Je, Makamu wa Rais Dkt. Philip Mpango ni Msaliti wa kupambana na Covid-19 au hujuma?

figganigga

JF-Expert Member
Oct 17, 2010
25,492
54,895
Dunia nzima, Viongozi wanakuwa ni mfano wa kupambana na Corona, lakini baadhi ya Viongozi wa Tanzania wanaonesha kujali akiwepo Rais Samia

Rais, Samia watendaji wako watatuua kwa Corona hadi tuishe. Watatumaliza. Wao sawa wanatibiwa bure, sisi bibi na babu zetu Mkishawaambukiza nani atawatibia?.

Hii picha imenisikitisha sana. Mumekuja kutoa pole au kututoa roho zetu? Mtuombe radhi na kuahidi kwamba hamtarudia kushika mikono ndugu zetu.

1643029042815.png
Makamu wa Rais Dkt. Philip Mpango akitoa pole kwa mama Selva Nchimbi ambaye ni mke wa marehemu John Alfonso Nchimbi aliyefariki tarehe 23 Januari 2022 Jijini Dar es salaam(katikati ni Balozi Dkt.Emmanuel Nchimbi). Januari 24,2022.

Thread 'Dkt. Mpango awataka watumishi fedha kujihadhari na Corona' Dkt. Mpango awataka watumishi fedha kujihadhari na Corona
 
Dunia nzima, Viongozi wanakuwa ni mfano wa kupambana na Corona, lakini baadhi ya Viongozi wa Tanzania wanaonesha kujali akiwepo Rais Samia..
Waziri mkuu wa Uingereza anakabiliwa na shinikizo la kujiuzulu kisa kuhudhuria sherehe tena akiwa amejihami, lakini nchi ya kusadikika hatujali tena mfano mbaya ni makamu wa rais.
 
Makamu wa rais amepwaya mno. [OP]

Huyu jamaa inatakiwa awe mstari wa mbele maana aliponea chupu chupu
Juzi juzi nilimsikia akiongea Mambo ya msingi sana kuhusu mawaziri kununua nyanya na vitunguu wakiwa safarini kula kwa urefu wa kamba zao
 
Nimekumbuka mzee pombe alivyomuombia mpango aite press huku akiwa anaumwa hoi na akiwa kama anataka kulia kwa maumivu makali ya uviko 🤣🤣🤣
 
Makamu wa Rais Dkt. Philip Mpango akitoa pole kwa mama Selva Nchimbi ambaye ni mke wa marehemu John Alfonso Nchimbi aliyefariki tarehe 23 Januari 2022 Jijini Dar es salaam(katikati ni Balozi Dkt.Emmanuel Nchimbi). Januari 24,2022.
Bishop Gerlad Mpango ambaye ni nduguye na Philipo anazikwa lini
 
Dunia nzima, Viongozi wanakuwa ni mfano wa kupambana na Corona, lakini baadhi ya Viongozi wa Tanzania wanaonesha kujali akiwepo Rais Samia

Rais, Samia watendaji wako watatuua kwa Corona hadi tuishe. Watatumaliza. Wao sawa wanatibiwa bure, sisi bibi na babu zetu Mkishawaambukiza nani atawatibia?.

Hii picha imenisikitisha sana. Mumekuja kutoa pole au kututoa roho zetu? Mtuombe radhi na kuahidi kwamba hamtarudia kushika mikono ndugu zetu.
View attachment 2093973
Makamu wa Rais Dkt. Philip Mpango akitoa pole kwa mama Selva Nchimbi ambaye ni mke wa marehemu John Alfonso Nchimbi aliyefariki tarehe 23 Januari 2022 Jijini Dar es salaam(katikati ni Balozi Dkt.Emmanuel Nchimbi). Januari 24,2022.

Thread 'Dkt. Mpango awataka watumishi fedha kujihadhari na Corona' Dkt. Mpango awataka watumishi fedha kujihadhari na Corona
Huyu mzee aliumwa kidogo age akalazimisha aongee na waandishi wa habari pale hospital ya Benjamin Mkapa leo amejisahau alikuwa anakohoa Kama kondoo mwenye mafua.

Toka siku ile huwa naona kama bado hajapona 😃😃 amekaa kama anataka kupiga chafya.
 
Dunia nzima, Viongozi wanakuwa ni mfano wa kupambana na Corona, lakini baadhi ya Viongozi wa Tanzania wanaonesha kujali akiwepo Rais Samia

Rais, Samia watendaji wako watatuua kwa Corona hadi tuishe. Watatumaliza. Wao sawa wanatibiwa bure, sisi bibi na babu zetu Mkishawaambukiza nani atawatibia?.

Hii picha imenisikitisha sana. Mumekuja kutoa pole au kututoa roho zetu? Mtuombe radhi na kuahidi kwamba hamtarudia kushika mikono ndugu zetu.
View attachment 2093973
Makamu wa Rais Dkt. Philip Mpango akitoa pole kwa mama Selva Nchimbi ambaye ni mke wa marehemu John Alfonso Nchimbi aliyefariki tarehe 23 Januari 2022 Jijini Dar es salaam(katikati ni Balozi Dkt.Emmanuel Nchimbi). Januari 24,2022.

Thread 'Dkt. Mpango awataka watumishi fedha kujihadhari na Corona' Dkt. Mpango awataka watumishi fedha kujihadhari na Balozi Dkt.Emmanuel Nchimbi). Januari 24,2022.
Balozi Dkt.Emmanuel Nchimbi). Siku hizi ni baba wa nyumbani? Alishafukuzwa kazi?
 
Ule Wakati Wa Jiwe
COVID 19 Ni Pepo Tutalishinda Kwa Maombi
Tukimtanguliza Mungu Mbele
Nataka Sasa Kuanzia Ijumaa, Jumamosi, Jumapili
Tutamshukuru Mungu Kulishinda Hili Pepo
 
Back
Top Bottom