makabila

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Kasomi

    JamiiForums Tanzania Faida tutakazopata kama tukitumia vizuri utajiri wa Makabila

    UTAJIRI WA MAKABILA TUKIUTUMIA VIZURI... Tuna zaidi makabila 120. Iwapo: - Tutajikita kuandika vitabu vinavyoelezea historia na tamaduni za kila kabila, tutajikuta tuna zaidi ya vitabu 120 vya kuuzwa ndani na nje ya nchi. - Tutajikita kuandika kamusi za kila kabila tutajikuta tuna kamusi...
  2. Grahams

    JamiiForums Tanzania Dhana ya Kuinuana Kiuchumi baina ya Wanafamilia; Kuna haja unapompa ndugu yako Mtaji wa biashara umtoze riba ili kuongeza uwajibikaji?

    Binafsi naamini kwenye familia, mmoja anaweza kuinuliwa ili aweze kuwainua wengine. Ndiyo maana kwenye maandiko Kitabu cha Mwanzo 42:25-28 unaona Yusufu alivyoinuliwa ili kuwasaidia ndugu zake. Kuna mtu anaweza kujiuliza kwani ni lazima kuwasaidia ndugu zako, Jibu sio lazima (Sijui kama kuna...
  3. Bujibuji Simba Nyamaume

    JamiiForums Tanzania Mliochanganya makabila nyie tuwaiteje?

    Kuna Wakimbu, Hawa wamezaliwa kwa baba na mama wa Kikimbu. Kuna Hawa watoto wanaozaliwa mijini, wamechanganya makabila kichizi, Bibi mchanganyiko wa makabila, baba mchanganyiko wa makabila na toto changanyiko . Mtoto hajui kilugha, wala hajui asili yao, toto lipolipo tu kama zimwi. Jamani...
  4. matunduizi

    JamiiForums Tanzania Jinsi makabila yalivyoyumbisha ubongo na saikolojia za Mbongo

    Ni vizuri wakuu turudi kwenye defaults za binadamu katika ubora wake. Kwa nini anasema hivi, kuwa mnazi wa kikabila unaweza kujikuta umechakachuliwa akili vibaya sana na ukadhani huo ndio ubinadamu kumbe ni UJINGA. Mfano: 1: Nimekaa na jamaa Wawili kutoka sehemu tofauti Mbeya. Hawaja jamaa...
  5. Infantry Soldier

    JamiiForums Tanzania Tanzania isiwe na vazi moja tu la Taifa, tuwe na mavazi rasmi matano kutoka katika makabila yetu

    Mambo vp JamiiForums? Ninashauri sana nchi yetu ya Tanzania isiwe na vazi moja tu la taifa. Tuwe na mavazi rasmi matano (5) kutoka katika makabila yetu yatakayorasimishwa na kupewa hadhi ya utaifa. Yaaani kama inawezekana mpangilio uwe hivi au hata kama kura ya maoni inaweza kupigwa itakuwa...
  6. NostradamusEstrademe

    JamiiForums Tanzania Kwanini kati historia mkoloni hakuwahi kufanikiwa kuwatawala wamasai kama makabila mengine

    Nimeona niulize swali hiyo kwenye ukurasa huu wa Historia pengine kuna watu walionizidi umri kama kina mzee Mohamed Said wanaweza kuchangia
  7. 2019

    JamiiForums Tanzania Makabila haya yanaongoza kwa ulevi Tanzania, yanaongoza kwa akili pia

    1. Wachagga: hivi kuna mchaga asiye kunywa pombe? Nahisi atakuwa anatumia dawa, ila hakuna asiejua wachaga kwenye utafutaji,akili na maendeleo pia. 2. Wanyakyusa: kwanza kabisa Mbeya hakujawahi kutokea njaa na mkoa wa Mbeya ukiacha kulima Tanzania kutakuwa na baa la njaa. Hawa watu wanapiga...
  8. The Mongolian Savage

    JamiiForums Tanzania Bamileke: Kabila la Cameroon linalopingwa nakuogopwa na makabila mengine; ndio hao wanataka Cameroon ijitenge

    Mzuka wanajamvi! Hii dhana ya eti Cameroon majimbo mawili yanayoongea kiingereza North West na South West kujitenga kwasababu ya uonevu inasukumwa sana na Bambekee (Bamilekee). Bambekee ni semi Bantuskabila maarufu sana Cameroon lenye maendeleo na elimu na pesa. Kwa kifupi ni matajari kama...
  9. Bujibuji Simba Nyamaume

    JamiiForums Tanzania Mila zetu watu wa Kaskazini

    Unamuacha wife kwa wazazi wako ili ukazichange shilingi, unakaa miaka miwili ughaibuni, unarudi home unakuta mke wako ana mtoto, kazaa na baba yako mzazi. Umeenda kuhemea chakula cha familia, umehangaika kutwa nzima, unarudi home unakuta mkuki umechomekwa nje, jamaa anajichapia mkeo,hajaleta...
  10. J

    JamiiForums Tanzania GE2020 Kikwete: CCM ni chama cha dini zote, makabila yote, taaluma zote na wanasanaa wote kichagueni

    Rais mstaafu Dr Kikwete amesema tofauti na vyama vingine CCM ni chama cha dini zote na madhehebu yote kwa mfano waislamu kuna Shia, Sunni. CCM ni chama cha makabila yote zaidi ya 120 CCM ni chama cha wataalamu wote CCM ni chama cha wakulima, wafanyakazi na wafanyabiashara CCM ni chama cha...
  11. Chamoto

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania "Female Circumcision"among the Kikuyu

    >>> https://www.ncbi.nlm.nih.gov/pmc/articles/PMC2164470/pdf/brmedj04013-0030d.pdf
  12. Usher-smith MD

    JamiiForums Tanzania Ubaguzi wa makabila katika kuoa

    Hivi huu ubaguzi wa makabila bado upo hadi leo? Nimekutana hii clip ya baba akimuonya mwanae asimpeleke mchumba wake wa Machame kwake, toka siku nyingi nasikia tu Usioe wa Machame, wana Jf wachagga mtusaidie, wanawake wa machame waliwafanya nini wanaume wengine wa kichagga?! Mshana Jr hebu...
  13. Infantry Soldier

    JamiiForums Tanzania Tanzania na Utani wa Makabila: Ulishawahi kutaniwa vibaya na mtu wa kabila tofauti ukaumia nafsi yako?

    Shikamooni wakubwa zangu wote wa hapa jamiiforums. Mimi mdogo wenu (Last Born) Infantry Soldier nipo mzima kabisa wa afya. Thanks to God the Almighty. Eti ndugu zangu wa Tanzania; Ulishawahi kutaniwa vibaya na mtu wa kabila tofauti (Mfano: Msukuma Vs Mzaramo) kisha ukaumia nafsi yako...
  14. Trubarg

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ukabila Kenya: Mgawanyo wa Wizara za Kenya kulingana na Makabila

    Kikuyu everywhere mwaswast MK254 Geza Ulole
  15. Its Pancho

    JamiiForums Tanzania Hivi ndivyo baadhi ya makabila yanavyoomba tendo la ndoa

    Naam . Wakurya: mama bhoke rara chini nikurenge.. Wamasai: mama yoyo nipe ile kitu namesa mwensake.. Wahaya: mama koku infacti njoo tuperfom.. Wachaga: mama manka fungua kibubu nitupe shilingi.. Wapemba: mama alii panua paja mti wajaaa...! Najua hapa wachaga nko wengi msinirushie mawe plz
  16. Mzukulu

    JamiiForums Tanzania Wachezeeni na Waibieni Watu wote wa Makabila mbalimbali nchini Tanzania, ila Kaeni mbali kabisa na Wazanaki

    Watu wawili wakazi wa kijiji cha Busegwe wilaya ya Butiama mkoani Mara wanaodaiwa kuwa ni wezi wa ng’ombe wamejikuta katika hali ya kula majani na kung’oa majani mithili ya ng’ombe baada ya kuiba ng’ombe wanaodaiwa kuwa na thamani ya shilingi milioni mbili. ITV Tanzania Wewe eneo limetoa Raia...
  17. M

    JamiiForums Tanzania Top Ten makabila yenye wazungumzaji wengi Tanzania

    Huu ni utafiti(usiokua rasmi) juu ya uwingi wa wazungumzaji wa makabila yaani wale ambao kiasili ni wenyeji wa kabila husika pamoja na wale ambao wamejifunza makabila husika kutokana na mwingiliano wa shughuli mbalimbali za kimaisha. 1. WASUKUMA -Idadi yao inakadiriwa kuwa zaidi ya milioni 10...
  18. LIKUD

    JamiiForums Tanzania Makabila ya wasanii na watu maarufu wa Bongo

    #Diamond na Ali Kiba: Almost every body know about them 1. Sugu ( Joseph Mbilinyi) - Mkinga 2. Professor Jay (Joseph Haule ) - Mngoni 3. Lady Jay Dee ( Judith Wambura Mbibo) - Mkurya 4. Inspector Haroun - Msukuma/ Mzaramo (Baba ake na Haruna marehemu Mzee Rashid Juma Kahena alilowea uzaramuni "...
  19. rr4

    JamiiForums Tanzania Zijue aina za pombe za makabila ya Tanzania

    Nimekaa nikawaza kuwa Serikali inaweza kabisa ikapiga ban pombe toka nje ya nchi na kuweka mkazo kwenye local brew zetu huenda na sisi tungeuza nje. Tatizo tunadharau vya kwetu, haya mawine na mawhisky toka nje napo yalipotoka yametengenezwa na watu au familia fulani na kupewa uzito na serikali...
  20. PAZIA 3

    JamiiForums Tanzania Gharama za kishika uchumba/Mahali kwa makabila tofautitofauti nchini

    Heshima kwenu wapenzi wa jukwaa La MMU. Naomba tushirikishane taratibu za kuzingatia pale unapooa binti wa kabila lako,Ama kwa kumtorosha au kuchumbia, .Hii itasaidia kwa washenga kujua wapi pa kuanzia pindi wanapopatanisha gharama za kutoa,mfano,mkoti wa baba,kitenge cha mama,dumu La...
Back
Top Bottom