Nikupe utangulizi kwanza
Nguu/ngulu inamaanisha kabila husika au eneo/mamlaka ya kabila husika. Nikitoa mfano utanielewa zaidi, yaani ukimuuliza kijana wa kinguu wewe ni kabila gani atasema mimi ni mnguu/mngulu ambapo kwa kiingereza atasema tu nguu/ngulu. Kadhalika akiulizwa kwenu ni wapi...
Unajua kwanini ndugu na ndugu hawaoani?
Hii si sababu ya kidini tu bali sababu ya kisayansi pia.
Kuoa ndugu wa karibu au jamii ya karibu kunasababisha kuendeleza au kuambukizana magonjwa ya kiurithi ambayo yanayembea kwene kabila au ukoo flani
Mko poa?
Nimebahatika kuishi na jamii nyingi za Kitanzania, na hii ndiyo orodha yangu ya top ten ya makabila yanayoongoza kwa kula chakula kingi hapa Tanzania:
1. Wasukuma
2. Wanyakyusa
3. Wasafwa
4. Wajita
5. Wahaya
6. Waha
7. Wajaluo
8. Wakurya
9. Wangoni
10. Wagogo
Nimekuwa nikijiuliza hili swali tangu nikiwa Sekondari na sijawahi kupata jibu.
Wakoloni walikuwa wanahusisha baadhi ya jamii kwenye elimu, Biashara, Uongozi, Kueneza Dini, Ulinzi, n.k. lakini inashangaza kuona wasukuma ambao ni kabila kubwa zaidi hawakuhusihwa, why ?
Ni kwamba nje ya...
Sio lazima arithishe familia yake, Tatizo hashirikishi hata ndugu zake. Ni kwa lengo la kupunguza upotevu wa mali, Matapeli kujimilikusha vitu kiholela, n.k.
Wala hakuna ugomvi familia inaishi vizuri lakini unakuta mzee hataki kabisa kuzungumzia ishu za mali,
Mali mnazijua kupitia watu...
Nyerere aliwahi kutuhusia sana kutojaza makabila makubwa nafasi kubwa,
Enzi hizo kuna makabila aliyaweka wazi lakini hali imebadilika, kwa sasa yamo baadhi aliyowahi kuyataja na kuna mengine yameongezeka.
Kipindi chake alishakuta makabila flani yameshapata elimu lakini ali fight sana...
Wakati familia mbalimbali za jamii flani zinapokuwa kwenye misururu ya foleni ya kwenda vijijini kwao unajua sikukuu za mwisho wa mwaka zimekaribia, watu hao hutoka kila kona ya dunia kusherehekea mwisho wa mwaka kwa pamoja.
Ni wakati wa kukutana na ndugu wapya, familia mpya, jamaa mliopotezana...
Kuna principle inasema to every rule there is always an exception, hata kwenye kundi linalosifika kuwa wasumbufu wapo waliotulia mpaka utashangaa na katika wale wanaojulikana wametulia wapo ambao ni wasumbufu pasua kichwa, kwahio haimaanishi ni wote.
kwanini wanawake wa makabila haya wanaongoza...
Ili kabila nimelipa nyota tano kwa ubishi waliozaliwa nao.
Yani anaweza kubishana na TV mpaka tv ukaona imenyong’onyea.
Wahaa kwa ubishi wao wanaweza kuishi kokote bila kuogopa.
Ukiwa na mwanamke wa kabila ilo hata ukimfumania anaweza kukubishia na akashinda.
Nahisi wahaa na wasambaa ni ndugu...
Ukiangalia utendajikazi wa marais waliopita na kona za nchi walikozaliwa na kukulia, utaona wazi kwamba kuna maeneo ya nchi hii hayastahili kabisa kupewa nafasi ya urais. Hili siyo suala la ukabila au dini, ni jambo linalotokana na makuzi ya watu, ndani yake kukiwa na mila.
Tujadili bila...
Inafanana na ule uzi wa vyakula ila ule ni worldwide.. Hapa kwa asilimia 100 ni vyakula tupikavyo na tulavyo kila siku
Huku hakuna chopstick, hakuna kuku kwa mrija ama kula na mikono miwili yaani visu na uma😂
TAHADHARI: KAMA UNA NJAA NA UKO MBALI NA SEHEMU YA KULA USIFUNGUE HUU UZI
Nb: Makande...
Mtu katoboa kwenye familia, watu wanarundikana kumuomba pesa tena kwajili ya matumizi badala ya mitaji, kukodi mashamba, n.k. Ndio hawa virusi wanafika miaka 40 bado wanaomba pesa, ukiwanyima unatangazwa ukoo mzima unaanza kushambuliwa huwapi pesa ndugu zako, yani wanachojua ni matumizi tu na...
Wakuu nimevutiwa na mijadala mikubwa huko Duniani inayohusu ukabila, uraia, u bara na urangi hasa iliyoanza huko Afrika kusini ambapo watu wanavutana je wazungu ama watu weupe wa Afrika kusini ni waafrika ama sio waafrika.
Na je uafrika ni rangi ama ni ubara bila kujali rangi yako. Je kama ni...
Watanzania wa asili – Hawa ni watu wa makabila ya kienyeji ya Tanzania kama Wanyamwezi, Wazaramo, Wasukuma, Wachaga, Wahaya, n.k.
Hili suala halina chembe yoyote ya kikabila maana ni uhalisia kama ilivyo kwa wafugaji waliofanikiwa sehemu kubwa ni wasukuma na wamasai, nikisema sehemu kubwa ya...
Sijawahi kuelewa kwanini Wabongo wengi wanaichukulia Afrika Kusini kama nchi ya Wazulu wakati wazulu wanakadiriwa kuwa milioni 12 tu kati ya watu milioni 60.
Kuna mtu nimekutana naye anasema Wazulu wamechachama kupeleka wanajeshi wengi zaidi Congo asijue hata Ramaphosa mwenyewe sio Mzulu...
Huyu jamaa uongozi wake umejengwa kwa misingi ya Genocide.
Bila Genocide hana cha kusimamia.
Kwa rwanda amejibrand kama ni mtu aliyezuia Genocide. Kwa nchi ambazo zina makabila mengi huwezi kutoboa kuwaongoza watu miaka 30 kila leo uwakumbushe mauaji ya kimbari!! Watu awawezi kukuelewa lazima...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.