Wadiz
JF-Expert Member
- Nov 10, 2022
- 5,411
- 11,061
Hello JF family,
Ndoa ni muunganiko wa familia na koo za pande mbili, katika pitapita zangu nimepata sikia yapo baadhi ya makabila wanawake wakiolewa hawqjihesabii kuwa sehemu ya familia na ukoo wa mume. Hata wakiolewa wana ukwao au unyumbani mwingi na kamwe hawana mguso thabiti na wa kweli na familia ya mume.
Kwa wanaofahamu au wenye dondoo ya hayo makabila tafadhari tutajia na weka ka experience au visa au kisa chochote.
Na hii ikawe chachu na chemichemi ya kutupa mwanga sahihi sisi wapinga ndoa na kataa kuoa. Sio kesi ni mtizamo tu na maamuzi, tuache makasiriko sisi wapinga ndoa ni watu pia.
Tupeni mwanga tujue Ila tuanze fikra za kuoa.
Inshallah