makamu wa rais

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Hance Mtanashati

    JamiiForums Tanzania GE2025 Suala la Makamu wa Rais kuwa Rais pindi Rais anapofariki inaleta hali ya kutoaminiana na hivyo kupunguza kasi ya maendeleo

    Hii sheria ya Makamo wa Rais kupata mserereko wa kuwa Rais inapelekea madhara makubwa mno kama ikiwa makamo wa Rais akawa ni mtu wa uchu wa madaraka. Nchi za wenzetu huwa wanatumia mbinu za kupinduana, Rais wa nchi akiteleza kidogo tu makamo fasta anampindua na kuwa yeye ndiye Rais wa nchi na...
  2. R

    JamiiForums Tanzania Sudan Kusini yamfungulia mashtaka Makamu wa Rais Machar kwa tuhuma za uhaini

    Makamu wa Kwanza wa Rais wa Sudan Kusini, Riek Machar, anakabiliwa na mashtaka ya uhaini na uhalifu mwingine mzito, mamlaka za sheria zilisema Alhamisi, hali ambayo imezua hofu ya kurejea kwa vita vya wenyewe kwa wenyewe. Machar amekuwa kizuizini tangu Machi 2025 baada ya serikali ya mpito...
  3. R

    JamiiForums Tanzania POTOSHI Trump akimfokea aliyekuwa Makamu wa Rais Kenya, Rigathi Gachagua

    Wakuu habari, Nimekwama hapa kupata details za kutosha kuhusu haya mazungumzo ya Rais wa Marekani Donald Trump na aliyekuwa makamu wa rais Kenya Rigathi Gachagua
  4. Parabolic

    JamiiForums Tanzania Rais, Makamu wa Rais, Waziri Mkuu wanawezaje kushitakiwa/kuwajibishwa?

    Akizungumza Jumapili Agosti 24, aliyekuwa Balozi wa Tanzania nchini Cuba, Humphrey Polepole alipendekeza kuwepo kwa sheria ya kuwawajibisha viongozi kwa matendo wanayofanya wawapo madarakani. Je, sheria za Tanzania zinasemaje kuhusu viongozi wa juu akiwamo Rais wa Jamhuri ya Muungano, Makamu wa...
  5. Ojuolegbha

    JamiiForums Tanzania Waziri Kombo akutana na Makamu wa Rais wa JICA

    Balozi Mahmoud Thabit Kombo (Mb.), Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki amefanya mazungumzo na Bw. Ando Naoki, Makamu wa Rais wa Shirika la Kimataifa la Maendeleo la Japan (JICA) pembezoni mwa Mkutano wa Tisa wa TICAD uliofanyika jijini Yokohama. Mheshimiwa Waziri Kombo...
  6. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania GE2025 Mgombea Urais na Makamu wa Rais kupitia NCCR-Mageuzi wachukua fomu ya uteuzi

    Mgombea Urais wa Tanzania kupitia tiketi ya Chama NCCR- Mageuzi, Haji Ambar Khamis akiwa ameambatana na Mgombea mwenza, Everylin Munisi, amechukua fomu ya Urais katika Tume Huru ya Uchaguzi Jijini Dodoma leo August 15, 2025 huku akiahidi kuwa endapo Watanzania watamchagua kuwa Rais atahakikisha...
  7. The Watchman

    JamiiForums Tanzania GE2025 Makamu wa Rais asisitiza jeshi la polisi kushirikiana na TAKUKURU kudhibiti vitendo vya rushwa uchaguzi mkuu

    Makamu wa Rais wa jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt Philip Mpango amelitaka jeshi la polisi kushirikiana na Taasisi ya kuzuia na kupambana na rushwa (TAKUKURU) ili kupambana dhidi ya vitendo vya rushwa wakati wa uchaguzi mkuu utakaofanyika mwezi Oktoba mwaka huu. Dkt.Mpango ametoa kauli hiyo...
  8. Crocodiletooth

    JamiiForums Tanzania Haiwezekani makamu wa rais znz,akawa toka bara,na wa bara akawa mznz ili kubalasi mambo ya kiutawala?

    Kwa Tanzania bara hili halina mjadala,je kwa upande wa znz kwa nini hili lisiwezekane?,tujadili...
  9. U

    JamiiForums Tanzania Je Unampa ushauri gani Mzee Joseph Sinde Warioba Waziri Mkuu na Makamu wa Rais Mstaafu

    Uzi Maalumu kumshauri Mzee Warioba. Karibuni wadau
  10. W

    JamiiForums Tanzania Tuache masihara keki ya taifa ni tamu, nini kimewatoa makamu wa Rais na waziri mkuu ?

    Nini kinaendelea Tuache masihara keki ya taifa ni tamu, nini kimewatoa makamu wa Rais na waziri mkuu ?
  11. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Waziri wa Mazingira wa Norway ateta na Waziri wa nchi Ofisi ya Makamu wa Rais, Hamad Masauni

    Waziri wa nchi Ofisi ya Makamu wa Rais, Hamad Masauni amekutana na kufanya mazungumzo na Bw. Andreas Bjelland Eriksen - Waziri wa Hali ya Hewa na Mazingira wa Norway. Mazungumzo hayo yalilenga ushiriki wa Tanzania katika COP30 na majadiliano kuhusu taka za Plastiki, yalifanyika katika Ofisi...
  12. Daby

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Purukushani na Vurugu zatokea wakati aliyekuwa Makamu wa Rais Rigathi Gachagua akizindua chama chake DCP

    NTV Kenya: Wamepost video za walinzi wa aliyekuwa makamu wa Rais wa Kenya wakifyatua risasi hewani kuwatawanya wahuni waliovamia na kuleta vurugu wakati Gachagua akilaunch chama chake. Riggy G anaungana na makamu mstaafu wa Rais Kalonzo Musyoka, Waziri mstaafu Matiangi, Wamalwa na Martha Karua...
  13. The Watchman

    JamiiForums Tanzania Makamu wa Rais: Viongozi wanolazimisha penzi ofisini washughulikiwe

    Makamu wa Rais, Dkt. Philip Mpango ametoa onyo kwa baadhi ya viongozi wa umma wanaotumia madaraka yao vibaya kwa kulazimisha mahusiano ya kingono kazini, hasa kwa waandishi waendesha ofisi (makatibu mahsusi). Dkt. Mpango alikuwa akizungumza katika mkutano wa 12 wa Chama cha Waandishi Waendesha...
  14. Ritz

    JamiiForums Tanzania Makamu wa rais wa Ansarallah wa Yemen Mohammed Ali Al-Houthi: tutaendelea na vita kuwaunga mkono Gaza

    Wanaukumbi. ⚡️🇾🇪BREAKING: Makamu wa rais wa Ansarallah wa Yemen Mohammed Ali Al-Houthi: Kwa mapenzi ya Mwenyezi Mungu Mtukufu, Msaada kwa Gaza unaendelea, na pia majibu. Netanyahu aanze kuandaa kujiuzulu kwake, kwani uhalifu wake ni vitendo vya gaidi aliyeshindwa. Ugaidi wa Marekani na Israel...
  15. The Watchman

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Makamu wa rais Dkt. Mpango: Asibakie hata mfanyakazi mmoja nyumbani, wote tukapige kura

    Wakati Taifa likingoja uchaguzi mkuu wa Rais, wabunge na madiwani utakaofanyika Oktoba mwaka huu, Makamu wa Rais wa Tanzania, Dk Philip Mpango amesema hatarajii kuona wafanyakazi wanabaki nyumbani siku itakapowadia. Amesema wafanyakazi wana nguvu ya kuiweka Serikali madarakani hivyo wanapaswa...
  16. Beira Boy

    JamiiForums Tanzania MAKAMU WA RAIS: Philipo mpango mama bikira Maria ni mama wa taifa letu la TANZANIA, ni msimamzi wa taifa letu Tanzania

    Amani iwe kwenu watumishi wa MUNGU MWENYEZI aliye juu sana , aketiye mahali pa juu palipoinuka, yeye aliye mwenze enzi, aliye ziumba mbigu na nchi, BABA mwema na mkarimu sana na mwenye huruma nyingi kwa watu wake yeye ambaye alimtuma mwanae wa pekee aje atukomboe Jana nikiwa nasikiliza habari...
  17. Ojuolegbha

    JamiiForums Tanzania Dkt. Philip Isidori Mpango amewasili katika Viwanja vya Santa Pedro, Vatican

    Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Philip Isidori Mpango amewasili katika Viwanja vya Santa Pedro, Vatican tayari kwa kushiriki maadhimisho ya Misa ya Mazishi ya aliyekuwa Kiongozi Mkuu wa Kanisa Katoliki duniani Baba Mtakatifu Francisko. Dkt. Mpango katika maadhimisho ya...
  18. Ojuolegbha

    JamiiForums Tanzania Waziri Kombo ampokea Makamu wa Rais Dkt. Mpango Jijini Roma

    WAZIRI KOMBO AMPOKEA MAKAMU WA RAIS DKT. MPANGO JIJINI ROMA Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki Mhe. Balozi Mahmoud Thabit Kombo amempokea Makama wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Philip Mpango jijini Roma, Italia ambapo atamwakilisha Rais wa Jamhuri ya...
  19. Ojuolegbha

    JamiiForums Tanzania Makamu wa Rais Philip Mpango akiwa na Rais wa Finland Aleksander Stubb katika mazishi ya papa

    Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano Mhe. Dkt. Philip Isidor Mpango akiwa pamoja na Rais wa Finland Aleksander Stubb katika Mazishi ya aliyekuwa Kiongozi Mkuu wa Kanisa Katoliki Duniani Hayati Baba Mtakatifu Francisko ambapo Rais Stubb aligusia pia ziara yake ya nchini Tanzania kuanzia 14 Mei...
  20. and 998 others

    JamiiForums Tanzania Protocol za Makamu wa Rais Mteule

    Mwenye kujua Protocol ya Makamu wa Rais Mteule, 1. Ulinzi? 2. Msafara [Idadi ya Magari] 3.
Back
Top Bottom