Akaunti ya tweeter ya Mhe. Rais na Mhe. Makamu wa Rais kila wakitweet hakuna viongozi wa CCM wanaungana naye; tujisahihishe

Beatrice Kamugisha

JF-Expert Member
May 18, 2019
762
6,980
Mhe. Rais anapotweet inatia hamasa kuona aliowateua wakijumhuka naye, Makamu wa Rais na Waziri Mkuu the same. Huyu ni Mkuu wa nchi na anapotumia mitandao anataka kuzungumza na Dunia. Anapomaliza kuzungumza au kutuma ujumbe Duniani then waliopochini yake wasilike,retweet wala reply inavunja moyo.

Hili lina impact kubwa Sana, ukitaka kuangalia tizama idadi ya comments na retweets zinavyopungua kwenye akaunti hizi. Ni kwa sababu kipindi wamepata madaraka na tulipotaka watuteue tulikuwa tunafuatilia kila anachotweet nakukisupport ila alipotuteu basi hadi account zake hatuzifungui.

Leo ni Christmas na Mhe. Rais amewatakia Watanzania heri ya sikukuu hii ya Noel, lakini hakuna Mbunge, Mkuu wa wilaya,mkoa, Waziri Wala mteule yoyote aliyecomment.

Viongozi kumuunga na kumsaidia Kiongozi nipamoja na kufuatilia anayofanya na kumtia moyo. Mhe. Rais akisoma comments hasa kipindi hiki cha mapumziko akakuta kwenye tweet zake pamejaaa KERO za wananchi anafika mahali anawaza je Nina safu sahihi? Sometimes tengeni muda wenu kutolea ufafanuzi au majibu ya tweets za Viongozi wa Kitaifa. Hawa viongozi wanahitaji kulindwa Kwa njia mbalimbali na ulinzi mmoja wapo mkubwa nikuona wale aliowateua wanasimama naye kwenye Nuru na giza. Akipost shambulieni jukwaa Kwa staha na msikereke na majibu au hoja za wapinzani wake, siasa nikujibizana siyo kukaa kimya ukisubiri upewe microphone ndo useme.

Mwisho nimpongeze Mhe. Rais kwa kazi nzuri anayofanya nikitambua wazi yeye kama Mama anahitajika na familia binafsi lakini anahitajika nasisi wanafamilia waliotawanyika. Asichoke kutuhudumia Kwa haki, asikasirishwe na mmoja wetu akahukumu Kwa hasira, asizingwe na hoja zinazowasilishwa kwake isivyo faa akaelekeza mateso kwetu. Atambue sisi ndio tunaweza kumtia majaribuni au kumwokoa na movu shetani. Atuvumilie na atafakari upya Kuhusu hatma ya wananchi waliowekwa ndani pasipo na dhamana huku Tanzania bara wakati wakati watuhumiwa wa makosa hayohayo huko Zanzibar wanapewa dhamana. Yeye ni Rais wa Jamhuri wa Muungano, arejeshe usawa wa haki ya kusikilizwa na kuachiwa Huru Hadi pale watakapopatikana na hatia.

Kila la kheri 2022 my President
 
DD4AB58F-1F81-4CC3-AD91-1AAF36003FD7.jpeg
 
Tweeter: mtu anayetumia mtandao wa "Twitter," aka "tweep."
Tweet: kinachoandikwa na "Tweeter" kwenye "Twitter."
Twitter: Jukwaa analotumia "Tweeter" ku-post "tweets."

Mnapokuwa hodari wa kukosoa Mjue pia kujikosoa
 
Uongo mbaya sasa ndio tumempata Raisi mwenye tabia za Kitanzania.
 
Tweeter: mtu anayetumia mtandao wa "Twitter," aka "tweep."
Tweet: kinachoandikwa na "Tweeter" kwenye "Twitter."
Twitter: Jukwaa analotumia "Tweeter" ku-post "tweets."

Mnapokuwa hodari wa kukosoa Mjue pia kujikosoa
Itanichukua miaka mingi kutofautisha hizi maana.
 
Jana nili comment Uzi fulani,inaonesha Hawa wapo kwa ajili ya vyeo tuu..

Hai ingii akilini Tzn inakabiliwa na mfumuko wa bei jambo ambalo ni tatizo la Dunia limepelekea vitu kupanda nk .

Lakini cha ajabu hakuna mteule yeyote wa Rais anayetoka hadharani kumtetea na kumsemea Rais kana kwamba yeye ndio kaamrisha bei zipande.

Hili halikubaliki,kila Nchi kwa sasa ina shida ya inflation lakini viongozi wako kimya hawawaelezi wananchi kwamba sisi kama net importer tunaathiriwa na mfumuko wa bei wa Nchi tunazoagiza bidhaa.

Screenshot_20211217-083223.png

Screenshot_20211218-160317.png

Screenshot_20211217-063204.png

Screenshot_20211217-062828.png

Screenshot_20211216-201427.png

Screenshot_20211216-143808.png

Screenshot_20211216-143556.png

Screenshot_20211216-062627.png

Screenshot_20211216-062244.png

Screenshot_20211215-081733.png

Screenshot_20211214-063622.png

Screenshot_20211213-065227.png

Screenshot_20211213-065533.png

Screenshot_20211212-223341.png

Screenshot_20211212-223321.png

Screenshot_20211212-222515.png

Screenshot_20211212-222910.png

Screenshot_20211212-222430.png
 
Tweeter: mtu anayetumia mtandao wa "Twitter," aka "tweep."
Tweet: kinachoandikwa na "Tweeter" kwenye "Twitter."
Twitter: Jukwaa analotumia "Tweeter" ku-post "tweets."

Mnapokuwa hodari wa kukosoa Mjue pia kujikosoa

Umeongea utoto gani hapa mzee?! Au ndio akili zimeanza kurudi utotoni baada ya kuzeeka? Kama huna cha kuchangia ni bora upige kimya.
 
Mhe. Rais anapotweet inatia hamasa kuona aliowateua wakijumhuka naye, Makamu wa Rais na Waziri Mkuu the same. Huyu ni Mkuu wa nchi na anapotumia mitandao anataka kuzungumza na Dunia. Anapomaliza kuzungumza au kutuma ujumbe Duniani then waliopochini yake wasilike,retweet wala reply inavunja moyo.

Hili lina impact kubwa Sana, ukitaka kuangalia tizama idadi ya comments na retweets zinavyopungua kwenye akaunti hizi. Ni kwa sababu kipindi wamepata madaraka na tulipotaka watuteue tulikuwa tunafuatilia kila anachotweet nakukisupport ila alipotuteu basi hadi account zake hatuzifungui.

Leo ni Christmas na Mhe. Rais amewatakia Watanzania heri ya sikukuu hii ya Noel, lakini hakuna Mbunge, Mkuu wa wilaya,mkoa, Waziri Wala mteule yoyote aliyecomment.

Viongozi kumuunga na kumsaidia Kiongozi nipamoja na kufuatilia anayofanya na kumtia moyo. Mhe. Rais akisoma comments hasa kipindi hiki cha mapumziko akakuta kwenye tweet zake pamejaaa KERO za wananchi anafika mahali anawaza je Nina safu sahihi? Sometimes tengeni muda wenu kutolea ufafanuzi au majibu ya tweets za Viongozi wa Kitaifa. Hawa viongozi wanahitaji kulindwa Kwa njia mbalimbali na ulinzi mmoja wapo mkubwa nikuona wale aliowateua wanasimama naye kwenye Nuru na giza. Akipost shambulieni jukwaa Kwa staha na msikereke na majibu au hoja za wapinzani wake, siasa nikujibizana siyo kukaa kimya ukisubiri upewe microphone ndo useme.

Mwisho nimpongeze Mhe. Rais kwa kazi nzuri anayofanya nikitambua wazi yeye kama Mama anahitajika na familia binafsi lakini anahitajika nasisi wanafamilia waliotawanyika. Asichoke kutuhudumia Kwa haki, asikasirishwe na mmoja wetu akahukumu Kwa hasira, asizingwe na hoja zinazowasilishwa kwake isivyo faa akaelekeza mateso kwetu. Atambue sisi ndio tunaweza kumtia majaribuni au kumwokoa na movu shetani. Atuvumilie na atafakari upya Kuhusu hatma ya wananchi waliowekwa ndani pasipo na dhamana huku Tanzania bara wakati wakati watuhumiwa wa makosa hayohayo huko Zanzibar wanapewa dhamana. Yeye ni Rais wa Jamhuri wa Muungano, arejeshe usawa wa haki ya kusikilizwa na kuachiwa Huru Hadi pale watakapopatikana na hatia.

Kila la kheri 2022 my President
Shida ccm wamelemazwa na matumizi ya nguvu kujibu, hoja, matumizi ya nguvu kushinda chaguzi, matumizi ya nguvu kunyamazisha hoja zinazohitaji majibu, tena kwa matumizi mabaya ya wasimamizi wa haki, wasimamizi wa sheria na matumizi mabaya ya madaraka kwa wasimamia taratibu mbali mbali za kisheria na usimamizi was taratibu, hivyo wenyewe wanakosa Hali ya kujiamini katika matumizi ya hoja kijibu hoja. Na hili sii Siri ila ni hasara kwa taifa hili🤔.
 
Jana nili comment Uzi fulani,inaonesha Hawa wapo kwa ajili ya vyeo tuu..

Hai ingii akilini Tzn inakabiliwa na mfumuko wa bei jambo ambalo ni tatizo la Dunia limepelekea vitu kupanda nk .

Lakini cha ajabu hakuna mteule yeyote wa Rais anayetoka hadharani kumtetea na kumsemea Rais kana kwamba yeye ndio kaamrisha bei zipande.

Hili halikubaliki,kila Nchi kwa sasa ina shida ya inflation lakini viongozi wako kimya hawawaelezi wananchi kwamba sisi kama net importer tunaathiriwa na mfumuko wa bei wa Nchi tunazoagiza bidhaa.

View attachment 2057306

View attachment 2057307

View attachment 2057308

View attachment 2057310

View attachment 2057311

View attachment 2057312

View attachment 2057313

View attachment 2057314

View attachment 2057315

View attachment 2057316

View attachment 2057317

View attachment 2057318

View attachment 2057319

View attachment 2057320

View attachment 2057321

View attachment 2057322

View attachment 2057323

View attachment 2057324
Hii ndio ile awamu wanasema ukiteuliwa maana yake umeula.....
 
Itanichukua miaka mingi kutofautisha hizi maana.
Addseieusheh-383$+2;$+*7828jsissjoznzbsjejsj!(#(#!(#8#($)/#?#$+2;3783$8*haISJZHKSOSHHEZHSJJSBKZKMS(TT):':)-):-:)-D:O:-$:pO:):-\(^^):-\:-\⭕-!⭕'(⭕':)'(
HAPO NIMETWITI KWENYE TWITAA NA MI NI TWTTAA
 
Kifupi mama karith wapiga matarumbeta, anatakiwa kuwapiga chini wote

1. Kabudi - huyu alikuwa Kila siku front page kipindi Cha magu Kila kazi alifanya yeye mpk za afya alikuwa mtaalam ni yeye.

2. Jafo - hamtasahau hasa huko tamisemi alikuwa mungu mtu

3. Kalemani
4. Ndugai
5. Waitara - huyu anajulikana kuwa alifika bei
Wengi awatoe aunde safu yake mwenyewe
Hao wanatakiwa kupigwa chini.

Mama aunde safu mpya
 
Back
Top Bottom