makala

Adrián Makala (born 1975), birth name Adrian Berthram McCalla Rivera, also known as "Makala", is a Mexican actor born in Mexico City. He has appeared in the Motion picture film Of Original Sin and the telenovela Mar de Amor on Televisa and the TV series "Los Simuladores" for Sony Entertainment Television. He attended various acting schools in Mexico City.

View More On Wikipedia.org
  1. LAZIMA NISEME

    JamiiForums Tanzania MAKALA: Kuanguka kwa chama cha siasa kunaweza kuonyeshwa kwa hatua kadhaa

    Na Daniel Mbowe (Kilimanjaro) Hapa kuna baadhi ya viashiria vya kawaida vinavyoweza kupelekea kuanguka kwa chama cha siasa: Utendaji wa Uchaguzi: Matokeo duni katika chaguzi, ikiwa ni pamoja na hasara katika kinyang'anyiro muhimu na kupungua kwa kura, inaweza kuwa ishara tosha ya kuzorota kwa...
  2. Ritz

    JamiiForums Tanzania Gazeti la Kiebrania "Haaretz" lilichapisha makala ya mwandishi mashuhuri wa Kizayuni-Ari Shavit

    Wanaukumbi. Israeli ilikata pumzi yake ya mwisho Chini ya mada hii, gazeti la Kiebrania "Haaretz" lilichapisha makala ya mwandishi mashuhuri wa Kizayuni (Ari Shavit), ambamo amesema: Inaonekana kwamba tunakabiliana na watu wagumu zaidi katika historia, na hakuna suluhu kwao isipokuwa tu...
  3. Kubwa la Maadui

    JamiiForums Tanzania Wachambuzi bongo hakuna tena, wanatumia artificial intelligence kuandaa makala za mchongo

    GOLI KIPA ILI AWEZE KUWA BORA ANAHITAJI KUWA NA VITU VIFUATAVYO⚽ . 1. Uokoaji: Hii inahusu jinsi golikipa anavyoweza kuokoa michomo inayoelekezwa kwenye lango lake. Uokoaji mzuri unahitaji muda wa mwitikio, uamuzi sahihi, na ufundi katika kukabiliana na mipira inayoingia. 2. Mawasiliano...
  4. anti-Glazer

    JamiiForums Tanzania Nilishangaa makala kiachwa tangu panyaroad wapigawatu. Aliongea siasa za kipuuz sana

    Huyu mkuu wa mkoa ni muhuni TU. Bora charamila mara10000. Yaani wananchi wanajosa amani anapiga porojo. Sikutegemea kuendelea hapo DSM nilishangaa makala kuachwa tangu watoto watukitu panyaroad wapigawatu. Aliongea siasa za kipuuz sana
  5. nyboma

    JamiiForums Tanzania UTEUZI: Amos Makalla ahamishiwa Mwanza, Chalamila apelekwa Dar

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan amefanya uhamisho wa baadhi ya Wakuu wa Mikoa kama ifuatavyo: 1. Bw. Amos Gabriel Makalla amehamishiwa kuwa Mkuu wa Mkoa wa Mwanza. Alikuwa Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam. 2. Bw. Adam Kighoma Malima amehamishiwa kuwa Mkuu wa Mkoa...
  6. Z

    JamiiForums Tanzania Vyuo Vikuu, hasa viongozi someni makala hii kwa nguvu zenu

    Tuangalie makala inayoiangalia University of Dar es Salaam lakini ni hali ktk vyuo vikuu vyote nchini. Source: https://thechanzo.com/2023/04/24/university-of-dar-es-salaam-is-stuck-its-time-to-save-it/ Nukuu 1: As the first University in Tanzania, UDSM played a crucial role in shaping the...
  7. dosho12

    JamiiForums Tanzania SoC03 Uwepo wa Vitabu na Makala kwa Lugha ya Kiswahili na Ongezeko la Maktaba Katika Kukuza Maendeleo

    UWEPO WA VITABU NA MAKALA KWA LUGHA YA KISWAHILI NA ONGEZEKO LA MAKTABA KATIKA KUKUZA MAENDELEO Elimu ni ufunguo wa maisha ni kauli ambayo wote tumezoea kuisikia, ila unajua asilimia kubwa ya elimu inapatikana kwenye vitabu. Vitabu hubeba historia na mitazamo mbali mbali ya watu ulimwenguni...
  8. Queen Esther

    JamiiForums Tanzania Katazo la Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam (Amos Makala) ladharauliwa

    Hello Home of Great Thinkers! Nipo hapa Bahari Beach Mtaa wa Simba ukitokea Jambo Super Market. Ipo baa imefunguliwa hapa tena kwenye maeneo ya makazi. Mpaka muda huu inapiga muziki ukiwauliza wanasema hawatishwi na kelele za RC. Naomba utume vijana wako muda huu waje wajionee dharau kubwa...
  9. Hemedy Jr Junior

    JamiiForums Tanzania Malezi: Salamu kwa Serikali na Mashirika Binafsi

    Mambo yanabadilika kila kukicha kuhusu malezi, mpaka malezi kubadilika kuna sababu. Kipindi cha nyuma malezi yalikuwa bora tena sana japo watoto watukutu hawakukosekana, lakini ukichunguza vizuri hao watoto watukutu walitokea familia za aina gani? Utagundua familia hizo ni za walevi au baba...
  10. mdukuzi

    JamiiForums Tanzania Hongera Amos Makala kwa kuwafyeka panya road, sikukuu tulivu kabisa

    Wazazi mliambiwa ukimkosa mwanao kituo cha polisi nenda kamtafute hospitali, mkadhani utani. Wamefyekelewa mbali tunakula sikukuu kwa amani na utulivu. Vitoto vimezaliwa juzi tu ila vilitaka kutufanya tuishi kwa hofu. Safi sana Mwenyekiti wa Kamati ya Ulinzi na Usalama Mkoa.
  11. R

    JamiiForums Tanzania Vyombo vya Habari andaeni Makala kuhusu changamoto ya Upatikanaji wa Huduma za maji

    Habari za Leo wapendwa Binafsi nina familia na ninaona namna familia yangu jinsi inavyopitia kipindi kigum kutokana na hii changamoto ya Maji. Mimi nilikuwa nashauri Media zote nchini waandae Makala kuhusu upatikanaji wa Maji wazunguke mitaa yote jiji la Dar es salaam wahoji wananchi na...
  12. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania RC wa Dar Makala na Mbunge wa Kawe kinachoendelea Kituo Tanganyika Packers Kawe kitafanya nikose Uvumilivu nanyi

    Haiingii Akilini yaani Wafanyabiashara Ndogo Ndogo Kituoni Tanganyika Packers Kawe wanahamishwa kutoka eneo wasilotakiwa na kwenda kupelekwa tena eneo wasilotakiwa. Hivi nyie NHC pamoja na RC wa Dar (mwana Wenge BCBG na Simba SC Mwenzangu Amos Makala ) na Poti wangu wa Kanda ya Ziwa Mbunge...
  13. Zakaria Maseke

    JamiiForums Tanzania Hatua za kusajili kampuni ya kigeni (procedures for the registration of a foreign company in Tanzania)

    Habari, leo nakuletea makala kuhusu hatua na utaratibu wa kusajili makampuni ya kigeni nchini Tanzania. Imeandaliwa na kuletwa kwako nami Zakaria Maseke - Advocate Candidate, zakariamaseke@gmail.com (0754575246 WhatsApp). Kiujumla, hatua za kusajili kampuni ya kigeni zinafanana na hatua za...
  14. L

    JamiiForums Tanzania Barua ya Wazi kwa Mkuu wa Mkoa Amos Makala juu ya Panya Road na namna ya kuwatokomezaa pasipo kujirudia

    Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, kwanza nikupe Hongera ya kuendelea kuaminiwa kuendelea kuwa RC wa DSM, Ni heshima kubwa kwako kwa kuwa Mkuu wa mkoa wa jiji la kwanza kiuchumi na kibiashara, kiuwekezaji na hata mchango wake katika Pato la Taifa, Ni mkoa ambao ndio Tanzania yenyewe ambapo hata...
  15. Mtemi mpambalioto

    JamiiForums Tanzania Video: Polisi watoa tamko baada ya kuzuiwa kupita kwenye barabara ya mwendokasi

    Kwa hiyo hata jengo la MWENDOKASI Likiwa linaungua hakuna kupitisha zimamoto humo wawahi kuzima? Hawa ni walinda usalama wetu wanalinda mabenki, wanalinda wakuu wetu wa nchi, wanalinda hata ambavyo sisi kwa uelewa wetu hatuwezi ona! chukulia mfano kukawa na tukio hata la ujambazi ndani ya...
  16. Sprian joseph

    JamiiForums Tanzania SoC02 Makala kuhusu Kilimo

    Kilimo nchini Tanzania huleta tija kwa wanajamii waliopo pembezoni na wao wakifaidika. Kilimo ni moja ya shughuli za kila siku kwenye maisha ya binadamu na hutegemeana na maeneo husika Kikilimo ili mkulima aweze kulima na kuvuna mazao yake huku akipata faida. Nchini kwetu Tanzania wakulima...
  17. Sprian joseph

    JamiiForums Tanzania SoC02 Makala kuhusu Uwajibikaji

    Tanzania ni nchi ya Uchumi wa kati kama sijakosea kwa mujibu wa Vyanzo vya Taarifa vya Kiuchumi Uwajibikaji ndio nguzo pekee itayotupigisha hatua kwenda kwenye Maendeleo jumuishi. Uwajibikaji ni moja kati ya nyenzo kubwa kwenye kuleta Maendeleo katika Taifa lolote duniani,Serikali ya Tanzania...
  18. Mr AB

    JamiiForums Tanzania SoC02 Makala: Kwanini Rais wako hawezi kukuletea maendeleo

    Ninaandika makala hii kwa uchungu mkubwa, na kwa maumivu makubwa ambayo yamenitokea baada ya kukatiza katika mitandao ya kijamii na kusikiliza vyombo vya habari. Mara nyingi nimeona hivi vyombo vya kupasha habari katika jamii yetu hasa katika nchi za Afrika zinapishana. Kila mtu akitetea...
  19. idiomer

    JamiiForums Tanzania Makala ya tulipotoka mbali

    Tumetoka mbali sana. Nakumbuka hapo kale tulikuwa tunasoma na vibatari na taa za chemli. Yaani unaweza kugombezwa umesoma ukamaliza mafuta ya taa. Nakumbuka tulikuwa tukipasi nguo na mkaa wa magunzi ya mahindi. Nakumbuka pipi tofe. Hakika wakati mgumu hutengeza watu imara.
  20. Bujibuji Simba Nyamaume

    JamiiForums Tanzania Pascal Mayalla Mzee wa makala za "Kwa maslahi ya Taifa", mbona uko kimya bei ya sembe imefika 1,800/- kwa kilo

    Pascal Mayalla nakusalimu. Nimekuwa msomaji na mfuatiliaji mzuri sana wa makala zako ulizozibandika jina la "Kwa Maslahi ya Taifa". Kupitia makala hizi nimekuwa nikijifunza vitu mbalimbali na bingo sana. Kikubwa zaidi nilichojifunza, hizi makala zipo kwa ajili ya kuwaponda wapinzani na...
Back
Top Bottom