwango cha umasikini wa kipato

    Dkt. Philip Mpango, Makamu wa Rais wa Tanzania amesema “Malengo makuu ya dira ya Mwaka 2025, Maisha bora kwa kila Mtanzania, Kudumisha amani, usalama na umoja katika Nchi, Utawala bora, Jamii iliyoelimika vyema na inayojifunza, tano ni uchumi imara na shindani.” Pamoja na hatua kubwa ambayo...
  16. GENTAMYCINE

    Breaking News: Makamu wa Rais wa Marekani aomba kukutana na Washindi wa Majukwaa JamiiForums

    Mwenye Suti Kali naomba aniazime.
  17. ChoiceVariable

    Makamu wa Rais Dkt. Philip Mpango Kumpokea Kamala Harris leo 29 Machi, 2023

    Naona Itifaki imezingatiwa. VP Kwa VP. MAKAMU wa Rais, Dk Philip Mpango leo anatarajiwa kumpokea Makamu wa Rais wa Marekani, Kamala Harris katika Kiwanja cha Ndege cha Kimataifa cha Julius Nyerere (JNIA) mkoani Dar es Salaam. Serikali kupitia kwa Msemaji wake mkuu, Gerson Msigwa imemkaribisha...
  18. mngony

    Udhaifu katika miundombinu yetu vipindi vya Mvua, aibu kwetu na ugeni huu mkubwa wa Makamu wa Rais Marekani

    Vipindi vya mvua ( Masika) Miaka yote kumekuwa kukionekana udhaifu wa miundominu yetu hasa barabara kuhimili hali hiyo ya hewa Sura za kujaa kwa maji barabara zetu, kupelekea foleni kubwa, vyombo vya moto kuharibika njiani na uharibifu vyombo hivyo na mali Hata miundombinu mipya kama vile...
  19. N

    Ujio wa Makamu wa Rais wa Warekani sio bahati mbaya

    Haya mambo hayatokei kwa bahati mbaya! Rais Samia Suluhu amerudisha sana heshima ya Tanzania kwenye diplomasia na sasa imerejea mahali pake, Serikali ya awamu ya tano ilififisha mahusiano kati ya Tanzania na nchi nyingi lakini Rais Samia Suluhu alipoingia madarakani amefanikiwa kuimarisha...
  20. D

    Ujio wa Kamala Harris Tanzania inaweza kuwa ni shubiri kwa nchi yetu

    Kwa maoni yangu, ujio wa Makamu wa Rais wa Marekani Tanzania kwa zaidi ya 75% inaweza kuwa ni JANGA kwa Tanzania. (1) Kiongozi wa Marekani kufanya ziara ya siku 3 Tanzania, faida yake inaweza kuwa ni ndogo zaidi kuliko hasara. (2) Bush aliyekuwa Rais wa Marekani wakati huo aliwahi kufanya ziara...
Back
Top Bottom