Amos Makala ex RC wa Katavi aombwe radhi pia ni kuhusu Vitambulisho vya Mjasiriamali

Sexless

JF-Expert Member
Mar 11, 2017
21,563
50,405
Muungwana akivuliwa nguo huwa anachutama. Rais Magufuli tafadhali achutame.

Kuna kila sababu ya kuamini kuwa vitambulisho vya ujasiriamali vilikuwa vya lazima. Japo Rais Magufuli amejitokeza hadharani na kusema havikuwa vya lazima.

Lakini sote tunakumbuka Amos Makala alitumbuliwa baada ya mkoa wake wa Katavi kugawa vitambulisho vichache zaidi.

Sasa kama kweli havikuwa vya lazima Amos Makala aombwe radhi.
 
Mushaambiwa musipolipa 20000 mgambo wawakamate Sasa leteni ujinga wa kutolipa.
 
Back
Top Bottom