makamu wa rais

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Je, Makamu wa Rais Dkt. Philip Mpango ni Msaliti wa kupambana na Covid-19 au hujuma?

    Dunia nzima, Viongozi wanakuwa ni mfano wa kupambana na Corona, lakini baadhi ya Viongozi wa Tanzania wanaonesha kujali akiwepo Rais Samia Rais, Samia watendaji wako watatuua kwa Corona hadi tuishe. Watatumaliza. Wao sawa wanatibiwa bure, sisi bibi na babu zetu Mkishawaambukiza nani...
  2. JamiiForums Tanzania TANZIA Askofu Gerald Mpango ambaye ni kaka wa Makamu wa Rais Dkt. Philip Mpango afariki dunia

    Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Philip Mpango amefiwa na kaka yake Askofu Mstaafu wa Kanisa la Anglikana Tanzania Gerald Mpango. Askofu Gerald Mpango amefariki tarehe 19 Januari 2022 Jijini Dar es salaam alikokuwa akipatiwa matibabu. Makamu wa Rais Dk Philip Mpango...
  3. JamiiForums Tanzania Kauli za Rais na Makamu wa Rais zinaashiria kuna tatizo kubwa kwa mawaziri, kwanini mliwateua?

    Nimesikia kauli za Rais na Makamu wa Rais na zote zinaashiria kuna tatizo kubwa sana kwa mawaziri. Ila bado nashangaa imekuwaje mnawateua inakuwaje mnaendelea nao? Ni kweli huko CCM hakuna watu wengine? Au sio nyie mnaowateua? Ikiwa una mamlaka kamili na unaona Kuna watendaji hawafanyi vizuri si...
  4. B

    JamiiForums Tanzania Akaunti ya tweeter ya Mhe. Rais na Mhe. Makamu wa Rais kila wakitweet hakuna viongozi wa CCM wanaungana naye; tujisahihishe

    Mhe. Rais anapotweet inatia hamasa kuona aliowateua wakijumhuka naye, Makamu wa Rais na Waziri Mkuu the same. Huyu ni Mkuu wa nchi na anapotumia mitandao anataka kuzungumza na Dunia. Anapomaliza kuzungumza au kutuma ujumbe Duniani then waliopochini yake wasilike,retweet wala reply inavunja moyo...
  5. JamiiForums Tanzania Makamu wa Rais ukimaliza likizo ya Sikukuu tembelea vibanda vya chips Dar na Dodoma ujionee maajabu!

    Ofisi ya Makamu wa Rais ndo inashughulikia Mazingira. Baada ya Mifuko ya Plastik kuweza kuondolewa pale Mama Samia alipokuwa Makamu wa Rais Naona sasa Waziri wako Jaffo anataka kuichafua Ofisi yako Nimetembelea Dar na Dodoma Naona kwenye vipanda vya chips wameanza kufungia mifuko ya plastiki...
  6. JamiiForums Tanzania Ipi ni hadhi ya cheo cha Makamu wa Rais?

    Wakuu, Kuna picha nimeziona mitandaoni huko mpaka zimenishangaza, yani makamu wa Rais anafunga safari kutoka Dodoma kwenda kufanya ziara ya kukagua miche ya miti huko Kigoma! Hilo jukumu si hata mkuu wa wilaya angeweza tu kulifanya. Cheo cha makamu wa Rais kwa Tanzania kina hadhi gani?
  7. JamiiForums Tanzania Mambo 10 kuhusu Dick Cheney, Makamu wa Rais aliyekuwa na nguvu zaidi katika historia ya Marekani

    Mfahamu Dick Cheney aliyepata kuwa Makamu wa Rais wa 46 nchini Marekani katika utawala wa Rais George W. Bush 1. Jina lake kamili ni Richard Bruce Cheney, mzaliwa wa Lincoln huko Nebraska nchini Marekani, alizaliwa 30 January 1941. Ni mwanasiasa mashuhuri wa chama cha Republican lakini pia ni...
  8. JamiiForums Tanzania Yuko wapi Makamu wa Rais Dk. Philip Mpango?

    Kama Mtanzania mpenda Viongozi wangu na Utendaji wao mzuri naomba Kujulishwa yuko wapi Makamu wangu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania? Nikimwona Uwanja wa Uhuru Keshokutwa (Alhamisi) katika Siku ya Uhuru wetu GENTAMYCINE nitakuwa ni mwenye Furaha na nitajitahidi 'nipenyepenye' mpaka...
  9. JamiiForums Tanzania Makamu wa Rais, Dkt Mpango anasafiri kwenda Singapore leo Novemba 14

    Makamu wa Rais Dkt. @dr_philip_isdor_mpango leo 🗓Nov 14,2021 anatarajia kuondoka Nchini kuelekea Sentosa Island Nchini 🇸🇬Singapore kushiriki mkutano wa Jukwaa la Majadiliano ya Kiuchumi (Bloomberg New Economy Forum 2021 ), Wenye lengo la kujadili masuala mbalimbali ikiwemo muelekeo mpya wa...
  10. T

    JamiiForums Tanzania Makamu wa Rais wa USA hajawahi kufika Ulaya

    Makamu wa Rais wa Marekani Kamala Harris hajawahi kushobokea masafari ya nje akiwa raia, mbunge, na makamu wa Rais. Hajawahi kufika Ulaya. Hakawahi kufika bara la Australia Hajawahi kufika Africa Amefika South America kwa mara ya kwanza mwezi wa 6 mwaka huu Viongozi wa Tanzania tunaomba...
  11. J

    JamiiForums Tanzania Makamu wa Rais benki ya dunia kutua Tanzania 27/09/2021

    Masaa machache baada ya Rais Samia kuhutubia UN Gen Assembly huko New York Marekani na kurejea nchini || Sasa rasmi Makamu wa Rais benki ya dunia kutua Tanzania 27|28|09|2021. ____________________________________________ Makamu wa Rais wa benki ya dunia anayeshughulikia Ukanda huu wa Mashariki...
  12. JamiiForums Tanzania Habari picha: Makamu wa Rais na Waziri Mkuu wakutana na kufanya mazungumzo

    Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Philip Isdor Mpango, hii leo Septemba 15,2021 amekutana na kufanya mazungumzo na Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Kassim Majaliwa. Mazungumzo hayo yamefanyika Ofisini kwa Makamu wa Rais Ikulu ya Chamwino mkoani Dodoma.
  13. JamiiForums Tanzania Katiba inasemaje kama ikitokea Rais na Makamu wake wote wakifa kwa pamoja?

    Kwa Mungu kila kitu kinawezekana acha kujifanya unajua kila kitu. Hivi Katiba imetoa maelezo gani kama ikitokea Mungu ameamua kuwachukua Rais wa JMT na makamu wake wote kwa pamoja kwa siku moja? Tukio kama hili likitokea kikatiba hali inakuaje ndani ya nchi yetu? Kama inawezekana familia moja...
  14. S

    JamiiForums Tanzania Makamu wa Rais Dkt. Mpango amemuwakilisha Rais Samia katika mkutano wa (Africa – CARRICOM Summit) uliofanyika kwa mtandao

    Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Philip Isdor Mpango hii leo Septemba 7, 2021 amemuwakilisha Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan katika mkutano wa kwanza wa Afrika na Umoja wa Nchi za “Carribbean”(Africa – CARRICOM Summit) uliofanyika kwa njia...
  15. JamiiForums Tanzania Cheo kimoja kati ya Waziri Mkuu au Makamu wa Rais kifutwe

    Habari wandugu. Ukifuatilia nchi nyingi utaona kuwa zina mmoja, Waziri Mkuu au Makamu wa Rais na si wote. Na nchi nyingi zenye mawaziri wakuu ni zile za kifalme, wakati Jamhuri nyingi zina Makamu wa Rais. Na zingine zikiongozwa na waziri mkuu pekee, Rais akiwa ni ceremonial tu. Na hata...
  16. F

    JamiiForums Tanzania Yuko wapi Makamu wa Rais Dkt. Philip Isdor Mpango?

    Ni muda kidogo huyu Makamu wetu wa Rais Dr. Philip Isdor Mpango hajasikika! Huyu ni Mchumi japo mimi binafsi sina imani na aina ya uchumi anaosimamia ( uchumi wa kijamaa). Inavyoonekana huyu Makamu wetu wa Rais Dr.Mpango ana mchango mkubwa sana katika kupatikana kwa mchumi mwingine katika...
  17. JamiiForums Tanzania Orodha ya marais wa Marekani, kipindi cha utawala, chama na makamu wa rais

    ORODHA YA MARAIS WA MAREKANI, KIPINDI CHA UTAWALA, CHAMA NA MAKAMU WA RAIS. Katika Katiba ya Marekani, Rais wa Marekani ni Mkuu wa Taifa pamoja na kuwa Mkuu wa Serikali wa nchi hiyo. Kama mkuu wa tawi la utendaji na mkuu wa serikali ya majimbo, rais ndiye mwenye cheo na madaraka makuu zaidi...
  18. C

    JamiiForums Tanzania Makamu wa Rais Afghanistan awagomea Taliban, asema yeye ndiye Rais halali

    Eee bwana wee! Vita vya ndani havina mshindi. Bila kukaa mezani na kutengeneza muuundo usio na ubaguzi wala ugandamizaji wa haki za watu katika jamii, historia inaendelea kuonyesha kwamba "Utulivy wowote unaoweza kuonekana huwa ni unafiki, unaovundika machafuko". Baada ya watalibani kutangaza...
  19. R

    JamiiForums Tanzania Dkt. Mpango ni kweli ulishiriki kumtuma Sabaya kufanya mambo machafu?

    Habari za midaa hii wa JamiiForums. Leo tarehe 13 agosti kumetrendi katika mitandao ya kijamii kile kinachoitwa no utetezi mahakamani wa aliyekuwa Mkuu wa Wilaya DC Sabaya. Imeelezwa kuwa amekiri kilichokuwa kikifanyika ama alichokuwa anatekeleza ktk kesi yake ya unyanganyi kwa kutumia siraha...
  20. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Makamu wa Rais Kenya William Ruto Azuiliwa Kusafiri Kwenda Uganda

    Makamu Rais wa Kenya William Ruto amezuiliwa kusafiri kwenda Uganda kwa ziara binafsi Ruto na ujumbe wake ulizuiliwa katika uwanja wa ndege Wilson Airport leo. Haijulikani mpaka sasa sababu ya kuzuuliwa kwake.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…