Adrián Makala (born 1975), birth name Adrian Berthram McCalla Rivera, also known as "Makala", is a Mexican actor born in Mexico City. He has appeared in the Motion picture film Of Original Sin and the telenovela Mar de Amor on Televisa and the TV series "Los Simuladores" for Sony Entertainment Television. He attended various acting schools in Mexico City.
Habari zenu wana jamvi, Naomba nisiwachoshe niende moja kwa moja kwenye mada iliyo nileta hapa. Ni kwa muda sasa nimekuwa nikifwatilia makala zinazoandaliwa na huyu kijana wa kitanzania bwana Denis Mpagaze. Makala hizi kwa wale tuliowahi zitegea sikio, hapana shaka mtakubaliana na mimi kuwa ni...
Habari wakuu,
Nimekuwa mpenzi wa kujisomea habari za magazeti na kuandika makala kwa zaidi ya miaka 25 sasa. Nimefanya tafiti ndogo, nimeona jamii imeshift toka kwenye magazeti na kwa sasa wanadeal zaidi na digital works kama e-newspaper, YouTube chanels n.k. Hivyo nimeandaa matukio 10 yalowahi...
Habari Wakuu. Kwa Wahenga na wale kizazi kipya kuna matukio yalitokea, kama si kumbukumbu za vyombo vya habari, basi anayekusimulia,utamuhisi amekopi sinema fulani na si uhalisia ulotokea Tanzania. Baadhi ya Matukio hayo ni pamoja na
1.Toleo la kwanza: Sarah Simbaulanga: Mwanamke wa kwanza...
Habari zenu
Makala hii naileta ikiwa katika muundo wa swali ambalo kama jamii na wenye mamlaka pia wanapaswa kujiuliza na hatimaye kutafuta njia sahihi za kuifanya jamii ione na iamini ya kuwa kulipa kodi ya mapato ni wajibu wa kila anaestahili na si kwa watu wachache tu kama wafanyabiashara...
Katika agenda tisa zilizosababisha kuundwa kwa tume ya kusaka maoni ya maridhiano, mradi ukipewa jina la Mpango wa Kujenga Daraja, yaani Building Bridge Initiative (BBI) Kenya, nyingi zinaihusu na Tanzania, lakini ipo kubwa zaidi.
Moja ya agenda ambazo zilibebwa ili kuzitafutia ufumbuzi ni...
Falsafa ya biashara ni nini?
Falsafa ya biashara ni seti ya kanuni, taratibu na mienendo ambayo mfanyabiashara au kampuni anaamini na hutumia kuamua jinsi ya kushughulikia maeneo tofauti ya utendaji. Falsafa ya biashara inaelezea kusudi la biashara na malengo yake. Inaweza pia kuorodhesha...
Habarini wakuu na raia wenzangu wa taifa la chama kimoja, japo nna uchungu mkubwa, lakini kamwe siwezi kuwa mvivu wa kutumia kalamu yangu kuihabarisha jamii na taifa langu, nimeteseka sana kwenye hii nchi, na nimekuwa nikitamani kuona hii nchi siku moja inapiga hatua moja ama nyingine -...
Habari za leo waheshimiwa, mimi ni Mwandishi mzuri tu wa makala na haswa za kijamii.
Kwa yoyote mwenye kuhitaji Mwandishi kwa ajili ya kazi hiyo tafadhali tuwasiliane.
Asante.
Muungwana akivuliwa nguo huwa anachutama. Rais Magufuli tafadhali achutame.
Kuna kila sababu ya kuamini kuwa vitambulisho vya ujasiriamali vilikuwa vya lazima. Japo Rais Magufuli amejitokeza hadharani na kusema havikuwa vya lazima.
Lakini sote tunakumbuka Amos Makala alitumbuliwa baada ya mkoa...
Utakubaliana nasi kuwa shule ya kwanza katika maisha ya mtoto ni nyumbani – wazazi, ndugu wa familia tandaa, majirani na marafiki wa familia husika. Kupitia mzazi/mlezi mtoto anapata nyenzo zitakazoongoza maisha yake yote – heshima, utii, unyenyekevu na kadhalika. Yaani wema au ubaya wa mtu mara...
Katika mojawapo ya mahojiano aliyowahi kufanya miaka ya nyuma, Rais Yoweri Museveni wa Uganda alipata kuulizwa anadhani nini hasa ilikuwa siri ya Baba wa Taifa la Tanzania, Julius Nyerere, kudumu muda mrefu madarakani.
Bila kupepesa macho, Rais huyo alitoa jibu moja tu; He tamed the army...
Nimefuatilia sana kwenye radio na mitandaoni pia nimegundua kuna watu wako vizuri sana kwenye usomaji wa makala. Top 3 yangu hii
3. Spesho Kabwanga (kituo chake youtube) anasomaga pia kwenye sports extra.
2. Ananias Edgar Makaza zake nyingi nazipataga youtube nimemjulia huko.
1. Mtiga Abdala...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.