makabila

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. sky soldier

    JamiiForums Tanzania Updated List: Haya ndio makabila yenye wasomi zaidi Tanzania

    1. Wachaga - Kama kawaida yao sio watu wa kujisifia iwe ni biashara, maendeleo ya vijini kwao, n.k. Kiufupi hawa suala la elimu wapo Mbali tangu enzi za ukoloni, Mkoa wa Kilimanjaro ni mdogo ila ndio unaongoza kwa shule nyingi hasa maeneo ya uchagani, Kitu cha ziada ambacho wengi hawakijui ni...
  2. Kididimo

    JamiiForums Tanzania Makabila yenye JUJU KALI, ndo yanatoa viongozi na wateuliwa wengi nchini. Nipe maoni yako

    Wasukuma, Wapemba ,Wangoni, Wanyaki, Wakurya,Wanyiramba,na Wahaya ndo Kabila zinaongoza kwa kuwa na viongozi wengi Serikalini kwa sasa. Nipe maoni yako, Je, sababu ni nini?
  3. sky soldier

    JamiiForums Tanzania Je, Mmeru na Mwarusha ni kabila moja?

    Hawa ni watu wa wapi? Nilijaribu kufatilia wameru ni kweli wanasikilizana na wamachame wapo tofaauti na wachaga, nadhani ni ni wamasai walioamua kuhamia Machame, hupenda kubeba visu na pia kibiashara bado wana mwamko mdogo. Kwa Mwarusha nae naona wanatahiri kama wamasai na kuna fimbo za bomani...
  4. Robert Heriel Mtibeli

    JamiiForums Tanzania Makabila mengi yenye wanawake wazuri kama Wapare wanapewa sifa ya kuwa malaya kwasababu ya wivu wa kijinga

    Kwema Wakuu! Acheni wivu! Yaani mkiona Watu wamebarikiwa jambo fulani roho mbaya zenu mbaya hazitulii. Wivu na maumivu moyoni yanawachoma. Mnaanza kuropoka mashudu yenu. Mkiona mdada mzuri tuu mnaanza kumpa majina Mabaya. Kisa anatongozwa na Wanaume wengi. Utajiri wa mvuto wa kisura na...
  5. kyagata

    JamiiForums Tanzania Haya ndio makabila yenye kuongoza kwa kuwa na Wanawake wenye viburi hapa Tanzania

    Kuna kautafiti kasiko rasmi nimekafanya kuhusu makabila yenye wanawake wenye viburi hapa Tanzania. 1. Wachaga 2. Wakurya 3. Wanyakyusa 4. Wahaya 5. Wapare 6. Wasukuma 7. Wameru 8. Wajaluo Yani hawa watu unaweza kupiga mtu makofi kila siku na bado asikuelewe.
  6. Gentlemen_

    JamiiForums Tanzania Dulla Makabila: Moyo wangu nahisi unawaka moto naumia sana sitaki tena mapenzi wala mahusiano sitaki

    Sina Maneno meengi Mkiambiwa huwa HAMSIKIII.. ===== Mtu yeyote atakaekuja kuniskia nasema nampenda mwanamke yeyote basi mtu uyo kama nipo naye karibu yani uso kwa uso basi naruhusu anipige ata kofi sababu nimegundua mwanamke sio mtu wakumuamini ata kidogo. Haijalishi atakuaminisha kiasi gani...
  7. Robert Heriel Mtibeli

    JamiiForums Tanzania Hakuna Taifa au Kabila lenye Watu Bora kuzidi jingine, mataifa au Makabila yote ni Sawa Ila hayalingani

    Anaandika, Robert Heriel Mtibeli. Wapo wenzetu wenye mitazamo Duni linapokuja suala la ukabila u utaifa. Wapo wanaojiona ni Bora kuliko wengine lakini ukifuatilia Kwa umaskini ubora wanaojivunia ndio udhaifu wao. Na wapo ambao wanaojiona Duni lakini ukifuatilia uduni wao ndio ubora wao. Kwa...
  8. Lycaon pictus

    JamiiForums Tanzania Migogoro mingi duniani inatokana na kulazimisha watu wa dini, rangi na makabila tofauti kuunda nchi moja

    Hii mada nimeitoa mara nyingi naimba niitoe tena. Duniani sehemu kubwa ya migogoro inasababishwa na jambo hili. Huhitaji kuambiwa hili, linaonekana waziwazi. Mifano ni mingi kupita maelezo. India ilivunjika vipande vipande na kutoa nchi mbili ya Wahindu na Waislamu. Nigeria ilitaka kuvunjika na...
  9. ChoiceVariable

    JamiiForums Tanzania RC Mtaka ataja makabila 5 yanayokuza Uchumi wa Sekta Binafsi Tanzania

    Makabila ya Kiuchumi au ya kitajiri Kwa Mujibu wa Mtaka Wachaga Wakinga Wapemba Waha Wanyantuzu/Wasukuma My Take Kama kabila lako halipo kwenye List jihesabu wewe ni Maskini tu. --- MAKABILA 5 MUHIMU ZAIDI UKUAJI SEKTA BINAFSI TANZANIA Mkuu wa Mkoa wa Njombe Antony Mtaka amesesma kuna jamii...
  10. R-K-O

    JamiiForums Tanzania Ni ipi siri ya Wachaga kuwa kabila lililoyaacha makabila mengine mbali mno kwenye mafanikio?

    Licha ya umasikini wetu wa taifa hapakosekani kundi la watu wenye nafuu, hata kwenye ukoo masikini wale wenye magari hutokea koo maskini ila wao kama wao wapo mbali kuzidi wenzao, Tukigusia makabila yenye asili ya hapa kwetu, wachaga wapo mbali mno, yapo makabila yanayofatia ila ni gepu refu...
  11. Brain Kingdom

    JamiiForums Tanzania Ukiacha kasoro ya Uchawi Wanawake wa Kirangi ni wazuri kuwazidi wa makabila mengine yote hapa Tanzania.

    Wasalaam JF, Kwenye ukweli tuseme kweli tuache mazoea ya kubisha bisha. Wambulu, wamang'ati, Wanyaturu, Wachaga, Wameru, wamasai wameachwa mbali na warangi kwa uzuri, wana rangi, wanashepu, wanatrackoo, wako soft, wanakwanguliwa kisimilo chote hakibaki hata chembe. Ni hayo ukibisha ni wewe tu...
  12. Expensive life

    JamiiForums Tanzania Leo tusalimiane kwa lugha za makabila yetu

    Ndugu zangu kama itawapendeza leo tusalimiane kwa lugha za makabila yetu. Mimi ni mnyiramba natoka kule singidani Inye mbii kate.
  13. Mr Why

    JamiiForums Tanzania Dula Makabila aja na muonekano mpya wa kike

    Dula Makabila msanii maarufu wa Tanzania wa miondoko ya Singeli ameamua kubadilisha muonekano wake asili wa kiume na kuja na muonekano mpya wa kike akiwa amevalia wigi la kike pamoja na glasss ya kike. Dula anadai kuwa anafuata ushauri wa mpenzi wake aliye naye sasa na kila analomweleza basi...
  14. M

    JamiiForums Tanzania Hivi kwanini makabila ya watu yaliyompakani/ mikoa kwa Nchi yetu wengi wako vizuri sana kichwani, majasiri, watafutaji na wasioyumbishwa?

    Chunguza mikoa yote ya mipakani utapata majibu hayo, hata uje kwenye uongozi utaona utofauti wakishika watu hawa..
  15. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Hivi kuna Mtu Mwingine mwenye Bahati Mbaya na Sifa za Kiasili za Makabila ya Watani zake Kama Mimi?

    1. Wahaya: Wapenda Tamu zote za Kibaiolojia 2. Wanyiramba: Viburi sana 3. Waha: Wabishi tukuka 4. Wanyaturu: Wezi mno 5. Warangi: Wachawi 6. Wakerewe: Walafi 7. Wanyamwezi: Washamba sana Mzanaki Mimi nina bahati mbaya nao mno hawa Watani zangu kwani Wazanaki ndiyo Kabila pekee nchini...
  16. L

    JamiiForums Tanzania Soka yaimarisha umoja miongoni mwa watu wa makabila mbalimbali mkoani Xinjiang, China

    Mchezo wa soka ni moja ya michezo jumuishi, ambayo uchezaji wake huruhusu watu tofauti, bila kujali rangi za ngozi zao, asili zao na hata makabila yao kujumuika na kucheza pamoja kwa furaha. Nguvu ya soka inaonekana zaidi kwenye maeneo yenye mkusanyiko mkubwa wa watu wenye asili tofauti, ambapo...
  17. anti-Glazer

    JamiiForums Tanzania Jamii na makabila mengi yanataratibu zao, hii ya kurithi watoto imekaaje?

    Inatokea mzazi amefatiki, tuseme baba anatokea. Baba mdogo anawarithi watoto kuwapa tumaini la uwepo na baba Yao mzazi, Wakuu ikiwa baba mdg anakiwa KERO je ukiamua kujua maisha yako, akidai atakulaani inahusu hapa?..
  18. amadala

    JamiiForums Tanzania Ndoa kwa mara nyingine Tena ya Dula Makabila na Mpenzi wake Naira wa Jua Kali

    Hello!! Msanii wa singeli Dulla Makabila anatimiza ahadi yake leo aliyoitoa wakati akifanya interview na Dozen Selection kuwa haitafika Jumatatu lazima amuoe mpenzi wake Naira wa Juakali Dullamakabila muda huu anatoka kwenye hotel yenye hadhi ya nyota tano Hyatt Regency na kuelekea kufunga...
  19. Brain Kingdom

    JamiiForums Tanzania Je, ni wanawake wa makabila gani hapa Tanzania wakiolewa hawajihesabii kuwa sehemu ya kudumu ya ukoo na familia ya Mume?

    Hello JF family, Ndoa ni muunganiko wa familia na koo za pande mbili, katika pitapita zangu nimepata sikia yapo baadhi ya makabila wanawake wakiolewa hawqjihesabii kuwa sehemu ya familia na ukoo wa mume. Hata wakiolewa wana ukwao au unyumbani mwingi na kamwe hawana mguso thabiti na wa kweli na...
  20. NetMaster

    JamiiForums Tanzania Ndio najua leo kuwa bado kuna makabila Tanzania bara ukioa nje ya kabila unategwa na ukoo!

    Katika story za jioni baada ya kazi leo hii nimejifunza kitu kigeni nanyi ningependa kuwashirikisha. Amini usiamini hadi sasa kuna makabila watu hulazimika kuoana wao kwa wao si kwa kupenda bali ni kuogopa kutengwa na ukoo. Moja ya kabila hili ni Wasafwa, ni kabila kubwa Mbeya kwa kuwa na...
Back
Top Bottom