makabila

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. LIKUD

    JamiiForums Tanzania Makabila ya wasanii na watu maarufu wa Bongo

    #Diamond na Ali Kiba: Almost every body know about them 1. Sugu ( Joseph Mbilinyi) - Mkinga 2. Professor Jay (Joseph Haule ) - Mngoni 3. Lady Jay Dee ( Judith Wambura Mbibo) - Mkurya 4. Inspector Haroun - Msukuma/ Mzaramo (Baba ake na Haruna marehemu Mzee Rashid Juma Kahena alilowea uzaramuni "...
  2. rr4

    JamiiForums Tanzania Zijue aina za pombe za makabila ya Tanzania

    Nimekaa nikawaza kuwa Serikali inaweza kabisa ikapiga ban pombe toka nje ya nchi na kuweka mkazo kwenye local brew zetu huenda na sisi tungeuza nje. Tatizo tunadharau vya kwetu, haya mawine na mawhisky toka nje napo yalipotoka yametengenezwa na watu au familia fulani na kupewa uzito na serikali...
  3. PAZIA 3

    JamiiForums Tanzania Gharama za kishika uchumba/Mahali kwa makabila tofautitofauti nchini

    Heshima kwenu wapenzi wa jukwaa La MMU. Naomba tushirikishane taratibu za kuzingatia pale unapooa binti wa kabila lako,Ama kwa kumtorosha au kuchumbia, .Hii itasaidia kwa washenga kujua wapi pa kuanzia pindi wanapopatanisha gharama za kutoa,mfano,mkoti wa baba,kitenge cha mama,dumu La...
  4. J

    JamiiForums Tanzania Rais Magufuli: Sisi watanzania ni Wamoja tusibaguane kwa makabila, dini na siasa awapongeza CCM na kusema Wapinzani wanaisoma namba

    Rais Magufuli amewataka watanzania wapendane na kuacha kubaguana kwa misingi ya ukabila, dini au itikadi za kisiasa. Dr Magufuli ameyasema hayo wakati akiweka jiwe la msingi la ujenzi wa daraja la Kigongo - Busisi jimboni Misungwi mkoani Mwanza. Kadhalika Rais Magufuli amewapongeza wanaccm wa...
  5. YEHODAYA

    JamiiForums Tanzania Kwanini Masai hawarogani wala kuibiana wao kwa wao tofauti na makabila mengine?

    Kuna kitu kinanishangaza kuhusu wamasai. Ni kawaida kwa makabila mengine kulogana, kutuhumiana uchawi, kuibiana na kutapeliana. Masai hivyo vitu havipo kwenye kabila yao najiuliza ni kwanini? Mwenye jibu atusaidie.
  6. T

    JamiiForums Tanzania Uzi wa kushare nyimbo za Kisukuma

    Bhanamhala mhu le mhola hene? Uzi huu mahususi wa kushare ama kushirikishana nyimbo zozote za kisukuma ili kudumisha mila na tamaduni zetu. Kwa sababu wasukuma tunasifika kwa kuwa wapole na wakarimu. basi uzi huu unaruhusu pia makabila mengine kuweka nyimbo zilizoimbwa kwa lugha zao ili tuweze...
Back
Top Bottom